econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Rais mteule wa Marekani Donald Trump, ameanza mazungumzo ya siri na Iran ili kufikia makubaliano. Mazungumzo haya yalifanyika kwenye eneo lililochaguliwa na Balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa.
Trump aliwakilishwa na Elon Musk kwenye mazungumzo hayo na Iran iliwakilishwa na Balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa Bwana Saeed Iravani. Taarifa ya Iran inadai mazungumzo hayo yanaendelea vizuri na Yana matokeo chanya.
Swali la msingi ni, Iran na Trump wanataka kufikia makubaliano gani? Ngoja tusubirie mwisho wa siku tutapata majawabu.