Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Mengi uliyoyaandika hayana ukweli hata 1%. Uliyoyaandika kuhusiana na Trump na Netanyahu, ni uwongo mkubwa. Uliyoyaandika kuhusiana na Saudia, ni upuuzi. Hakuna kiongozi yeyote wa Marekani anayeshindwa kwenda nchi ya Mashariki ya kati. Trump hata akiamua kwenda Iran leo hii, ataenda, na Iran itamlinda kwa nguvu zote, maana kwao ni fursa muhimu.Mimi tangu mwanzo niliwaambia Tramp atoichokoza IRAN sababu zipo nyingi lkn le naweka 3 1, Tramp kakoswakoswa shaba vianzo vyake vilitwambia Iran imeusika. Tukumbuke Iran ilitangaza kumsaka Tramp. 2 uwezo wa kijesh wa Iran umefainya ISRAEL itafute njia nyengine yakukabiliana na IRAN badala ya kijesh kwamaana itaenda punguziwa vikwazo na pesa anazoidai marekani zitaachiwa dolla bilion10 ili Iran nayo ipunguza mbinyo kwa Israel watu wameshoka kulala kwenye mashimo. 3 Tramp anataka kuwa karibu na Iran kwa faida zake binafsi mfano anataka awe anaenda Saud arabia kumkamua ng,ombe wake ataendaje ikiwa Iran yupo mawindoni kumtoo rooo yake. Pia msisaau tuliwaambia mapema Tramp atamtosa Netanyahu Tramp ataki uyo Netanyahu abaki madarakani kipindi ichi yeye ndio Rais so ilikufanikisha kumtoa Netanyahu Tramp kaona kama ipo fursa kushililikiana na Iran itakuwa jambo jema kwake. Tramp anaenda kumaliza mzozo yote hu mzozo wa Israel viongozi wa Israel waliutamani lkn sasa wameona unawatokea puani kwaiyo wafadhili na waafidhina wanaosupot Israe kipesa kisiasa kiujumla wamempa jukum Tramp kumaliza vita yumkin palestine kama Taifa ikaudwa chini ya Tramp,
Inaonekana wewe ni mchanga wa siasa za kimataifa. Huelewi hata ni kwa nini mataifa huwa yanaamua kuiwekea vikwazo nchi fulani. Lengo siyo hiyo nchi ibakie kwenye vikwazo milele, bali vikwazo viifanye nchi hiyo kurejea kwenye matakwa ta Dunia. Iran kwa sasa, kwa kuzingatia kauli za watawala wake, wamefikia hatua ya kusalimu amri, na kutaka vikwazo viondolewe, hivyo ipo tayari kutimiza matakwa ya Dunia ili ikubalike na Dunia.
Ikumbukwe kuwa Iran, kabla ya vikwazo ilikuwa ni nchi yenye uchumi na ukuuaji mkubwa wa maendeleo Mashariki ya kati. Leo imekuwa duni, ina uchumi mdogo kuliko mataifa kama Saudia na UAE.
Fikiria GDP ya Iran ni kama dollar billion 400 tu wakati ya Saudia ni kama dola trilioni 1.
Based on IMF's October 2023 data, these are the biggest economies in MENA according to their GDP.
- Türkiye. GDP: $1,150 billion. ...
- Saudi Arabia. GDP: $1,070 billion. ...
- Israel. GDP: $521.69 billion. ...
- United Arab Emirates. GDP: $509.18 billion. ...
- Egypt. GDP: $398.4 billion. ...
- Iran. GDP: $366.44 billion. ...