Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

Rasmi Sasa usafiri wa Garimoshi a k.a treni umerejea jijini Arusha. Hii ni baada ya Miaka 30 ya huduma hiyo kusimama.

Hongera serikali ya awamu ya tano, hongera JPM, hongera CCM
 
Kwa nini ulikatishwa na je ulikatishwa wakati wa utawala wa Chama gani. Na umerejezwa tena wakati wa Chama gani
 
Kwa nini ulikatishwa na je ulikatishwa wakati wa utawala wa Chama gani. Na umerejezwa tena wakati wa Chama gani
We endelea kutafuta baya kwenye kila jema, wanaarusha wameeleewa na kwao cha muhimu ni kurejea kwa huduma ambayo itakuwa ukombozi na Mapinduzi makubwa katika sekta ya usafiri na usafirishaji kwenye Kanda ya kaskazini.

Uzuri wa Magufuli ni anaongea kwa vitendo

#2020 kura yangu kwa John
 
Bora uji wa chumvi kuliko chai ya rangi bila sukari...

Watu wengine walishakufa sema bado wanatembea...
 
Mkuu umesahau kuweka na namba yako ya simu, just in case wakitaka kukupongeza.
 
Kujamba mwenyewe na kuwasha feni, siyo? Chama/serikali gani unafikiri kiliondoa safari za treni?
Mimi binafsi na wananchi wa Arusha hatuhitaji kujua Hilo, tunashukuru kwa usafiri kurejea na mrejeshaji ni Magufuli

Kila mtu atatoa hwsabu zake mwenyewe. Hatuwezi kumhukimu mtu kwa dhambi iliyofanywa na mzazi wake
 
Hivi treni ya kupita reli ya kati ilifika mwanza Mara ya mwisho lini? Vipi sasa tuipende kaskazini kwa gharama ya maeneo mengine?
 
Kwa taarifa yako, Magufuli alikuwa serikalini tangu 1995. Alikuwa mwanachama wa TANU tangu anazaliwa, 1959. CCM tu mnajitekenya wenyewe na kucheka!
Mimi binafsi na wananchi wa Arusha hatuhitaji kujua Hilo, tunashukuru kwa usafiri kurejea na mrejeshaji ni Magufuli

Kila mtu atatoa hwsabu zake mwenyewe. Hatuwezi kumhukimu mtu kwa dhambi iliyofanywa na mzazi wake
 
Raia tuna haki ya kupinga, kupongeza na kulaumu na sababu ipo kwa nini ilikuwa na imekuwa hivi?
 
Hivi treni ya kupita reli ya kati ilifika mwanza Mara ya mwisho lini? Vipi sasa tuipende kaskazini kwa gharama ya maeneo mengine?
Kuwa mtulivu, haiwezekani kufikia nchi nzima kwa kipindi kifupi. Serikali imekarabati meli na imenunua meli mpya kwenye maeneo hayo. SGR I njiani kuelekea huko. Magufuli hana alichoacha.

#2020 kura yangu kwa John
 
Raia tuna haki ya kupinga, kupongeza na kulaumu na sababu ipo kwa nini ilikuwa na imekuwa hivi?
basil vyema kufanya vyote vitatu kuliko kuamua moja tuu, kupinga mwanzo mwisho. Pia tambua mtu anaeyejielewa halalamiki, toa ushauri.
 
Back
Top Bottom