True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe unamatatizo sana,hivi uncho n'gan'gania hasa nikipi?huna chako hapo kakuona boya tu ndio maana anakupiga hela tu
 
Ndio maana sina imani sana na DNA

Huko ntaambiwa tu mtoto ni wangu, ni suala la kimkakati
 
Tatizo thread yako umeweka ata visivyotakiwa ishu ni kumkataa mtoto unaeleza mpaka mlivotoana bikra na first love wako mala kupata mwingine kuajiriwa duuuh nimeishia apo alipopata manzi mpya aliemalizia anipe summary basi
unampangia?? kama unaona easy andika wewd uzi wako.unafikiri kukaa kutype ninrahis wewe uje tu unnze kusoma.vip bwana
 
Wakati mwingine inabidi ufanye flashback ya matukio ili kuleta maana mbele ya safari
 
unampangia?? kama unaona easy andika wewd uzi wako.unafikiri kukaa kutype ninrahis wewe uje tu unnze kusoma.vip bwana
Wanasoma kama burudani lakini nafikiri wana cha kujifunza
Wamekuwa wanalia juu ya madhila wanayotendewa na wanaume lakini wanaume tuna mengi tumeyafumbata
Inawezekana shida zao ni sababu yao
 
Mkuu kama mtoto yupo na mzazi mwenzio(hata kama kabambikwa), na unataka ukampime DNA na mwanamke hataki, nikikata mrija wa hela za matumizi ya mtoto kuna tatizo?
 
Mkuu kama mtoto yupo na mzazi mwenzio(hata kama kabambikwa), na unataka ukampime DNA na mwanamke hataki, nikikata mrija wa hela za matumizi ya mtoto kuna tatizo?
Mwanamke akikataa DNA hpo ni sawa kukata mtija unakuwa unasubiri nini tena
 
Wanazinguaa Mastory ya kikudaa tuu...Mara iendele mbelee maraa irudi nyumaa kama time travellers..!! Mtu una mkasa na ulipitia kweli unaweza kusummarize na ikawa bonge la story sio huu Utopo wa kucopy mastory huko unakuja kuleta mainshaa marefuu kama msafara wa wangoni.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Rikiboy una nini siku hizi umekuwa mtu wa matusi na kuvimba sana brother, angalia kama kuna tatizo mahali saikolojikaly kisha relax
 
Pole mkuu
Usijaribu kupima DNA kea bongo bado sana
 
Kila la kheri mkuu mwenye majukumu mapya baada ya kupunguza hilo la mtoto
 
Hahahaha pole mkuu kama hili linakukwaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…