Treni ya kwanza ya SGR yakamilisha jaribio la safari kwa masaa 6

Hiyo iliyopoteza Masaa 2 njiani ni ile yenye taa kubwa ktkt kama jicho la shetani au na hata hii naona ileile tu hilo libalbu sijui la nini naona mchina kawafanya vby sana
 
472 km treni ya SGR imetumia masaa 6 na dakika 30, nikifikiria treni ya tazara kutoka dar es salaam hadi mbeya 1440 kms, inabeba behewa zaidi ya 20 na inatumia 18 to 20 hours, na inapita milimani, sasa hii ya SGR naona kwa huo umbali nayo ingetumia zaid ya masaa 20, naona ni yale yale abdalah kaitwa dulla, anyway hongereni majirani kwa kufikia hapo
 
Hiyo iliyopoteza Masaa 2 njiani ni ile yenye taa kubwa ktkt kama jicho la shetani au na hata hii naona ileile tu hilo libulbu sijui la nini naona mchina kawafanya vby sana

Unaongea kisukuma ama nini... bulbul ni samaki wa aina gani?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] saidi kuitwa side,selemani kuitwa sule
 
wewe hujasoma taarifa ,ama labda huelewi kiingereza?

''There was a two hour stoppage at Mtito Andei, which is the mid point of the 472km "We were cruising at an average speed of 120km per hour from Nairobi up to Mtito Andei , where all the rail communication modern systems are in place, the journey took 2 hours" he said. But after Mtito Andei, it took longer for the train to cruise to mombasa since they opted to travel at much lower speeds since the signaling and communication system are yet to be complete.''
 
Masaa 6 dakika 30 umetoa wapi??? Mbona nyinyi huota mambo tu na kukurupuka??? Ni tsetse fly za miombo ama ni viroba vya tandale?? 3hrs 50 min
 
Masaa 6 dakika 30 umetoa wapi??? Mbona nyinyi huota mambo tu na kukurupuka??? Ni tsetse fly za miombo ama ni viroba vya tandale?? 3hrs 50 min
kweli kichwa kikubwa kisicho na akili ni adhabu kwa miguu, rudia tena hiyo hesabu yako, treni iliondoka 9:30am imefika 4:00pm, ni 6hrs & 30 min, ikasimama 2hrs & 5 minutes, kwahyo muda kamili ni 4hrs & 25min. ila kama ninasafari yangu nahesabu nimepoteza 6hrs & 30min kwa 472kms kwa usafiri wa SGR, au wakenya nyie kwenu ni usiku na mchana tu saa ni za wazungu so muda siyo tatizo!?
 
Nimepitia threads nyingi hasa zinazohusu maendeleo ya nchi za East Africa.Katika kupitapita huko nimekutana na comments zinazodhihirisha kuwa wakazi hasa wa kutoka Kenya na/au Tanzania wakitoa maneno ya kashfa na wakati mwingine hata matusi.Mimi silaumu upande wowote iwe Wakenya,Watz au nchi yoyote isipokuwa nashangaa ni kwanin inakuwa hivi wakati sisi sote ni wakazi wa eneo hili!!!..Hebu kwa mfano Kenya imeweza kujenga reli ya kisasa ya SG na tayari treni imeanza safari ya majaribio,je kwanini tusipongeze kwa hili??!!...
Pia hili swala la kukashifu mwenzako kwanini lipo??!!,tren inatumia almost 3hrs and 50' from Nai to Mombasa na bado unaona ni bure!!??...Na mtu mwingine eti unamtusi mwenzako tena kwa kumfananisha na tsetse fly au Toilet fly!!?? Hii siyo vyema hata kidogo ndugu zangu.Pia isitoshe unamwambia eti unaita wenzako wasiofaham kiingereza!!,huu ni ujinga ndugu zangu coz lugha hizi zimeletwa tu, leo hii wewe unayejifanya wajua zaid kiingereza mfano nenda Mozambique tu au Congo sijui hicho kiingereza utaongea na nani...Sio tu Kiswahili kinazungumzwa sana nchini Tanzania bali sasa Kiswahili ni lugha inayokuwa kua sana Duniani..Ukienda Uganda,kiswahili uzungumzwa sana na wasomi na ndivyo inavyofahamika huko kuwa Ukizungumza kiswahili basi wewe ni msomi...Swala hili la lugha siyo kwamba ndo linaleta maendeleo ya nchi,na kuzungumza kiingereza ndiyo kungeleta maendeleo basi leo Nchi ya CHINA isengelikuwa kama ilivyo katika maendeleo.
Nimalizie kwa kusema maendeleo hayapingwa isipokuwa yanaigwa tu.
Nasisitiza tuwe pamoja katika swala la maendeleo ya nchi zetu,mwenzako akifanikiwa mpongeze na huo ndo urafiki wa kweli.Ila huu mwendo wa kusengenyana na kutukanana wala hautatusaidia kabisa.
Jamani nasema hivi kwa sababu mimi nilipotembea nchi fulani 2 nilikuwa nashangaa jins Wakenya na Watz ambavyo hatupendan but wazawa wa nchi hizo 2 wanapenda sana Watz kuliko Wakenya and I didn't know why? but nitalifuatilia hili badae kwa kuwa nazo sababu mbalimbali na kuzilinganisha na zile za matokeo.

"Maendeleo hayana lugha wala ukanda,tumeamua kushikamana kusukuma hili gurudumu basi tushikamane kweli kweli"
 
hiyo ni test run , bado reli haijakamilika mpaka mwezi july.
treni express yenyewe itachukua 4 hours from nairobi to mombasa with maximum 30 min stop at mtito andei
kwa hivyo msafiri binafsi atachukua minimum of 4 hours 30 min when operations are officially launched
 
pictures from the first test run of passenger service,only officials and experts from Kenya Railways and CRBC were on board

.

 
Mm, $3.8 bln zinakupa treni kama hizo. Nakumbuka trip ya kwanza jamaa alipiga Urusi, akataka kula cha Warusi, Warusi wakagoma. Akaona isiwe tabu break ya pili China, Wachina wakampokea na kumpa dili ya iliyoshiba, bila kuuliza akaomba chakwake cha juu mapema akarudi kuanzisha chama na watu wanapiga makofi huku wakiitikia na'am.
 
Its matatu and we like it ..the same way we are going to embrace sgr ..yenyu ya stima iko wapi?...leta picha tuone ..bado kwa makaratasi na uko na balls za kukuja kuandika shit hapa ..vitoto vya tanzania ...you don't deserve the word Mr.
Mbona wapovuka... Kutangulia si kufika.. Au umeforget..
 
pictures from the first test run of passenger service,only officials and experts from Kenya Railways and CRBC were on board

.

Wakenya mnapenda sana mapicha... Hiyo train ina very poor interior finishings...matatu have luxury interior than that Chuma chakavu...
 
pictures from the first test run of passenger service,only officials and experts from Kenya Railways and CRBC were on board

.

I can tell u, these Tz trains (older than yours) are way better than Kenya's.
Hizo zenu ni vyuma chakavu. Everybody knows!

Have a close look over these Tz trains. We purchased years back.

Peleka huko hizo vyuma zenu chakavu,
What Chinese did to Kenya is unforgivable
 
Wakenya mnapenda sana mapicha... Hiyo train ina very poor interior finishings...matatu have luxury interior than that Chuma chakavu...

Mwenyewe hauna hata baisikeli ya Mbao..... Duh!! Midanganyika... .
 

The same ones? ??

 
The wagon that was equipped for testing.... It was taking thousands of pictures of the rail itself, measuring speed vs vibration vs stability....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…