Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanda ya ziwa sio kanda ya kaskazini. Huwa wanamaanisha mfano kwenye kijiji pale palipochangamka changamka penye huduma zote kama maduka, bar nkNeno senta naliona sana kwa story za kanda ya kaskazini zinazoandikwa huku
Bado ccy ngoja niisome
Shusha vitu nzeheee....66
Lakini kilichonishangaza ni bibi kuwa na wasiwasi huku akiangaza macho huku na kule na tangu afike pale hakuonekana kuchangamka kama wenzie, nikiwa bado namtazama bibi na hali yake nilisikia sauti ya yunge akinipa maelekezo kupitia upembe,
Ukitaka kusikia maongezi ya mtu yeyote fumba jicho moja na jingine umkazie kumtazama mtu unayetaka usikie maongezi yake kwani sasa mkutano haujaanza ndo maana sauti husikii, ila mkutano ukianza utasikia kila kitu, ilisikika sauti ya yunge kupitia upembe.
Basi nilfanya majaribio kwa bibi ambae alionekana kutotulia kama kunajambo amelihisi!
Nilimwona akimfata yunge na kumvuta pembeni, hapohapo nilifumba jicho moja kisha nikawakazia jicho moja bibi na yunge, nilisikia kwenye ule upembe sauti ya bibi akimwambia yunge,
Mbona moyo wangu unawasiwasi hivi? Najihisi kutokuwa huru tangu nimefika hapa na mwili unanisisimka, sijui kuna shida gani, aliuliza bibi.
Nikawaida tu bibi utakaa sawa, huwenda wakati wa kuja mmepita njia mbaya,
Alijibu.
Aliondoka pale.
Mara ghafla...!
Yunge ni motoo....bhebe nyanda...67
Ghafla lilitimka vumbi zito sana kusini mwa kilinge kile cha wale watu, wote waligeka kutazama kule, wengine niliona wakisogea pembeni ili kuachia njia ya kupita hicho kitu kinachokuja.
Lilionekana lijifisi kubwa kuliko wote waliokuwa pale, alifika na kuuzunguka moto ule kwa mbwembwe na madoido, kisha akasimama ambapo sasa vumbi lilitulia,
Sikuamini alipoonekana jimama lililoshiba na kujazia mwili (kibonge) likishuka hali limevaa kama wale wachawi wengine wa kike kufunika nyuchi na matiti pekee huku wanaume wakiwa wamefunika nyuchi pekee na kubaki vifua wazi.
Alikuwa amebeba mtoto wa umri kati ya miaka 3 na 4.
Wale wengine walipiga kelele za shangwe na wengine wanaume kupiga mbinja kwa furaha.
Masufuria mengi na makubwa yenye masizi meusi kwa nje yalijitokeza ghafla pale karibu na moto.
Wakati huu nilikuwa natetemeka kwa uwoga na baridi kali la usiku lakini nilijikaza mpaka mwisho.
Twidegeleke lolo bhadugu bhane (sasa tusikilizane ndugu zangu).
Nisauti aliyoitoa yunge na watu wote walikaa kimya.
Kuna Watu wana ajenda na uzi huu, hivyo ngoja tuone kwanza.Balaaa Ila napenda uko fasta
Sorry mama.Kina nani wanasemezana kimafumbo.
Nitag hyo sehem nijionee.
ThawaSorry mama.
Labda Pettymagambo hajapenda tusome story yake madam😂😂Kina nani wanasemezana kimafumbo.
Nitag hyo sehem nijionee.
Mhhh yawezekana ngoja tuoneLabda Pettymagambo hajapenda tusome story yake madam😂😂