True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

SEHEMU YA 3:

Kipindi hiki cha ujauzito wake ndio nilipitia wakati mgumu zaidi, mambo mengi sana yaliendelea yaliyonivuruga sana, bidada alibadilika mno
Wakati mwingine najipa moyo huenda mimba yake tu inasumbua, au nafikiri mimba inanichukia lakini wakati mwingine nahisi noo hapana hata kama mimba inanichukia sio kwa kiwango hicho.

Simu zikawa hazipokelewi tena, zikipokelewa haongei, akiongea ananifokea(Nakumbuka Banana Zorro ameandika haya kwenye wimbo mmoja sikumbuki jina lake, basi nilikuwa nikiusikia huu wimbo naumia sana ni kama aliniandikia mimi)
Kilichokuwa kinaniumiza pamoja na mapenzi yangu kwake lakini nilikuwa najitahidi kuokoa penzi kukwepa aibu, kwanza penzi lisife sababu ntaonekanaje mbele za watu, pili sikutaka maishani mwangu kuwa na rekodi ya kuwahi kuvunja ndoa tatu isije kuwa tu nimepigiwa mimba maana ni aibu sana

Maisha yakawa yanakwenda kwa mtindo huo wa mimi ndio nipige simu nisipopiga siongei nae na nikipiga ndio lolote linaweza kutokea kati ya yale matatu, nikawa sielewi kabisa kinachoendelea, wakati mwingine napiga simu anapokea work mate mwenzie anasema "BM anasema usimsumbue" dah basi mimi huku nikikata simu nachanganyikiwa kabisa kabisa.
Halafu ushirikishwaji ukawa haupo kabisa, siku za kujifungua zinakaribia lakini hakuna kinachopangwa wala chochote juu ya maandalizi ya kujifungua kuna siku nikampigia nikamuuliza kwa unyoonge bibie mbona mambo sio mambo hivi mimba yangu kweli hiyo? Akanijibu kitanda hakizai haramu[emoji2307][emoji2307][emoji2307]mpaka kesho najiuliza alidhamiria au ndio hasira za ujauzito?
Kwamba mimba sio yangu ama? Sasa mbona kadi ya kliniki kaandika jina langu? Au kaandika kwa kuwa yuko ndoani na mimi? Maswali yalikuwa mengi mnoo!!
Kuna wakati nikampigia simu akakata ikafuata meseji nzito ikiniambia "kwani hicho ki*** hakitulii? Kama unataka tafuta mwanamke mwingine oa achana na mimi" Dah nikawaza sana mimba ndio zinakuwa hivi? Mimba ikikuchukia ndio inakuwa hivi? Mimba na kuachana vinahusianaje?
Hii meseji alikuja kuikataa katakata na hapo nikawaza jambo jingine kwamba huenda hakuandika yeye? Kwahiyo aliandika nani? Lazima ni mtu ambaye hakutaka niendelee na BM. Mwanamke? Hapana haiwezekani lazima ni mwanaume
Hayo ndio yanakuja kunipa mashaka baadae.

Kitu kingine suala la hela ya matumizi sasa, alikuwa anademand pesa nyingi sana na mimi kwa ulimbukeni sijui nilitengenezwa nikawa natuma tu
Miaka hiyo Laki ilikuwa ina heshima kidogo, sasa akawa anaitaka kila mwisho wa mwezi huku ana kazi yake
Alinipunyua sana hela mpaka nikamlalamikia mama yangu akasema asikubabaishe huyo kwani mimba inakula sh ngapi? Kwa kawaida gharama zinakuwepo kama mimba inamsumbua kama haimsumbui unachotakiwa kufanya ni kujiandaa kwa ajili ya kujifungua..
Kuna siku moja akaomba hela tu ghafla eti akatembee sabasaba nikatuma vipesa kidogo akavirudisha[emoji23][emoji23][emoji23]mimi nikachanganyikiwa kabisa kwa nilivyobadilikiwa, huyu hakuwa BM wangu

Niseme wazi bidada alinimalizia visenti mpaka wakati anajifungua sikuwa na akiba ya maana sana kumfanya ajifungue bila shida, bahati nzuri yeye pia ana kazi na pengine kuna baba mwingine wa mtoto alisaidia kugharamia maana sikusumbuliwa sana.

Kwahiyo kulikuwa kunaendelea vitu ambavyo vilikuwa vinaniacha njia panda
Kuna mambo yanatokea unaona kabisa mimba sio yangu, kuna mengine yanatokea unaona mimba ni yangu ila amenichukia sababu alipofika huko alipata wanaume wengine hivyo hakutaka mimba yangu, ni kitu ambacho hakukitarajia
Mfano kuna siku nilimlalamikia mabadiliko yake akasema kama vipi niachane nae au nafikiri nimemkomoa? Sasa mimi huku hata sielewi hayo yametoka wapi
Nilitafsiri kwamba hata kama nimempa mimba bado mambo yake yataenda tu inaonekana mimba ilimharibia mahali alipotaka yeye ndio aolewe kwa sasa

Kwahiyo suala la kuandikwa majina yangu(jambo ambalo sio zito jina linaandikwa tu)
Suala la siku aliyopata mimba(huwa nahisi alikuja siku za hatari)
Na hili kwamba nahisi namkomoa
Haya tu ndio yanafanya nihisi mimba ni yangu, mengine mengi yafuatayo ni wazi mimba haikuwa yangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Siku zilisonga, alipokaribia kujifungua akanitaka nikamchukue, nikaenda, nilikaa nae wiki moja kabla sijamchukua, ile wiki niliishi kwa shida sana, kejeli, dhihaka na mengine, yalinichanganya sana

Nikamchukua nikampeleka kwa dada yake ambaye tuko nae mkoa mmoja ambako ndio alipendelea akajifungulie

TUMEMALIZA KIPINDI CHA UCHUMBA, TUMEMALIZA KIPINDI CHA UJAUZITO, TUTAMALIZIA BAADA YA KUJIFUNGUA

NIMEAMUA KUMKATAA MTOTO RASMI
 
Haya mkuu mashahid na majaji tupo, tutaamua hii kesi mwshoni.
 
Ka uzi kazuri asee ila nawewe ni boya sana,kwanini hukufunga safari kwenda huko mkoani kwake?
 
SEHEMU YA 4:

Kabla hatujaendelea mbele nikumbushie kidogo suala kuhamia kwangu ili tuishi pamoja kama tulivyopanga. Nilipomkumbusha kuhusu hilo mwanzoni kabisa akanijibu eti mpaka miaka mitatu ipite...haya yote ni masuala yaliyonitia mashaka makubwa kwamba hapa naachwa.
Hiki anachosema navyojua mimi kiko majeshini sio kwa sekta yake, huku upande wangu nazidi kuchanganyikana tu

Tuendelee mbele, nilipomtua nyumbani kwa dada yake, nikarudi kwangu, Hali ikaendelea vilevile siku zinakaribia sishirikishwi lolote hata kwa utani tu
Mimi nimezoea kuna watu hujadili jina la mtoto mapema na mipango midogo midogo. Nilipomgusia jina suala la jina ikiwa itatokea kwa jinsia zote aligoma kabisa kwa madai kwamba vipi kama akizaliwa akafa? Mimi niliona haka kademu kananiletea ujinga tu inawezekana kuna mwenye hii mimba.

Maajabu ni kwamba sikuwa na jeuri ya kumuacha, ni kila napofikiria kuna mtu mwingine ndio kanipigia mimba BM wangu nilihisi maumivu makali sana ya ajabu
Nikifikia hapo nachofanya ni kubugia pombe nyingi mpaka nazima, sikuwa namudu kukaa kichwa kikavu kabisa kabisa,pombe imenisaidia sana ningeshajiua
Mapenzi yale sijawahi kuyahisi popote na wakati wowote tena na tangu hapo siruhusu kupenda, hakuna kitu kibaya kama kupenda aisee.

Kuna siku nilikuwa nampigia nimjulie hali simu yake ikawa haipatikani, nikapiga sana haikupatikana, nikampigia shangazi yake mmoja ambaye huwa nawasiliana naye kwa lolote, Nikamwambia mbona mwenzangu nampigia hapatikani, akaniambia yuko Labor(sijui ndio inavyoandikwa) Kwa mshangao wa kizuzu nikamuuliza kuna nini
Akacheka cheko fulani la chini chini lakini la kejeli/kebehi akanijibu kirahisi tu uchungu umembana.
Nilijikuta nauliza maswali ya kijinga hayo sababu mke ni wangu, tangu apelekwe hapo leba sijapigiwa mpaka nimepiga mwenyewe. Iliniuma kweli kweli
Kuna watu watalaumu kwa uboya wa namna hii acha walaumu mimi sijawahi kuhisi kile nilikuwa nahisi wakati ule ambacho labda ningeita ndio mapenzi lakini katika hali halisi hayakuwa mapenzi yale.

Kuwakumbusha kitu huyu shangazi siku nimeenda kwao kwa kuwa sikuwa najua taratibu zao na kwa umri wangu kipindi kile sikufuata taratibu za kujitambulisha kwahiyo kuna mambo yalipigwa shortcut, moja wapo ni la mshenga, huyo mama yaani ndugu wa mwanamke ndio akawekwa kuwa mfuatiliaji wa mahari kwangu na eti ndio mshenga, nikajiuliza ndugu wa mke anakuwaje mshenga
Nilikuwa mdogo, nilimpenda bidada, sikuwa na ndugu kunisaidia kwenda kule, tulienda na rafiki yangu tu ilikuwa rahisi kukandamizwa.
Siku hiyo walitupangia mahari ndefu sana nilipotoka hapo nikampigia BM nikamwambia hiyo mahari wananiuzia wewe?
Akasema nisijali hayo maandishi tu, kwahiyo utaona kuna vitu nilivipenda kwa huyu mwanadada alisimama kunitetea, alikuwa upande wangu siku zote hata nilipoenda nae nyumbani kwetu kuna jambo bi mkubwa alitaka kuniweka mtu kati, mtoto akaokoa jahazi

Sasa bwana, huyo shangazi ni aina ya mashangingi fulani hivi, niliahidi mwezi wa kuanza kulipa mahari, mwezi ulipofika nikawa sipumui kwa simu zinavyopigwa.
Kwa bahati nzuri wakati najipanga kuanza kupunguza mahari ndio binti yao akatoa kali ya mwaka kwa kusema ana ujauzito baadae akasema hana mzee wangu akasema hapo kaa kwa umakini kama hujaanza kulipa mahari sitisha.
Kwahiyo wakati bi shangazi anadai mahari mimi nilishaghairi kitambo sikuwaambia tu.
Sasa hiyo ndio stori ya shangazi na kisa cha kupokea simu yangu kwa kejeli na mambo ndio yakaenda hivyo.

Mwanamke wangu alijifungua, bado sikushirikishwa kitu hali iliendelea kuwa ya ukimya, nikakumbushia jina nikaambiwa subiri.
Hata nguvu ya kwenda kumtazama sikuwa nayo, nikabaki nashangaa shangaa tu msaada niliotakiwa kufanikisha nilituma tu sikwenda physical.
Kuna siku wamenipigia BM na mama yake wako kwenye foleni ya zahanati ndio wananipigia nitaje jina nalotaka, nikamuuliza siku zote alikuwa wapi mpaka wanishtukize wakiwa kwenye foleni( nadhani hili walifanya ili nisipate muda wa kubargain wao tayari walikuwa na jina lao) ndio maana kila nikitaka kuhoji ananiharakisha niseme haraka foleni imekaribia.
Nikawajibu siwezi kuchagua jina kwa haraka hivyo kama tayari wana jina lao wamwite, baada ya hapo akanipigia sana mama yake sikupokea na sijui kama nimewahi kuongea nae.
Kamama kajinga kabisa.

Walimpa jina ambalo sikulitaka, nikamuuliza kwanini wamempa jina hilo akasema kwanza ni heshima ya dokta aliyemfanyia upasuaji na pili ni heshima kwa ndugu yangu mmoja, anaitwa jina hilo.

Hilo ni jambo la kwanza kati ya mengi ambalo maamuzi yake mtoaji ni yeye tu, mimi ni baba jina.
Kilichoniuma nimehudumia sana mimba au tulikuwa tunahudumia wawili? Kama ndivyo haka kademu ni kanyoka

Alikaa kwa miezi pale kwa dada yake, ifahamike mpaka wakati huo nilishakata tamaa kwamba hii ndoa haipo na kuna uwezekano huyu mtoto sio wangu. Kwahiyo sikujisumbua kumtaka aniletee mtoto nilitaka kumpima kama ni wangu atamleta tu.

Bwanawee likizo ya uzazi ilipoisha nikasikia tu mtu ananiambia asante kwa msaada tulifika salama[emoji2307][emoji2307][emoji2307][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
Napo alituma meseji kwa kuwa wakati anaondoka aliomba nauli nikampa nikijua ataniletea mtoto, haikuwa hivyo akapitiliza kwake.
Nikapata hasira, nikapata moto. Nikasusa.
Japo nilitakiwa nususe mapema kabisa...

NIMEAMUA KUMKATAA MTOTO RASMI
 
SEHEMU YA 5:

Mwenendo mzima wa BM, Mwenendo mzima wa ujauzito wake na mwenendo mzima wa kujifungua kwake na ushirikishwaji wangu kwake mpaka hapo ulishanipa mashaka sana
Kama mtoto ni wangu kwanini mambo yote haya yanatokea? Kama nilihudumia ujauzito mwanzo mwisho hasira zao/zake juu yangu zinatoka wapi? Bado haitoshi kunifanya baba wa mtoto? Iwe nimetoa mahari au sijatoa madhali sikukaa mbali na mimba kwanini nitengwe hivi?
Anyway wakati wa ujauzito nilijua labda hasira za mimba sasa mbona mambo yanaendelea mpaka baada ya kujifungua?
Taa nyekundu ikazidi kuangaza ndani ya ubongo wangu, isisahaulike stress ziliendelea kuniandama vilivyo, watu wangu wa karibu, ndugu na jamaa wakashangazwa na mabadiliko..lakini kwa mbaali nikaanza kuzisikia roumours kwa watu wakisema hali hii imepelekewa na kuachwa kwangu na mwanamke huyo, watu walijuaje? Nikaanza kunote kitu kwamba inawezekana yeye ndio anayasema haya kwa watu. Hali ilikuwa mbaya sana, najifungia ndani tu kama siko kazini. Huko ndani ni mimi na mitungi tu.
Kwa mara ya kwanza ni wakati huu sikupata usingizi, nilikuwa naweza kukaa macho tu tangu giza linaingia mpaka linapotea siku ya pili. Sikuutamani usiku tena, ni angalau mchana ningekutana na watu nikapoteza mawazo lakini giza likiingia nikabaki peke yangu ilikuwa ni mawazo mwanzo mwisho, mimi na mawazo, mawazo na mimi.

Ikafikia kipindi nikafreeze nikakaa kimya nikakubali matokeo, kwamba hapa sina changu tena. Kilichobaki ikawa kupambana kurudi katika hali yangu ya kawaida. Nilipambana sana mpaka angalau nikawa sawa kidogo.
Mwaka ukaisha, bila mawasiliano yoyote as if kule sina damu yangu, yaani hata simu ya bahati mbaya haikuwepo hapo nikaamini kuna mwenye mtoto anahudumia
Siku moja akanitumia meseji anasema nyumbani kwao wanataka kujua hatima yangu na yeye maana pako kimya tu. Nikapiga akili ya haraka nikaona huo ni mtego, kwao wanasubiri mimi niseme simtaki binti yao ili ionekane mimi ndio nilimuacha na kama kuna madai kwao nisidai, mimi nikamjibu hatima yetu alishaiamua yeye BM hapo kinachofanyika ni kunitega tu.
Kuna kitu akasema sasa kukaa kwako kimya ni kama namfunga yeye(maana yake ni iwapo anataka kuolewa kwingine nitoe go ahead) hapo nikajihakikishia huyu ana mtu mwingine sasa anataka kuolewa
Nikamjibu sijamfunga kama anataka kuolewa anaweza kuolewa tu maan mimi sidai kitu kwao biashara imeisha na kiukweli sikumhitaji tena hata bure.
Akauliza kimtego na mtoto je, nikamjibu nimewapa zawadi, akasema atawaambia yote hayo. Tukamaliza hivyo
Ikumbukwe ni mwaka sasa sijawahi kumuona huyo mtoto, sio mimi wala wazazi wangu.
Kiutaratibu baada ya kujifungua alitakiwa amlete kwangu nimuone, kisha awapelekee babu zake, kama mimi na yeye tulikuwa na matatizo angewapelekea hata wazee wangu, hakufanya hivyo. Na kwao wanaona sawa wala hawakujihangaisha kumshauri juu ya hilo.

Siku tuliyoongea hayo nikafuta na namba zake moja kwa moja, miaka ikakatika nikaja kusikia alipeleka kijijini mtoto akiwa na mwaka mmoja yeye akarudi shule, nikawaza sana huyu mwanamke wa aina gani? Mtoto wa mwaka mmoja kumpeleka kijijini kisa shule mbona shule zipo tu si angesubiri? Sikujali nikaachana nao

Ikawa mwaka wa kwanza, wa pili na wa tatu, mtoto alishakuwa na miaka minne namsikia tu. Mimi nikaendelea na mambo mengine. Nikaanza kusikia kwa watu wa karibu vitu ambavyo ni kama kuna kitu huwa wanaongea nae kinachofanana na kurudiana na huyo mwanadada. Kuna jamaa yangu mlevi siku moja alilewa katika stori akasema utarudiana tu na mama fulani? Yaani BM nikamwambia kwa mapito aliyonipitisha haitawezekana
Akasema tutaona mtoto atawaunganisha tu, kusema kweli mtoto bado nilikuwa namhitaji sio mama yake .

Watu waliamini kweli naweza kumrudia sababu walijua nampenda sana sina ujanja, hata yeye alijua hivyo. Inasemekana hata alipoenda shule alijua mimi sina ujanja wa kumove on atanikuta tu, anakuja kumaliza shule anaanza harakati anakuta mimi nilishapambisha mapenzi kwingine.

Anyway baada ya kuanza kusikia kwa watu vitu vinavyofanana na kurudiana nikaanza kujiandaa kisaikolojia nilijua ni yeye tu anayasema haya. Kweli bwana siku moja akanitumia meseji yuko njiani anataka tuje tuonane, nikamwambia kuna tatizo gani? Akasema tutaongea akifika.
Nikamwambia haiwezekani akasema tuache tofauti zetu bhana turudiane tutunze mtoto. Halafu anaongea kirahisi tu kwa kuwa alijua mimi ni wake tu nampenda sana. Hakujua mambo yalibadilika kutoka mapenzi mpaka chuki.
Mpaka wakati huoa alikuwa ndio binadamu namchukia kuliko wote, yeye hakujua hilo
Kiukweli nilimgomea.

Alipofika akapitiliza chuo alichokuwa anasoma akadai anafuata cheti chake, mimi nikajiuliza huyu cheti alishachukua ni cheti gani amefuata? Nikanyamaza
Jioni hiyo ananipigia simu anajichekesha chekesha kisha akanipa mama mmoja niongee nae, nikaongea nao kidogo nikakata.

Huyu mama tangu akiwa anasoma walikuwa wanaitana mama wa hiyari, huyu mama ilifikia hatua akihitaji kitu ananipigia mimi niko mjini yeye bush namuagizia.
Kuna dhana nyingi zinatembea hapa, inawezekana huyu mama ndio aliwezesha mchongo mzima wa mimi kukamatika kirahisi, na sasa baada ya akili yangu kurudi sawa kwa kuona sielewi tena somo basi BM alirudi kujieleza ili mama afanye mambo tena..hizi ni dhana tu sina hakika ila zenye mantiki mbele ya safari.
Yaani ni kwamba BM alinipenda, alipofika miji ya watu akazuzuka hakunitaka tena, lakini kule nasikia alikuja kuachwa kwa fedheha ndio akanikumbuka mimi wakati tayari nimeshabumburuka nateleza tu kama kambale[emoji1][emoji1][emoji1]
Kuhusu mtoto hata kama sio wangu alijua ntaamini tu maana jina anatumia langu.

Alipotoka huko moja kwa moja akataka tuonane, mizimu ya kwetu ikacheza kama Pele nikagoma[emoji23][emoji23][emoji23](mimi niligoma tu kwa sababu zangu kumbe ningekubali nilikuwa nakwisha, haya niliyajua baadae)
Sababu ya kugoma nilimwambia wewe mtu wa ajabu una mtoto miaka minne sijawahi kumuona na unaona kawaida tu badala yake unataka tuonane mimi na wewe.
Akanibembeleza sana nikamwambia kama unataka kuonana na mimi uje na mtoto, maana yangu nataka kumuona mtoto sio wewe, akakubali
Safari hii hakuwa jeuri sana kila kitu anakubali tu.

Kesho yake akaja na mtoto sikutaka kuonana naye nyumbani kwangu nilimwita tu somewhere(Mizimu iliendelea kucheza part yake[emoji1][emoji1]nasikia ningempeleka home nilikuwa narudi kulekulee kwenye kukamatwa) Baada ya miaka minne ndio wanandoa wanakutana[emoji2307]
Naita wanandoa kwa sababu hatukuwa tumevunja ndoa kisheria lakini kimsingi hakukuwa na ndoa.
Akaja na zawadi fulani za vijijini ni aina ya chakula sitaitaja ilikuwa kwenye kapu.
Kuhusu kwanini tumeonana hapo na sio kwangu kuna namna nilimpiga kiswahili.

Baada ya kutulia umakini wangu wote ulikuwa kwa mtoto, nikamtazamaa, kusema kweli hakuna nilichofanana nae hata kimoja, wakati nakuja kuonana naye nilishaongea na bi mkubwa akasema ukiona hamfanani angalia kitu fulani, kweli wazazi ni wazazi aisee, ndio maana BM n wazazi wake walikimbiza mtoto walijua wazazi wangi wakimuona tu watajua wamepigw au hawajapigwa.
Sisi vijana unaweza kubambikiwa mtoto, sio mama yako, akimshika mtoto tu anajua kila kitu na ndio ilikuwa maana nzima ya kupeleka mtoto kwa babu na bibi zake tangu enzi na ndio sababu kupigana hakukuwepo sana hata ukipigwa ujue wamekutunzia siri kwa sababu maalum sio kwamba hawajajua.

Nilimcheki yule dogo hakufanana na mimi, nikajipa imani wacha nisimhukumu, mradi mama yake anasema mtoto ni wangu acha niwe mtulivu nikiamini kufanana sio ishu sana, basi bwana baada ya stori mbili tatu nikaona mtu anaenda kwa magoti ananiomba nimsamehe ulikuwa ujana utoto tu kama vipi tumalize tofauti zetu tulee mtoto.

Hapa utajiuliza ulikuwa utoto tu upi? Kunijibu dry? Kunitoroshea mtoto? Kunichukulia poapoa? Hapana hapa unapata jibu kwamba utoto wenyewe ulikuwa kupigisha nje. Na sasa kaachwa
Nilimwangalia tu sikumjibu nikamuinua, akajua yameisha si sinaga ujanja kwake.
Tukaendelea na maongezi baadae tukaagana, akataka kunipa ile zawadi kikapuni nikagoma[emoji23][emoji23][emoji23] mizimu ilichukua nafasi yake tena, sijui kwanini mwanzo ilinitelekeza, kuna sababu nilimpa ikabidi arudishe kwa dada yake

Inasemekana ningepokea ile zawadi sasa ndio nilikuwa namalizwa kabisa, sijui ni kweli maana haya naambiwa tu baadae kabisa tena na mtu mwingine kabisa sema mi sio mtu wa maimani inawezekana aliyasema kwa interest zake tu maana nae nina stori nae

Tunaendelea kuweka kumbukumbu

NIMEAMUA KUMKATAA MTOTO RASMI!
 
Sawa mkuu BM....
 
Back
Top Bottom