Mengi uliyoyaandika hayana ukweli hata 1%. Uliyoyaandika kuhusiana na Trump na Netanyahu, ni uwongo mkubwa. Uliyoyaandika kuhusiana na Saudia, ni upuuzi. Hakuna kiongozi yeyote wa Marekani anayeshindwa kwenda nchi ya Mashariki ya kati. Trump hata akiamua kwenda Iran leo hii, ataenda, na Iran itamlinda kwa nguvu zote, maana kwao ni fursa muhimu.
Inaonekana wewe ni mchanga wa siasa za kimataifa. Huelewi hata ni kwa nini mataifa huwa yanaamua kuiwekea vikwazo nchi fulani. Lengo siyo hiyo nchi ibakie kwenye vikwazo milele, bali vikwazo viifanye nchi hiyo kurejea kwenye matakwa ta Dunia. Iran kwa sasa, kwa kuzingatia kauli za watawala wake, wamefikia hatua ya kusalimu amri, na kutaka vikwazo viondolewe, hivyo ipo tayari kutimiza matakwa ya Dunia ili ikubalike na Dunia.
Ikumbukwe kuwa Iran, kabla ya vikwazo ilikuwa ni nchi yenye uchumi na ukuuaji mkubwa wa maendeleo Mashariki ya kati. Leo imekuwa duni, ina uchumi mdogo kuliko mataifa kama Saudia na UAE.
Fikiria GDP ya Iran ni kama dollar billion 400 tu wakati ya Saudia ni kama dola trilioni 1.
Based on IMF's October 2023 data, these are the biggest economies in MENA according to their GDP.
- Türkiye. GDP: $1,150 billion. ...
- Saudi Arabia. GDP: $1,070 billion. ...
- Israel. GDP: $521.69 billion. ...
- United Arab Emirates. GDP: $509.18 billion. ...
- Egypt. GDP: $398.4 billion. ...
- Iran. GDP: $366.44 billion. ...