True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Kama hujaelewa uliza ueleweshwe, kwani top 20 ilikuwa inaanza muda gani na sports roundup ilikuwa muda gani? Na wapi nimesema siku hiyo niligonga dem?
Vichwa vingine bwana mafi kbs.
hivi hawa wajuaji siuwe unawablock tu
 
UANDISHI WAKO WA KITOTO UNAWEKA MANENO MENGI YA UONGO AMBAYO KWA WATU WA KIJIJINI HAWAWEZI YATAMKA. UNATAKA KUONESHA UMECHANGAMKA SANA MPAKA UNAHARIBU. BADO JIFUNZE KUSIMULIA IONEKANE KAMA YA UKWELI. WEWE UNASIMULIA INAONEKANA NI UONGO KABISA.
Wachawi hawataki mambo yao yawekwe wazi,bila shaka huyu Chizi ni dada ake Yunge mdogo
 
Back
Top Bottom