True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

Ile imeishia njiani hajatwambioa maisha baada ya mausia
Hiyo ni next chapter chief. Ni kipande kipya kwenye masimulizi. Ukiachana na maisha baada ya pale, pia kuna maisha kabla ya pale ambayo hayajasimuliwa.

Ni kama movie series tu, season inapoisha, watazamaji huwa na hamu sana na season ijayo, maana inakuwa imeishia patamu 😅😅
 
Back
Top Bottom