Tribulation ni kama onyo kwa marapa wabana pua wote

Nakata wings si ulitaka upae.....|
kama ibrahim alivyomtoa sadaka mwanaye...|
Mungu akamkataza, namwambia Mungu this is personal...|
and this is not a half of what i have in my arsenal..|
Unawekaje picha ya shoga na wasiwasi na wewe
 
Mistari mizuri.. Ila jinsi anavyorap haihamasishi kusikiliza. Abadili jinsi ya kuflow.
 
Mistari mizuri.. Ila jinsi anavyorap haihamasishi kusikiliza. Abadili jinsi ya kuflow.
Mimi napenda vile anavyoflow cheki hapa
Rafiki yangu aliniambia nyimbo zangu mbovu..|
Eti sauti yangu chovu..|
Ndugu yangu wa damu alisema vision yangu pofu..|
Na bado tunaonge so unamaindi kisa like bob..|

Misingi yangu haipasuki man..|
Una confuse ushindani na ukinzani..|

Sikutukani labda uanzishe
chuki nami..|
Naiheshimu culture
nikifagia situpi ndani..|
 
Mistari mikali.. lakini flow yake mbovu
 
Tunatofautiana...
Nimesikiliza ngoma zake 2, nimeona hili jinsi anavyorap haivutii masikio kuendelea kusikiliza.
 
Yaani hata lady JD ukimuuliza dizasta hamjui,Ila killer anajulikana,dizasta anajulikana tamaduni tu
Look street verified legend (and)
No crown on my head
Ask around i 'd be claimed by the crown..|
King of underground riterally, am down to the earth..|
 
I eat people

Nyoko kila ukinifata umeBeep kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…