True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

mFuKuZa nDoTo nkuu sehemu inayofuata tunaomba useme ulichoambiwa kwenye simu kuhusu zawadi kutoka kijijini ulizogoma na mipango yake na mama wa hiyari.....
 
mFuKuZa nDoTo nkuu sehemu inayofuata tunaomba useme ulichoambiwa kwenye simu kuhusu zawadi kutoka kijijini ulizogoma na mipango yake na mama wa hiyari.....
Sikuyaandika kwa kirefu hayo kwanza Kufupisha stori
Pili Ingeonekana najitetea kwa uzembe wangu, nimeacha mawazo huru tu kwa wanangu humu atakayeona nilipenda kizembe hayo ni maoni yake
Lakini tatu masuala ya kiimani ni vitu vya kufikirika sana mimi mwenyewe naviamini nusunusu, nikaona nikiviingiza sasa stori itakuwa kama ya kubumba hivi
 
mkuu tuna la kujifunza kupitia wewe ninaomba uweke japo kwa ufupi....sio mara 1 nimeona mambo kama hayo ndio maana vijana tabia ya kulakupa kwa wapenzi tupunguze....
 
Kaka samahani kwa kukwambia hivi ila umetia aibu wanaume wenzako na umewadhalilisha sana.

Mimi ni mwanamke ila najua mipaka yangu kwa mwanaume. Sasa wewe mwanamke anaekukosea adabu hivyo na bado unalazimisha kumfuatilia unakuwa unategemea nini kaka?!

Ungekuwa ndugu yangu ningewambia bi mkubwa tudeal na wewe. Umetia fora kwa aibu. Huo ni upuuzi unafanya. Ukiona mwanamke haeleweki na hana msimamo na wewe, fanya jambo moja tu, ACHANA NAYE. Pambana na maisha yako tafuta mwanamke mwingine.

Kuna wanawake wanasumbuliwa na maroho ya ajabu na mapepo ya uzinifu.
 
Yalishapita labda kama unawashauri wengine

[emoji1][emoji1]
 
mkuu tuna la kujifunza kupitia wewe ninaomba uweke japo kwa ufupi....sio mara 1 nimeona mambo kama hayo ndio maana vijana tabia ya kulakupa kwa wapenzi tupunguze....
Hakika nitajitahidi kujaribu,

Kwa kuwa ni tukio la nyuma sio mbele naweza kulieleza kidogo
Huyo mama yake wa hiyari wakati naanza mahusiano na BM inasemekana ndio alimpa ufundi ili nikae nitulie nisiwe na ujanja, na kweli kwa mapenzi niliyokuwa nayo kwa wakati ule hata mimi kwa sasa naona haikuwa akili ya kawaida ulikuwa ujinga mtupu, sio rahisi kwa akili ya kawaida kupenda vile na sikuwahi kabla labda nitengenezwe tena sio kwa akili hizi za kawaida
BM alipopata ajira mpango wake ulikuwa kusoma kwanza akiwa ndani ya ajira na ndio kisa cha kutoa mimba ilipoingia kwa haraka yeye alitaka asome haraka kisha airudie ndoa yake na ndio kisa cha kuniambia haruhusiwi kuhama mpaka miaka mitatu wakati huo ni utaratibu wa majeshini sio kwa sekta yake
Hata tulipokuwa mapenzini aliwahi kuniuliza ntamuendeleza kusoma? Nikakataa maana siwezi fanya ujinga huo
Kwahiyo adhima ilikuwa iko moyoni mwake kabisa
Kwahiyo alinipenda kweli lakini alikuwa na mipango yake, sasa tatizo la madawa ya mkoa huo hayamtulizi mtu yanamfanya mpumbavu, mabinti wengi wamesababisha wapenzi wao wakafukuzwa kazi maana badala mtu ampende asiwe na sauti anaharibika na kuwa mlevi hovyo asiyejali kazi.

Alipoanza kusoma huko akachanganya mambo mapenzi yakamteka huku mimi akawa hanitaki tena, na ndio pengine mapenzi hayo yalipozaa mtoto
Aliweka mategemeo kule, lakini nako aliachwa ndio akataka kupambania kurudi huku, mimi huku akili zilishanirudi maana hakuna lisilo na mwisho, miaka zaidi ya mitano naona ndumba zilikata ikawa bahati yangu.
Anafanyaje, ndio kurudi tena kwa mama wa hiyari akisingizia anafuata cheti chuoni wakati mimi najua cheti alishachukua machale yakanicheza nikajiambia nitaonana nae ili nimuone yule mtoto lakini sitakula wala "sitakula" chochote chake na kweli mkuu kwanza sikumpeleka home nilimwita eneo lingine na sio room hata pale mezani tulipokaa sikuwa nanunua maji makubwa nilikuwa nanunua madogo ili hata nikiinuka kwenda msalani namaliza maji kabisa ndio naenda, ilitokea mara moja simu ikaita nikaenda kuongea nikaacha kinywaji pale sikunywa tena mpaka akashtuka
Kwenye kikapu aliweka zawadi ya chakula fulani, haya mazao mabichi akijifanya kuniletea kama zawadi
Sikupokea, baadae nikaambiwa ile zawadi lilikuwa tego, kama ningepokea ningevurugikiwa tena, yaani angekuwa ameshikilia maisha yangu mpaka pale atakapotaka yeye.
Kwa sababu miaka kadhaa niliyokuwa napitia kadhia ya mapenzi yake sikufanya maendeleo hata kununua kijiko mkuu inasikitisha sana

Niishie hapo, uliposema vijana wasile hovyo ndio nilipojifunzia hapo tangu wakati huo, sili kwa mwanamke yeyote hasa ninayechepuka nae wala siendi kwake tunakutana juu kwa juu na huwa nawaambia kabisa usijisumbue kunipikia mimi sili, ukiwaambia hivyo wanajishtukia utasikia unaogopa ntakuwekea limbwata
Kimoyomoyo najisemea kwani mna maana nyie

BM alinikamata wakati anasoma, akija kunitembelea ananipikia hapo ndio niliponasa, hata nikikuta meseji ya mapenzi nalia mimi badala yake
 
Wajinga hatuishi mkuu
Aaah usitufanyie hivyo wanaume wenzako, unatufedhehesha mwanaume hautakiwi kuwa intimidated na mwanamke yoyote, ndio maana siku hizi tunadharaulika sana wanawake wanabebesha ujauzito wanabambikia kwako sababu anajua wewe ni dhaifu na hauna maamuzi kwake.

Lazima mwanaume uwe na maamuzi magumu na msimamo. Na hii inaanza kabla haujaingia katika mahusiano. We jiwekee kuwa hautalala kitanda kimoja na mwanamke asiye na adabu na utii kwako. Wakikuletea dharau mwambie atambae zake alaaaaah
 
Ili ujue hawaishi pamoja na shuhuds hizi kesho utasikia mwingine analia

Tulikosea, Tulisahihisha

Amen
 
asante kwa kutuelimisha mkuu....kuna vitu tunajifunza kama binadamu maana maisha yana mambo mengi sana.....ukikaa na watu ndiyo unajifunza
Hakika, ingawa watu wananipa ushauri juu ya hiki kisa inatakiwa waelewe sihitaji ushauri maisha yalishaendelea
Lakini kama wana hamu ya kushauri nitawarudia wanishauri juu ya namna nilivyokuja kuwa baada ya kisanga hiki.

Sijui nawaonaje wanawake aisee mpaka nahisi nahitaji msaada kupunguza hii, yaani akicheza kidogo tu biashara inaishia hapo sicheleweshi

Ninayeishi naye anafanya kuvumilia tu, jambo dogo tu namuonyesha njia ya kwao
 
Hatari 🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom