True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

Ni kweli , mi na mwana anapitia hayo kipindi hichi story zinafanana kwenye swala la mtoto na tabia ya demu wake (japo wote wapo mkoa mmoja) anakamuliwa tu matumizi bora we unauhakika wa kipato...naye mwanzoni alikuwa na machale sahv ndo kapotea kabisa hashikiki..

Naona story yako umenikumbusha mwana, Inahuzunisha Sana !
Atakuja kushtuka baadae, mfano mimi ile munkari ya kutaka mtoto ndio iliniponza ningekuwa na mtoto tayari mwingine nisingejisumbua

Wakati mwingine roho mbaya inasaidia, kuna wahuni wanapoambiwa mara moja tu mtoto ni wako nae akiwa na mashaka ni hapo hapo anakacha

Ndio hao tunawalaumu huku mtaani wamekataa watoto kumbe hatufahamu mengi yaliyo ndani
 
Samahani mkuu naomba unisaidie unaangalia nn ili kujua mtt ni wako au umepigwa ikitokea hujafanana nae? Maana naona umelisema juu juu, utakua umenisaidia sana mkuu.
Mimi suala la kufanana au kutofanana haikuwa ishu ila jumla ya matukio yote ukichanganya na la kutofanana ndio unajua sio mwanao

Halafu inawezekana mtoto sifanane na wewe na asifanane na mama yake?

Huoni hapo ni hajafanana na mama yake ila kafanana na baba yake ambaye ni mtu mwingine?

Halafu katika stori nilisema kuna mazingira yalifanya BM na huyu mwanamke wa sasa wakafahamiana, yaani walikuwa mkoa mmoja huko, Sijui ilikuwaje nikaachana na mwanamke huko nikapata mwingine huko Mungu anajua mipango yake., Sasa katika battle zao kama wanawake walipotibuana huyu wa sasa akaja kuunguza picha kwangu kwamba mtoto mwenyewe ni wa mtu mmoja(alinitajia jina na kazi ya huyo mtu, ni work mate wa BM)
Lakini bado niliona ni vita za wanawake tu, na mimi sipendi kufanya maamuzi kwa mashinikizo mpaka niamue mwenyewe
 
Nimekusoma mkuu. Shukran
 
Kuna visa inawezekana vimesahaulika au vimeondolewa kwa makusudi

Kama kuna mtu hajaelewa anaweza kuuliza
 
Kwenye harakati za mtoto kuonana na wazazi wako umeachia juu juu tu!!! Ina maana hawajaonana? Mtoto ana umri gani sasa?
 
Ushauri wangu ni bora upime DNA ili kuondoa huo walakini wa anaweza kuwa wangu au asiwe wangu,mda wote ulopoteza na gharama zote ungeshapima DNA kitambo naona wakati mwingine unakosa maamuzi ya kiume kwa sababu ya ule walakini sasa kwa nini usifanye jambo moja kumaliza utata huo
Kama ukifata ushauri wangu
★Ukishapima DNA★
Majibu negative:sasa unaweza kukata mawasiliano rasmi na hyo maza msijuane kwa lolote
Majibu positive: Anza kuplay part yako kama unavoweza na sio kuendeshwa endeshwa,malezi ya mtoto yawe kama unavoona inafaa ikiwa mama yake anachofanya siyo sahihi

Kuhusu cheti
Haina haja ya kuendelea kutumia cheti cha ndoa ikiwa ndoa hyo haipo,chukua hatua,japo unadai limbwata limeisha lakini inaonekana bado huyo bibie kakukalia kichwani(anakudrive mno)
 
Ushauri wangu ni bora upime DNA ili kuondoa huo walakini wa anaweza kuwa wangu au asiwe wangu,mda wote ulopoteza na gharama zote ungeshapima DNA kitambo naona wakati mwingine unakosa maamuzi ya kiume kwa sababu ya ule walakini sasa kwa nini usifanye jambo moja kumaliza utata huo
Kama ukifata ushauri wangu
★Ukishapima DNA★
Majibu negative:sasa unaweza kukata mawasiliano rasmi na hyo maza msijuane kwa lolote
Majibu positive: Anza kuplay part yako kama unavoweza na sio kuendeshwa endeshwa,malezi ya mtoto yawe kama inavoona inafaa ikiwa mama yake anachofanya siyo sahihi

Kuhusu cheti
Haina haja ya kuendelea kutumia cheti cha ndoa ikiwa ndoa hyo haipo,chukua hatua,japo unadai limbwata limeisha lakini inaonekana bado huyo bibie kakukalia kichwani(anakidrive mno)
Angeendelea kunidrive nisingefikia maamuzi haya, tunza huu uzi halafu uje kuniuliza miaka ijayo kama nitajihusisha nae tena

Unasema nipime DNA, inamaana unataa nimpigie simu mwanamke yule tena? Nimeshajirudi rudi kumpigia sana yeye hanaga shida na mimi
Haiwezekani mwanamke akaushe tu kirahisi kama mtoto ni wako na wazazi hamjawahi kukorofishana na zaidi yeye ndio alikorofisha

Kama masuala ya DNA ilikuwa wakati uliopita kwa sasa haijalishi ni wangu au sio wangu sitamuanza tena, sitajishughulisha tena labda aanze kunitafuta

Nimekaa nikafikiria sana kabla ya maamuzi haya, sioni ni kipi nitakosa kama nitaachana na hili suala
 
Swala la Upimaji DNA BONGO bado upo? Kuna kipindi fulani watu walikuwa na mwamko wa kupima, mtambo ukawa unatema ukwel hadi huduma ikasitishwa,
Aidha kuna romous kwmba kuna jamaa aliokota mtu mtaan kupima mtoto wake majib yakasoma mtoto wake, kisha jamaa akaenda pima akaambiwa mtoto wake.

Swali ni je huko DNA pana majib ya real au bado hizo fix za kulinda watoto wasiachwe na baba zao zipo.

Na hapa bongo hospital zipi zennye huduma ya DNA?
 
Back
Top Bottom