Trump aanza mazungumzo ya siri na Iran

Mengi uliyoyaandika hayana ukweli hata 1%. Uliyoyaandika kuhusiana na Trump na Netanyahu, ni uwongo mkubwa. Uliyoyaandika kuhusiana na Saudia, ni upuuzi. Hakuna kiongozi yeyote wa Marekani anayeshindwa kwenda nchi ya Mashariki ya kati. Trump hata akiamua kwenda Iran leo hii, ataenda, na Iran itamlinda kwa nguvu zote, maana kwao ni fursa muhimu.

Inaonekana wewe ni mchanga wa siasa za kimataifa. Huelewi hata ni kwa nini mataifa huwa yanaamua kuiwekea vikwazo nchi fulani. Lengo siyo hiyo nchi ibakie kwenye vikwazo milele, bali vikwazo viifanye nchi hiyo kurejea kwenye matakwa ta Dunia. Iran kwa sasa, kwa kuzingatia kauli za watawala wake, wamefikia hatua ya kusalimu amri, na kutaka vikwazo viondolewe, hivyo ipo tayari kutimiza matakwa ya Dunia ili ikubalike na Dunia.

Ikumbukwe kuwa Iran, kabla ya vikwazo ilikuwa ni nchi yenye uchumi na ukuuaji mkubwa wa maendeleo Mashariki ya kati. Leo imekuwa duni, ina uchumi mdogo kuliko mataifa kama Saudia na UAE.

Fikiria GDP ya Iran ni kama dollar billion 400 tu wakati ya Saudia ni kama dola trilioni 1.
Based on IMF's October 2023 data, these are the biggest economies in MENA according to their GDP.
  1. Türkiye. GDP: $1,150 billion. ...
  2. Saudi Arabia. GDP: $1,070 billion. ...
  3. Israel. GDP: $521.69 billion. ...
  4. United Arab Emirates. GDP: $509.18 billion. ...
  5. Egypt. GDP: $398.4 billion. ...
  6. Iran. GDP: $366.44 billion. ...
 
You are the poorest in this arena.

Uwe unajitahidi kujielimisha:

"Within the Middle East, the Arab–Iranian relationship has rotated between peaceful co-existence and open hostility. The Iran–Iraq War remains the most recent instance of a direct armed conflict between an Arab League country and Iran".


Hivi unafahamu kuwa Saudi Arabia iliamua mpaka kuvunja uhusiano wa kibalozi na Iran?

Mwakajana, Saudi ndiyo imerudisha uhusiano wa kibalozi na Iran, lakini hakuna mkataba ambao upande wowote imeutekeleza.

Saudi-Iranian Relations Restored But Remain Tense​

A year after restoring diplomatic ties, Saudi Arabia and Iran still experience tensions. Conversations and diplomatic reopenings haven't translated into significant agreements due to ongoing regional conflicts and deep-seated distrust, especially concerning their allies and the situations in Yemen and Lebanon.

One year ago, on March 10, 2023, Saudi Arabia and Iran agreed to renew diplomatic relations after a seven-year rupture and pledged to open up a new era of cooperation in their stormy rivalry for primacy in the Persian Gulf.
 
You always talk shit kijana with trivials.

Madai yako unadai kuwa Iran imetengwa kwasababu ya kufadhili MAKUNDI ya kigaidi kama unavyodhani.
Jibu ni BIG NO.Iran imeanza kutengwa tangu 1979 kipindi ambacho hiyo Hamas,Hizbollah wala Houthi hawapo.
Na chanzo Cha kuvunjika amani sio Iran ni USA geopolitics intervention to middle east.

Wacha tuje hapo Kwa Iraq,unajisahaulisha kuwa Iraq ilomvamia Iran 1980 ilikua ya Saddam Hussein mshirika wa USA.
USA ambaye alitaka kumtumia Iraq kuondoa utawala wa kimapinduzi Iran ili arudishe utawala aliouzoea wa kipindi Cha Mohammed Shah.
Hapo hapo umejisahaulisha aliyevamiwa ni Iran Yani Iraq ndio alikua mvamizi,na yeye akileta sababu kuwa anataka kuondoa utawala wa kishia usisambae middle east.
Kichwani wewe mweupeee pee.
Baada ya miaka kadhaa USA hiyo hiyo ikamvamia Iraq na kufanya uhalifu mwingi wa kivita "nenda kamsome Julian Assange" ana ushahidi mzima wa USA kufanya uhalifu wa kivita Iraq.
Na kama ulikua hujui Iraq Sasa hivi inamuona Iran ndio taifa rafiki kuliko udhaniavyo.
Unajua hata sababu ya Saudi Arabia kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Iran!??
Rejelea 2014 Saudi Arabia na USA walivyokua wanashinikiza Mansour abaki kuwa kiongozi wa Yemen ilhali RAIA WA YEMEN HAWAMTAKI MANSOUR.
Houthi walipoungana na raia kumpindua Mansour Saudi na USA ndio walioingilia kati na kuiharibu Yemen,aliyesimama na matakwa ya raia ni Iran ambaye alifadhili mapigano Mansour atoke madarakani.
Usunni na Ushia ndio ukaingia hapo na uhasama ukageuka kuwa wa kidini.
Na Kaa ujue sababu ya uhasama wa mataifa mengi ya kiarabu na Iran hata hiyo Saudia ni USUNNI NA USHIA.
Na huu uhasama wa utofauti wa kimadhehebu ndio USA na Israel wanautumia kuwafarakanisha waarabu na Iran au waarabu Kwa waarabu.
Hata Syria na Lebanon ziliwahi kufarakanishwa Kwa USUNNI na USHIA.

Mazungumzo ya kumaliza uhasama yalianza tangu 2021 kilichobakia ni formalities tu peke yake.

Huna unalojua mweupe pee unabwabwaja tu kama umelishwa usembe.
Hata sababu ya chuki baina ya Iran na waarabu ama waarabu kwa waarabu hujui.
Eti kisa Iran kufadhili MAKUNDI ya kigaidi!!
 
Hayo mazungumzo ya siri mpaka sisi akina Mwakimwagile tunayajua na tukaandika humu JF. Hakika tumekuwa mashushushu wakubwa.
 
Iran hapaswi kuwaamini wa US huyo Trump muhuni tuu anamzubaisha Ayatollah
Kwenye siasa za kimatqifa huwa hakuna kuaminiana ni kama Chess game....Kila mtu anasukuma kete kwamaslahi yake....Trump anaweza kuwa na Nia nzuri lakini mfumo na sera za nchi zikakubana na kamwe ukijaribu kushindanq nazo utakuta unapoteza mda mrefu kushindanq nazo na kuyapa mgongo yale mambo uloahidi kwa wananchi....kwhyo hata kama makubaliano yatafikiwa bado sera ni ileile....adui wa USA ni China kwanza...then Russia then Iran....hii ni sera kwa rais yyte yule atakayekaa pale jumba jeupe
 
Hayo mazungumzo ya siri mpaka sisi akina Mwakimwagile tunayajua na tukaandika humu JF. Hakika tumekuwa mashushushu wakubwa.
Mkuu unaweza kujua watu wanazungumza kisiri ila unaweza usijue kinachozungumzwa.
Usiri upo kwenye kinachojadiliwa ni kipi!?
 
Hayo mazungumzo ya siri mpaka sisi akina Mwakimwagile tunayajua na tukaandika humu JF. Hakika tumekuwa mashushushu wakubwa.
Media zimeripoti kuna mazungumzo yamefanyika ila contents za kilichozungumzwa imebaki kuwa ni Siri...fuatilia vyanzo vya habari mkuu
 
Kwa Sasa hatuhitaji vita Tena. Tunahitaji amani. Hata Mimi kwa Sasa naiona vita ya Israel na Hamas haina maana Tena. Tulete amani middle east maisha yaendelee.
Hakuna vita isiyo na mwisho. Hata vita vikuu vya Dunia, pamoja na kuua mamilioni ya watu, lakini ilifikia mwisho.
 
I can't urgue with people who trails and embrace idiocy. Stay in your absurdity. Get back when you are in your full sense, when you are capable of responding logically.
 
Halijawakera wamarekani wengi, Bali limewakera democrats. Ambao wengine wameanza kukimbia nchi na kujitoa Twitter. Ushindi wa Trump umewazima kabisa.
Sasa wataachana na vingapi? Elon si anataka kuinunua hadi CNN? Wataacha kuitazama?
 
Sidhanii kama Iran itaikacha Ghaza hata Ali larijani Jana alilisema hili pale Beirut Iran kupitia proxies zake pale mido ist ndio inaifanya kua na nguvu napia kua salama zaidi
 
Umepuyanga sanaaa
 
Ni kichaa pekee Anaeweza kuiamini marekani Kiev ilikabidhi silaha zake kwa ussr Leo inachakaa sidhanii kama Iran hawalijui hili
 
Ww unaandikaga kata taka zenye mchanganyiko na mavi.
 
Ni kichaa pekee Anaeweza kuiamini marekani Kiev ilikabidhi silaha zake kwa ussr Leo inachakaa sidhanii kama Iran hawalijui hili
Ukrain dahari yote hiyo?. Juzi tu hapa Iraq ya Saddam walikubali kuteketeza silaha zao(ballistic ) Kilichofuata ...., Libya kuhadaiwa na urafiki feki na nchi za Magharibi, baada kuingia kwenye mfumo mpaka leo Waafrika tunalia.
 
Shida yako ndio hio. Watu walitaka amani mnaleta ngonjera za sijui Iran ni moto. Kwa Sasa hatuhitaji vita vya Dunia vya tatu.
US na Israel hawaheshimu mtu isipokuwa mwenye nguvu, we mpaa yule nyau anataka peace na Iran sababu ya nini unadhani 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…