Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
- Thread starter
- #221
...58
Ikiwa usingizi umenikorea, nilisikia dirisha linagogwa, alikuwa yunge mkubwa,
Nilimfungulia mlango nikiwa nmefumba macho akaingia, kisha nikafunga mlango,
Mbona hujawasha taa?
Akauliza yunge.
Taa amechuka babu anakazi nayo, Nlimwambia.
Nilipapasa ilipokuwa taa na kuiweka uvunguni.
Kwahiyo uliyoweka uvunguni sio taa? Aliuliza,
Nilikaa kimya maana niliona naingiliwa mambo yangu.
Hilo nadhani aliligundua kwamba sijapenda maswali yake hivyo akabadili mada.
Kiukweli nimeshindwa kulala pekeyangu jamani, yaani najigeuza tu bila usingizi, mwisho nikawaza kwanini kujitesa ingali dawa ipo?
Ukweli nimekuzoea ghafla mno, nimeshindwa kujizuia kwakweli, ila nashangaa mwenzangu nakuta unakoroma kabisa mhh!
Aliongea mfululizo na kutupa lawama.
Nimechoka mno mchumba wangu, nilienda kiwanjani kufanya mazoezi kiukweli nnausingizi wa hatari, nilibu.
Redio ipo wapi? Nataka uniwekee redio maria nisikilize kwaya, aliomba yunge.
Imeisha betri, nilidanganya.
Hahaaa!
Najua A to Z, sema babu angeacha tukutese kidogo alisema.