Treni ya Umeme yatumia dakika 114 Dar hadi Morogoro, Wananchi 600 wasafiri

Njia ya Treni na bus ni tofauti. Kwa Barabara toka Dar hadi Morogoro (Msamvu) ni Km 200(194). Kwa njia ya Treni Dar hadi Morogoro ni Km 300. Treni hukwepa sana miinuko ndio maana njia yake ni ni fupi.
Sijaelewa, inapokwepa inakuwa inazunguka, sasa inakuwaje fupi?
 
Hongera watanzania kwa kulipa kodi 😳🤠
 
Kwani mwendokasi ilianza hivi na bado zinapotea 😃😃😃😃😃 na treni SGR itafika kweli
 
Mwakani tutawaleteeni ripoti mtaona hasara yake.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Bongo miyeyusho sana...
 
Hayo ni almost masaa mawili, sasa kwa treni ya umeme bado sana. Ni ujinga tu. Allah hapend wiz wa waz waz namna hii.
Salamaleko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…