mFuKuZa nDoTo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2021
- 492
- 639
- Thread starter
- #141
Atakuja kushtuka baadae, mfano mimi ile munkari ya kutaka mtoto ndio iliniponza ningekuwa na mtoto tayari mwingine nisingejisumbuaNi kweli , mi na mwana anapitia hayo kipindi hichi story zinafanana kwenye swala la mtoto na tabia ya demu wake (japo wote wapo mkoa mmoja) anakamuliwa tu matumizi bora we unauhakika wa kipato...naye mwanzoni alikuwa na machale sahv ndo kapotea kabisa hashikiki..
Naona story yako umenikumbusha mwana, Inahuzunisha Sana !
Wakati mwingine roho mbaya inasaidia, kuna wahuni wanapoambiwa mara moja tu mtoto ni wako nae akiwa na mashaka ni hapo hapo anakacha
Ndio hao tunawalaumu huku mtaani wamekataa watoto kumbe hatufahamu mengi yaliyo ndani