Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona mzee Kashaulo tumetoka kwa khumbu tupo mtaa wa saba sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Pamoja santa
kuna watu wanafurahisha sana yaani yote haya anajidanganya eti ni hasira za mimba hahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaambiwa kitanda hakizai haramu .... Bm anasema usimsumbue [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] na yeye bado tu Yupo na Huyo mtu duuhh hii Ni level ya mwisho kabisa ya uzwazwa
Hii ndo inavyokuwa kaka yaan ukiumizwa kwenye mapenzi moyo unakua wa jiwe , hupendi tena bali unawaheshimu tuu wanawakeHakika, ingawa watu wananipa ushauri juu ya hiki kisa inatakiwa waelewe sihitaji ushauri maisha yalishaendelea
Lakini kama wana hamu ya kushauri nitawarudia wanishauri juu ya namna nilivyokuja kuwa baada ya kisanga hiki.
Sijui nawaonaje wanawake aisee mpaka nahisi nahitaji msaada kupunguza hii, yaani akicheza kidogo tu biashara inaishia hapo sicheleweshi
Ninayeishi naye anafanya kuvumilia tu, jambo dogo tu namuonyesha njia ya kwao
Namtaleta Sana story zenu..mzee mwitore kawafungua akili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naweza sema Jamaa Ni FALA SANAKuna kitu hakiko sawa na Maisha yako ya Mahusiano ya Kimapenzi, Inabidi Ubadilike haraka sana.
- Umekwisha jua kuwa mtoto sio wako.
- Mwanamke alikuwa na Mwanaume mwingine.
Na baso una entertain mahusiano naye. Ama kweli una stahili maumivu yote uliyo yapata.
View attachment 1700793
Mzee wa kuwajulisha nyumbani [emoji3][emoji3]
Wanawake bwana[emoji1][emoji1] hivi vitu havifurahishiKoh... Mwitore Mzee wetu asante sana kwa kisa chako
Si kuna sehem alisema kua anahisi yawezekana mwanzo alifanyiwa mambo kidogoKaka samahani kwa kukwambia hivi ila umetia aibu wanaume wenzako na umewadhalilisha sana.
Mimi ni mwanamke ila najua mipaka yangu kwa mwanaume. Sasa wewe mwanamke anaekukosea adabu hivyo na bado unalazimisha kumfuatilia unakuwa unategemea nini kaka?!
Ungekuwa ndugu yangu ningewambia bi mkubwa tudeal na wewe. Umetia fora kwa aibu. Huo ni upuuzi unafanya. Ukiona mwanamke haeleweki na hana msimamo na wewe, fanya jambo moja tu, ACHANA NAYE. Pambana na maisha yako tafuta mwanamke mwingine.
Kuna wanawake wanasumbuliwa na maroho ya ajabu na mapepo ya uzinifu.
Unafikiri tunafurahia sasa?Wanawake bwana[emoji1][emoji1] hivi vitu havifurahishi
Sio sasa ni miaka kadhaa nyuma imeshapita, haya nimekuwa na jeuri ya kuyasema kwa uhuru na amani sasa hivi.Unafikiri tunafurahia sasa?
Tunaielewa vyema hali unayoipitia kwa sasa. Tatizo huwa munapofushwa. Hata mukishauriwa hamusikiagi munaona kama tuna wivu. Yaan umekatiliqa sana aisee. Mno mno. Hafai huyo mwanamke. Yaan amekufanya bingwa wa dead balls. Wewe ndo wa kubutua dead balls? Mkomeshe haswaa...
Nialike kwenye hii harusi yako...
All the bests, kwa huyu bibie hakuna mke na hakuna mtoto hapo.
Bado kidogomFuKuZa nDoTo kwa iyo story imeishia hapo???