Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DC Arumeru Leo Tarehe 13/08/2020 Majira ya saa mbili kasoro asubuhi tumepokea Gari Moshi (train) ya majaribio ya kwanza ya mizigo baada ya miaka 30 ya kukosa huduma hii ya usafirishaji katika mkoa wetu wa Arusha. #ArumeruYetu
Sasa wewe utaona faida yake kweli?Kwa hiyo lengo la hiyo reli ni ili mpate kura? Hakuna mtu mwenye shida ya usafiri huko Arusha. Ukitaka kujua watu hawababaiki na hiyo treni, kaangalie waliokwenda kuilaki hiyo treni, na watakampokea Lisu kesho.
Sasa wewe utaona faida yake kweli?
Wafanyabishara wanaosafirisha mizigo yao ndio wenye shida nayo na ndio watakaona faida yake
Kwahiyo katika wakati huu wa uchaguzi ndio mmejifanya kupeleka hiyo huduma arusha !!!
Ccm akili zao bwana !!! Hahaa daah
Sasa wewe utaona faida yake kweli?
Wafanyabishara wanaosafirisha mizigo yao ndio wenye shida nayo na ndio watakaona faida yake
Yaani mpuuzi aliyeua usafirishaji wa reli maksudi kwa sababu ya biashara ya malori sijui alikuwa anawaza nini. Kuna watu akili zao finyu, huko huko ambako malori yanatengenezwa kila siku wanaboresha miundombinu ya reli. Sie tunaharibu reli makusudi ili kuwanufaisha wenye malori. Umaskini wa mawazo ni umaskini mbovu kuliko umsakini mwingine wowote ule (Nyerere, Mei Mosi, 1995).
Hii nchi ukitaka kufanya vitu vikubwa usiwasikilize watu. Bahati mbaya vitu vikubwa havionyeshi matunda yake mara moja kwa hiyo wanasiasa wengi wanatumia huo mwanya kubeza miundombinu na kujipatia umaarufu. Mi binafsi sina inshu na upinzani maana nafahamu fika hii nchi imezoroteshwa sana na kukosa mawazo mbadala. Lakini sipendi wanasiasa wasioweza kusaidia jamii ione umuhimu wa kuwekeza katika miradi ya kimkakati, na badala yake wanaiponda.Waliye ua Reli wapo humu humu Mkuu,hapo juu yupo mmoja kasema haoni faida ya Reli,hii nishida ya kuwa na wapenzi wa siasa na si wanasiasa,hata Bwana Yule anaye fadhiliwa na Mabeberu juzi Kati alisema haoni faida za usafiri wa Anga wakati yy anafanya kampeni na Gari dogo Kama mark II kutoka Dar kuzunguka mikoa yote ya Tanzania bara akitumia barabara ya lami,halafu akishafika huko ana bwabwaja kuwa hakuna kilichofanywa na serikali
Hata ndege zilipoanza walibeza leo hii ndiyo wanazitumia. Siasa hawaijui ndiyo maana hawajui kuifanya wanafanya hata kwenye mambo ya msingiWaliye ua Reli wapo humu humu Mkuu,hapo juu yupo mmoja kasema haoni faida ya Reli,hii nishida ya kuwa na wapenzi wa siasa na si wanasiasa,hata Bwana Yule anaye fadhiliwa na Mabeberu juzi Kati alisema haoni faida za usafiri wa Anga wakati yy anafanya kampeni na Gari dogo Kama mark II kutoka Dar kuzunguka mikoa yote ya Tanzania bara akitumia barabara ya lami,halafu akishafika huko ana bwabwaja kuwa hakuna kilichofanywa na serikali
DC Arumeru Leo Tarehe 13/08/2020 Majira ya saa mbili kasoro asubuhi tumepokea Gari Moshi (train) ya majaribio ya kwanza ya mizigo baada ya miaka 30 ya kukosa huduma hii ya usafirishaji katika mkoa wetu wa Arusha. #ArumeruYetu
Najiuliza wakoloni ambao walijenga reli 1900 ikaingia Arusha kwanini tuliwatoa kama leo tunashangilia treni kuingia Arusha baada ya miaka 60 ya uhuru?
Faida yote ya reli waliipeleka Kwao pesa haikubaki nchini
Hiyo JPM ndiyo anakula bila kujali. Zikowapi Tsh 1.5 TrilionKuwatoa was a must,ilikuwa ni lazima tujitawale,tatizo waliingia walaji wakala mpaka wakaua kila kitu,lakini tokea amaeingia JPM kila kitu sasa kimerudi kwenye mstari,sasa hapa utachagua mwenyewe kura yako umpe nani mwezi October...