Hukuwahi kusikia misemo ya "Zidumu fikra za Mwenyekiti" au "CCM ina wenyewe". Kwa misemo hiyo tu wengine wote walikuwa takataka. Kwa vijana walijiunga na CCM ili wapate nafasi za kusoma vyuo vikuu na kupata ajira serikalini na mashirika ya umma, lakini siyo kwamba walikuwa wanakubaliana na sera zilizokuwepo.