Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Sisi majumbani mwetu hatuishi kwa treni, tunatakiwa tuishi kwa afya njema (siku hizi watu wananunua robot ya dozi wanayoandikiwa na dakitari!), milo mitatu kwa siku, maji safi na usalama, elimu inayokidhi mahitaji ya sasa na makazi bora. Na waondoke kama alivyoondoka mwingereza.Najiuliza wakoloni ambao walijenga reli 1900 ikaingia Arusha kwanini tuliwatoa kama leo tunashangilia treni kuingia Arusha baada ya miaka 60 ya uhuru?