Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
10,000
Je Kwa treni hiyo Hadi Moro ni sh ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
10,000
Leo bibi tozo alitoa offer kwa abiria mkuu.Kwa nauli ya Tsh 13,000/= kwa kichwa, watu 600 inamaanisha wamepata Tsh Mil 7.8 kwa kwenda tu.
Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro
Kwa kusikiliza hii kauli, walitumia umeme wa Tsh Laki 3.5 kwenda na kurudi Dar to Moro. Tuweke factors zote, tu-assume watumie wa Laki 4 kwenda tu, inamaana Mil 7.4 faida.
Toa gharama zote za service, sijui itazidi Tsh ngapi ila najua kwakua chuma mpya haina matumizi makubwa kwenye service, na toa posho ya wafanyakazi.
Inamaana chuma inaingiza zaidi ya Mil 5 kwa safari.
According to TRC wamesema kwa siku itakua inapiga route nne.
View attachment 3017294
Kwahiyo ni Mil 20+ faida iyo. Tumetoa matumizi.
Tusubiri waseme wanaendesha kwa hasara.
Dar - Moro kwa siku ni route ngapi?Safari ilianza Saa 12:01 na kufika Morogoro Saa 1:55
Hongera Rais Samia. Hongera Dr Mpango. RIP Shujaa Magufuli
========
Ilikuwa safari ya dakika 114 zenye bashasha, abiria zaidi ya 600 wakiwa kwenye mabehewa 14 ya treni ya umeme iliyoanza safari ya kwanza leo Juni 14, 2024 ikiongozwa na nahodha, Ahazi Mfupa. Treni iliondoka Dar es Salaam saa 12:01 asubuhi na kuwasili Morogoro saa 1:55 asubuhi.
Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema safari hiyo imehusisha mabehewa 14, matatu yakiwa ya daraja la juu.
"Tumekuja na abiria kama 600 hadi 700, mabehewa mengi yalikuwa yamejaa, ingawa hadi yote 14 yajae tungefika 1,000," amesema Kadogosa katika mahojiano na Mwananchi Digital.
Safari ilivyokuwa
Katika stesheni ya SGR Dar es Salaam, abiria walianza kuwasili saa 11.00 asubuhi. Kila aliyesafiri kabla ya kuingia ndani treni alikaguliwa kwa kutumia skana. Ilipofika saa 11.30 asubuhi, kulitolewa tangazo kuwataka abiria wanaosafiri waendelee kuingia ndani ya treni.
Matangazo yaliendelea hadi dakika tano kabla ya safari kuanza. Ilipofika saa 12.01 asubuhi treni ilianza safari kuelekea Morogoro. Ilipofika Kituo cha Pugu, ilisimama kwa dakika mbili na kupakia abiria wachache waliokuwa kituoni hapo. Mbali na kituo hicho, pia ilisimama kwa dakika mbili kwenye vituo vya Soga na Ngerengere kabla ya kuwasili stesheni ya Kihonda.
Tofauti na wakati wa safari ya majaribio Februari 27, 2024 iliyotumia saa 2.20, leo ikiwa ni safari ya kwanza ya abiria treni hiyo imetumia saa 1:55 kufika Morogoro.
Ukataji tiketi
Maswali ya wengi ilikuwa ni namna ya kukata tiketi. Kadogosa amesema abiria anaweza kukata kwa njia ya mtandao au dirishani kwenye ofisi za TRC. Japo kulikuwa na sintofahamu ya nauli, Kadogosa amesema Sh13,000 kwa daraja la kawaida ni nauli rafiki. "Hii ni treni ya Watanzania, zimewekwa nauli rafiki watu kuzimudu," amesema.
Baadhi ya abiria wakiwa ndani ya treni iliyoanza safari ya kwanza kutoka Jijini Dar es Salaam kwenda Morogoro.
Vyakula, vinywaji marufuku
Katika usafiri huo, hairuhusiwi kuingia na kinywaji chochote wala chakula. Mmoja wa wahudumu katika treni hiyo, Zuhura Milala amesema kila kitu kinapatikana ndani ya treni na kwenye stesheni. Japo katika safari ya leo, waliotumia vinywaji walikuwa wachache, ikielezwa huenda ni kutokana na wengi kutokuhitaji kutokana na muda waliosafiri na mabehewa mengi hakuna aliyeulizia.
Nahodha afunguka
Nahodha aliyeendesha treni hiyo, Ahazi Mfupa amesema hakuwa anafahamu kama yeye ndiye atakayekabidhiwa jukumu hilo hadi siku chache kabla ya safari. "Tuko manahodha waandamizi wengi, nilichaguliwa mimi na mwenzangu mmoja kuendesha treni hii, nashukuru Mungu safari yetu imekuwa nzuri na tumefika kwa muda tulioutarajia," amesema.
Mfupa amesema wametembea kwa mwendo wa juu wa kilomita 155 kwa saa ingawa treni hiyo uwezo wake wa juu ni kilomita 160 kwa saa.
Walichosema abiria
Wakizungumzia usafiri huo, baadhi ya abiria wamesema imekuwa na mwanzo mzuri. "Huduma tuliyoipata leo ikiwa endelevu ni usafiri mzuri, maana abiria unafika unapokewa vizuri na kila hatua ya safari mnaelezwa," amesema Noela Alphonce, mkazi wa Dar es Salaam.
Abiria mwingine, Albert John amesema aliposikia treni inaanza safari leo, aliamua kukata tiketi na kusafiri.
"Sikutaka nisimuliwe, nimeamua kutumia tu pesa yangu kuja na kurudi ili nijionee mwenyewe usafiri huu ulivyo," amesema.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile aliwahimiza Watanzania kutumia vema usafiri huo kwa usafi na ulinzi kwa kuwa ni kitu chao.
300 Kwa saa unataka kuua watz wenzio njiani ?Mradi ni mzuri ila wananchi tumepigwa. Huo ni mwendo wa kinyonga, kwani zile treni za China hawazioni? Dude linaenda kilomita 301 kwa saa.
Are you sureMasaa 5 ama 6 kasoro.
Hasahasa engineers and drivers wa treni ama hata mkurugenziKina abood lazima waanze hujuma mkuu
Watakuwa wanawatumia wafanyakazi wa shirika
Zitauwa watu road ni finyu sana, moro dar inatakiwa road iwe na njia 4, kwenye makutano iwe fly overBus ziludi Enzi za 2hrs . Moro Dar .
We ni faiza wa wap?Hayo ni almost masaa mawili, sasa kwa treni ya umeme bado sana. Ni ujinga tu. Allah hapend wiz wa waz waz namna hii.
Salamaleko
Nani amekabidhiwa ulinzi wa vyooni, maana huko ndiko treni itaanza kuharibikiaSafari ilianza Saa 12:01 na kufika Morogoro Saa 1:55
Hongera Rais Samia. Hongera Dr Mpango. RIP Shujaa Magufuli
========
Ilikuwa safari ya dakika 114 zenye bashasha, abiria zaidi ya 600 wakiwa kwenye mabehewa 14 ya treni ya umeme iliyoanza safari ya kwanza leo Juni 14, 2024 ikiongozwa na nahodha, Ahazi Mfupa. Treni iliondoka Dar es Salaam saa 12:01 asubuhi na kuwasili Morogoro saa 1:55 asubuhi.
Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema safari hiyo imehusisha mabehewa 14, matatu yakiwa ya daraja la juu.
"Tumekuja na abiria kama 600 hadi 700, mabehewa mengi yalikuwa yamejaa, ingawa hadi yote 14 yajae tungefika 1,000," amesema Kadogosa katika mahojiano na Mwananchi Digital.
Safari ilivyokuwa
Katika stesheni ya SGR Dar es Salaam, abiria walianza kuwasili saa 11.00 asubuhi. Kila aliyesafiri kabla ya kuingia ndani treni alikaguliwa kwa kutumia skana. Ilipofika saa 11.30 asubuhi, kulitolewa tangazo kuwataka abiria wanaosafiri waendelee kuingia ndani ya treni.
Matangazo yaliendelea hadi dakika tano kabla ya safari kuanza. Ilipofika saa 12.01 asubuhi treni ilianza safari kuelekea Morogoro. Ilipofika Kituo cha Pugu, ilisimama kwa dakika mbili na kupakia abiria wachache waliokuwa kituoni hapo. Mbali na kituo hicho, pia ilisimama kwa dakika mbili kwenye vituo vya Soga na Ngerengere kabla ya kuwasili stesheni ya Kihonda.
Tofauti na wakati wa safari ya majaribio Februari 27, 2024 iliyotumia saa 2.20, leo ikiwa ni safari ya kwanza ya abiria treni hiyo imetumia saa 1:55 kufika Morogoro.
Ukataji tiketi
Maswali ya wengi ilikuwa ni namna ya kukata tiketi. Kadogosa amesema abiria anaweza kukata kwa njia ya mtandao au dirishani kwenye ofisi za TRC. Japo kulikuwa na sintofahamu ya nauli, Kadogosa amesema Sh13,000 kwa daraja la kawaida ni nauli rafiki. "Hii ni treni ya Watanzania, zimewekwa nauli rafiki watu kuzimudu," amesema.
Baadhi ya abiria wakiwa ndani ya treni iliyoanza safari ya kwanza kutoka Jijini Dar es Salaam kwenda Morogoro.
Vyakula, vinywaji marufuku
Katika usafiri huo, hairuhusiwi kuingia na kinywaji chochote wala chakula. Mmoja wa wahudumu katika treni hiyo, Zuhura Milala amesema kila kitu kinapatikana ndani ya treni na kwenye stesheni. Japo katika safari ya leo, waliotumia vinywaji walikuwa wachache, ikielezwa huenda ni kutokana na wengi kutokuhitaji kutokana na muda waliosafiri na mabehewa mengi hakuna aliyeulizia.
Nahodha afunguka
Nahodha aliyeendesha treni hiyo, Ahazi Mfupa amesema hakuwa anafahamu kama yeye ndiye atakayekabidhiwa jukumu hilo hadi siku chache kabla ya safari. "Tuko manahodha waandamizi wengi, nilichaguliwa mimi na mwenzangu mmoja kuendesha treni hii, nashukuru Mungu safari yetu imekuwa nzuri na tumefika kwa muda tulioutarajia," amesema.
Mfupa amesema wametembea kwa mwendo wa juu wa kilomita 155 kwa saa ingawa treni hiyo uwezo wake wa juu ni kilomita 160 kwa saa.
Walichosema abiria
Wakizungumzia usafiri huo, baadhi ya abiria wamesema imekuwa na mwanzo mzuri. "Huduma tuliyoipata leo ikiwa endelevu ni usafiri mzuri, maana abiria unafika unapokewa vizuri na kila hatua ya safari mnaelezwa," amesema Noela Alphonce, mkazi wa Dar es Salaam.
Abiria mwingine, Albert John amesema aliposikia treni inaanza safari leo, aliamua kukata tiketi na kusafiri.
"Sikutaka nisimuliwe, nimeamua kutumia tu pesa yangu kuja na kurudi ili nijionee mwenyewe usafiri huu ulivyo," amesema.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile aliwahimiza Watanzania kutumia vema usafiri huo kwa usafi na ulinzi kwa kuwa ni kitu chao.
Hapo Mwisho bila shaka ulitaka kusema ni ndefuNjia ya Treni na bus ni tofauti. Kwa Barabara toka Dar hadi Morogoro (Msamvu) ni Km 200(194). Kwa njia ya Treni Dar hadi Morogoro ni Km 300. Treni hukwepa sana miinuko ndio maana njia yake ni ni fupi.
Picha TafadhaliSafari ilianza Saa 12:01 na kufika Morogoro Saa 1:55

Kwa bus Dar Moro ni masaa 4,Walete vichwa vipya na vya kisasa vya treni , huo muda wa safari masaa mawili Dar-Moro ni mrefu sana, Dar-Moro inapaswa iwe saa moja tu kwa usafiri wa SGR, Dar-Dom iwe 3 hours na Dar - Mwanza 6 hours , otherwise bado tutapanda mabasi na treni itaendeshwa kwa hasara na kufa!!
Huo muda wa leo wa safari tofauti ni ndogo na usafiri wa mabasi, binafsi sijaona maajabu ya SGR
Mkuu 'Mad',Tusubiri waseme wanaendesha kwa hasara.
Samia si alikuwa hapo pembezoni mwake muda wote, imekuwaje tukaishia huku tulipo sasa chini ya msaidizi wake?Vision ya Magufuli kweli tunahitaji rais mwingine mwenye vision ya Hali ya juu kuhusu Nchi.
Dah inauma mzee, sana sio kidogo. Ngoja tusiwajudge mapema tusubiri mwakani mwezi wa 6.Mkuu 'Mad',
Mie hupenda sana watu wa aina yako. Wanatoa ufafanuzi papo kwa papo bila ya mizunguko.
Huko serikalini tungekuwa na watu wenye kufanya hivi, nchi yetu isingekuwa na matatizo mengi tuliyo nayo sasa.
Hapa JF, mfano wako ni nadra sana.
Nikupe Hongera za Dhati kabisa.
Sasa ni hivi:
Kule Bandarini Dar es Salaam, unadhani hapakuwepo na watu wenye vichwa timamu kama hiki chako?
Unafikiri U-DART hakuna wanaojua udadavuzi kama wako?
Nashukuru umehitimisha kwa kuweka huo mstari wa mwisho nilio unyanyua na kuubandika hapo juu.
Hili ni kama tamaduni ndani ya nchi hii.
Nionyeshe mahali popote ambapo imekuwa ni tofauti: kwenye Ndege; kwenye kilimo chetu; kwenye ufugaji wa kuku; kwenye viwanda vyetu, Feri Kigamboni, n.k., n.k..
Ninachoweza kukubashilia kuhusu hii SGR; haitakuwa tofauti sana na ile reli ya mjerumani/Mwingereza, au ile ya mchina.
Tutawatafuta wawekezaji toka nje, kama wale wa India wakati ule, lakini haitafua dafu.
Sitaki kuwa wakala wa shetani kwa nchi yangu. Kwa hiyo nasema hivi..., uozo wote huu tutauacha nyuma hapo tutakapofanikiwa kuwapata viongozi wanao jali maslahi ya nchi hii, siyo hawa akina Samia.
Walitangaza wapi jamani mbona tunakoseshana madeal. Mzee wa kupambania issue kama izi hausemi.Leo bibi tozo alitoa offer kwa abiria mkuu.
Bila 'overhaul' ya chanzo cha uozo tulio nao kila mahali, ni garantii, hiyo SGR haitakuwa tofauti na sehemu zingine.Dah inauma mzee, sana sio kidogo. Ngoja tusiwajudge mapema tusubiri mwakani mwezi wa 6.
Ndonaposhangaa moro hapo tu masaa 2Hakuna cha kuwapongeza, tuliwaajili wafanye hayo. chawa mkubwa we 😀 😀 😀 😀
Pili, masaa mawili km 192 km ni muda mwingi sana. Ulaya ni 300km/hr. Ilibidi iwe less tha an hour. Bado waliiba hela wakaleta mikweche.,
13000Je Kwa treni hiyo Hadi Moro ni sh ngapi?