Kwann tukuite mbwa?wewe umetoa maoni yako sasa tena unataka uitwe mbwa? Hii kauli Huwa inatoka kwenye midomo ya wapumbavu na wajingaTrump akifika 2026 akiwa Rais mniite mbwa
Wewe una uhakika gani kua utakua hai huo mwaka mpaka watu wakupate na kukuita Mbwa?Trump akifika 2026 akiwa Rais mniite mbwa
Wamarekani gani hao wanaokereka?Naomba nifahamishwe ni kwanini hili limewakera wamarekani wengi?
Pia kwani taasisi nyingi zinataka kuiboycott Twitter ya Elon musk
MUDA huu wenyewe wewe ni bobi wuwu wuwu wuuuTrump akifika 2026 akiwa Rais mniite mbwa
makobaz yamepaniki mazee dah ...hehe.. yaani yanakesha mitandaoni yakitunga habari za uongoo...eti mwamba trump aongee na lizee la ugaidi ayatola never...irani atulie asubiri dozi yake inaandaliwa freshiii
Pumbavu Wa pray for Israel mko wapi?Rais mteule wa Marekani Donald Trump, ameanza mazungumzo ya siri na Iran ili kufikia makubaliano. Mazungumzo haya yalifanyika kwenye eneo lililochaguliwa na Balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa.
Trump aliwakilishwa na Elon Musk kwenye mazungumzo hayo na Iran iliwakilishwa na Balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa Bwana Saeed Iravani. Taarifa ya Iran inadai mazungumzo hayo yanaendelea vizuri na Yana matokeo chanya.
Swali la msingi ni, Iran na Trump wanataka kufikia makubaliano gani? Ngoja tusubirie mwisho wa siku tutapata majawabu.
Niliwambia wakristo humu Trump.lazima atabadilika Iran ni moto wa kuotea mbali.Rais mteule wa Marekani Donald Trump, ameanza mazungumzo ya siri na Iran ili kufikia makubaliano. Mazungumzo haya yalifanyika kwenye eneo lililochaguliwa na Balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa.
Trump aliwakilishwa na Elon Musk kwenye mazungumzo hayo na Iran iliwakilishwa na Balozi wa Iran kwenye umoja wa mataifa Bwana Saeed Iravani. Taarifa ya Iran inadai mazungumzo hayo yanaendelea vizuri na Yana matokeo chanya.
Swali la msingi ni, Iran na Trump wanataka kufikia makubaliano gani? Ngoja tusubirie mwisho wa siku tutapata majawabu.
Naomba nifahamishwe ni kwanini hili limewakera wamarekani wengi?
Pia kwani taasisi nyingi zinataka kuiboycott Twitter ya Elon musk