Treni ya umeme naona imeanza kazi

Happ full. Huoni na mabehewa ya umeme full. Ndani 2*2 full AC full WiFi full USB full service cafeteria toilets sauna massage room.. Dar to Moro dk 60 yaani Mechi ya Morocco vs Frace haijaisha tushafika Msamvu.
Haya kata tiketi tuwe wa kwanza kupanda
 
Escape from Sobibo
 
Kuna kipande umeme ulikatika hapo katikati ya Soga na Moro ikabidi wawashe injini ya diesel ndiyo maana linajikongoja🤣🤣🤣

Likifika Buguruni litatumia umeme msiwaze
Kwa mwendo huu inaweza isifike hata hapo Buguruni, maana kama hii ni ya umeme kama zile tunazoziona kwenye video basi hii bila shaka itakuwa imeyaona mengi na inakaribia kuumaliza mwendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…