Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
- Thread starter
- #681
...105
Bibi alikuwa ananitazama kama ananisoma nini nawaza, nilipokutanisha nae macho alibabaika na kuangalia pembeni, niliwaza huenda kuna ishara inamfanya kuwa na wasiwasi na mimi.
Baada ya kufungua vinywa babu alimtaka bibi waondoke wakaone yatayojili huko msibani kwani kulikuwa na vioja vya aina yake, waliondoka huku babu akinitaka nisivuke mpaka wa pale nyumbani, nilikubali huku moyoni nikilaani zuio lile kwani lilinichelewesha kupata ukweli wa ndoto niliyoota usiku huku yunge mdogo akinambia haikuwa ndoto.
Nilitamani niende nyuma ya nyumba ya nyasi (jikoni) ili nimwite yunge mdogo, lakini nijijizuia kutokana na huenda kulikuwepo na wazazi wake, basi niliingia getoni mwangu nikachukua kiredio changu, pia nikakumbuka ndani ya begi palikuwa na game (tetri) nilichukua nikaenda navyo nje ambapo nilifungulia clouds fm, mda ule wa saa 5 kulikuwa na top 20, hivyo nilienjoy good myuzik huku nikifurahia game langu, mpaka saa 6:55 yunge mdogo hakuwa ametokea.
Spooorts roundup, ilisikika sauti kutoka redioni...!