Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

Wanasema acha kupiga mayowe acha watu wayaone wenyewe.

Leo hii wakazi wa Arusha na viunga vyake walijitokeza kwa maelfu kushuhidia treni ya kwanza ya majaribio kuingia ndani ya jiji la Arusha ikiwa ni miaka zaidi ya 30 baada ya Shirika la reli kuwa hoi.

HONGERA JPM...TUMEKUELEWA SANA....
Hata picha inaonesha hapo aseee bonge la nyomi, namuona mkurugenzi bibi wewe ukiwa unatoa mawaidha ya namna ya kupanda, aaaaf hyo picha ya juu imependeza sana aseee
 
Tundu Lissu kesho atakuwa Arusha kupata udhamini wa wapiga kura,agombee Urais.
Ndio utajua kuna watu Arusha!
Treni hiyo leteni,ilikuwepo toka Ukoloni.
 
Safi, kazi iliyobaki ni kuwashawishi vijana ambao wengi ndo wapiga kura na wanategemea bodaboda kuwa reli iliyofufuka ina manufaa gani kwao. Waambiwe kabla haijafa ilikuwaje, kwann ikafa na kwann imefufuka.
 
Wasijisifu kama wamefanya kitu kipya bali wajite kwa kutuletea hasara na umasikini.
Nani sasa mana miaka 30 iliyopita tulikua tuna chama kimoja technically kila mtz alikua Ccm nani sasa alaumiwe ?
 
Nani sasa mana miaka 30 iliyopita tulikua tuna chama kimoja technically kila mtz alikua Ccm nani sasa alaumiwe ?
Hukuwahi kusikia misemo ya "Zidumu fikra za Mwenyekiti" au "CCM ina wenyewe". Kwa misemo hiyo tu wengine wote walikuwa takataka. Kwa vijana walijiunga na CCM ili wapate nafasi za kusoma vyuo vikuu na kupata ajira serikalini na mashirika ya umma, lakini siyo kwamba walikuwa wanakubaliana na sera zilizokuwepo.
 
Wanasema acha kupiga mayowe acha watu wayaone wenyewe.

Leo hii wakazi wa Arusha na viunga vyake walijitokeza kwa maelfu kushuhidia treni ya kwanza ya majaribio kuingia ndani ya jiji la Arusha ikiwa ni miaka zaidi ya 30 baada ya Shirika la reli kuwa hoi.

HONGERA JPM...TUMEKUELEWA SANA....
Huu uzi utaukuta jukwaa la mapishi kama utashindwa kuleta picha
 
Kazi zipi hizo?
Kama ni Hosoitali tumejenga
Kama ni shule zimejengwa na kukarabatiwa
Kama ni masoko tumejenga
....The list is on Amigo
Kuajiri hawa wahitimu wa vyuo mmeajiri wangapi?
 
Back
Top Bottom