Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunashukuru serikali ya Magufuli kwa kutuletea tetemekoHongera sana mh rais kwa juhudi hizi wapumbavu wanapinga lakini hao ndio watakaokuwa wanapanda hilohilo treni
Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app
Ni furaha na fursa kwa wakazi wa ArushaHongera sana mh rais kwa juhudi hizi wapumbavu wanapinga lakini hao ndio watakaokuwa wanapanda hilohilo treni
Sent from my SM-A320FL using JamiiForums mobile app
Yap...Tetemeko bila madhara...tetemeko la maendeleoTunashukuru serikali ya magufuli kwa kutuletea tetemeko
Ulitaka waiache kwa sababu waliiharibu wao?Hiyo reli ilijengwa na mababu zetu chini ya wakoloni kwa viboko. CCM mkaiharibu kwa makusudi, sasa mnatafuta kiki kwa matumizi mabaya ya kodi yetu!
Shenzi nyinyi!
Matumizi mazuri ya kodi zetu chini ya JPM ndiyo yameifufuaHiyo reli ilijengwa na mababu zetu chini ya wakoloni kwa viboko. CCM mkaiharibu kwa makusudi, sasa mnatafuta kiki kwa matumizi mabaya ya kodi yetu!
Shenzi nyinyi!
Wanasema acha kupiga mayowe acha watu wayaone wenyewe.
Leo hii wakazi wa Arusha na viunga vyake walijitokeza kwa maelfu kushuhidia treni ya kwanza ya majaribio kuingia ndani ya jiji la Arusha ikiwa ni miaka zaidi ya 30 baada ya Shirika la reli kuwa hoi.
HONGERA JPM...TUMEKUELEWA SANA....
Hata hiyo treni iliyofika kwa majaribio ilibeba mzigo wa kutosha...hapo kwenye stesheni ya treni ni eneo la Viwanda Arusha.Naona ITV wameonyesha hilo tukio. Ila kwa huko Arusha sioni kama hiyo treni ni jambo la kuwatisha sana, maana hawana tatizo la usafiri. Na isitoshe hiyo treni ni so outdated wakati kuna usafiri wa kisasa na wa haraka. Labda wasafirishaji wa mizigo wanaweza kufaidika na hiyo treni.
Wasijisifu kama wamefanya kitu kipya bali wajute kwa kutuletea hasara na umasikini.Ulitaka waiache kwa sababu waliiharibu wao?
Nafikiri hiyo miaka 30 nyuma waliokuwa wanaongoza hii nchi ni CNDD- FDD. Yaani muue reli halafu muitengeneze kwa kodi zetu, Kisha mseme tuwapongeze kwa kufufua reli mliyoua nyie wenyewe. Period!!!!Wanasema acha kupiga mayowe acha watu wayaone wenyewe.
Leo hii wakazi wa Arusha na viunga vyake walijitokeza kwa maelfu kushuhidia treni ya kwanza ya majaribio kuingia ndani ya jiji la Arusha ikiwa ni miaka zaidi ya 30 baada ya Shirika la reli kuwa hoi.
HONGERA JPM...TUMEKUELEWA SANA....
Unaletaje umasikini kwa kufufua reli?Wasijisifu kama wamefanya kitu kipya bali wajite kwa kutuletea hasara na umasikini.
Pongezi ni kwa awamu ya tano....na hivyo tunaipa tano tenaNafikiri hiyo miaka 30 nyuma waliokuwa wanaongoza hii nchi ni CNDD- FDD. Yaani muue reli halafu muitengeneze kwa kodi zetu, Kisha mseme tuwapongeze kwa kufufua reli mliyoua nyie wenyewe. Period!!!!
Fedha zilizotumika kukarabati upya reli hiyo zingetumika kufanya kazi zingine za maendeleo. Pia reli iliyokuwepo ingekuwa imetengeneza faida kubwa.Matumizi mazuri ya kodi zetu chini ya JPM ndiyo yameifufua
Hata hiyo treni iliyofika kwa majaribio ilibeba mzigo wa kutosha...hapo kwenye stesheni ya treni ni eneo la Viwanda Arusha.
Kazi zipi hizo?Fedha zilizotumika kukarabati upya reli hiyo zingetumika kufanya kazi zingine za maendeleo. Pia reli iliyokuwepo ingekuwa imetengeneza faida kubwa.
Nimemuona Waziri Mkuu ITV sasa hivi akilalamika kuwa shule hazina madawati, wanafunzi wanakaa sakafuni.Kazi zipi hizo?
Kama ni Hosoitali tumejenga
Kama ni shule zimejengwa na kukarabatiwa
Kama ni masoko tumejenga
....The list is on Amigo