Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
- Thread starter
- #1,181
Ee hivyohivyo.Maana ake tusikilizane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ee hivyohivyo.Maana ake tusikilizane
Ila wewe.Mzee hi story yako imeniogopesha Sana want narudi home nilipitia swaswa , Kisha kuja ilazo Ninako ishi natembee mdgomdg kuelekea ilazo huku nasoma story yako ajabu nikakutana na paka mwenye mabaka meusi meusi na meupe akasimama kwa ujasiri Basi namm nikamvyonza [emoji23] Kisha nikaendekea nasafar nafika home nafuta geti nashangaa kumuona yule paka Tena akinitangulia mbele yangu kwa kuruka ukuta na Kisha kukimbilia uvunguni mwa gari iliyo paki nikitafuta fimbo nimfate huku najeuza macho HV kurud sijamuona paka
Aliko pitaa huwenda Ni yunge ananichezea
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wegero ww Ni mnafiki Sana ingekuta bwana wako umughaka ndio katupia story usingekuwa unasumbua humu wee Ni mjinga Sana Sana kuwai kutoke hapa jf shenz sanaHuwezi kuweka maana uongo umeisha tayar hivo unatafuta namna ya kuunganisha uongo
Ngosha mbona una kiburi na jeuri je wee ni[emoji2380][emoji2380] upinde nnUkipita ama usipite nitapungukiwa ama kuongezewa nini?
Basi nausipite.
Atakua katokomea nzuguni 😁Mzee hi story yako imeniogopesha Sana want narudi home nilipitia swaswa , Kisha kuja ilazo Ninako ishi natembee mdgomdg kuelekea ilazo huku nasoma story yako ajabu nikakutana na paka mwenye mabaka meusi meusi na meupe akasimama kwa ujasiri Basi namm nikamvyonza [emoji23] Kisha nikaendekea nasafar nafika home nafuta geti nashangaa kumuona yule paka Tena akinitangulia mbele yangu kwa kuruka ukuta na Kisha kukimbilia uvunguni mwa gari iliyo paki nikitafuta fimbo nimfate huku najeuza macho HV kurud sijamuona paka
Aliko pitaa huwenda Ni yunge ananichezea
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwanangu ungeongeza kama episode tatu hv zaidi zitufikishe mpaka kwenye mechi ya simbaIla wewe.
Tunapoelekea hii story itafupishwa mpaka mistari mitano kila episode.Shusha mdogo mdogo mpaka siku ya ramadhani,tuna uhakika wa kuishi mpaka mwakani hivyo hatuna haraka
Wale wenye afya mgogoro na majobless ndo wanaomba story iishe haraka maana hawana uhakika wa kuwepo kesho
[emoji23][emoji23] ibaweza kuwa Kweli mnk Kuna joruba liko hapa kwa nyuma njia ya kuelekea nzuguniAtakua katokomea nzuguni [emoji16]
😂[emoji23][emoji23] ibaweza kuwa Kweli mnk Kuna joruba liko hapa kwa nyuma njia ya kuelekea nzuguni
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
HahahaaaWanawake hamna dogo.
Ila wewe.