Trump aanza mazungumzo ya siri na Iran

Ko hii ni vita ya kidini
Wakristo mimi sina shida nao wale wenye kufata mafunzo ya Yesu, sio ya Paulo. Yesu alifunza Mungi ni mmoja tu, nyie mkaja na nyimbo ya Paulo 1=3 hawa mimi ndio tunamatatizo nao.

We huoni humu wakristo wanao sema Mungu ni mmoja na Yesu ni Mtume hawa hawawezi kumpa support mtu anaye fanya genocide. Pia hawawezi hata siku moja kusema Israel ni taifa teule, wakati halikuwahi kuwepo taifa linaitwa Israel.

Hezbullah kamatilieni hapo hapo tutasikia Trump anamtuma Elon Musk kuja kuongea na wabunge wa Hezbullah, sababu US na Israel hawaheshimu serekali au watu, wanacho heshimu ni lugha ya silaha tu.
 
I can't urgue with people who trails and embrace idiocy. Stay in your absurdity. Get back when you are in your full sense, when you are capable of responding logically.
Huwa unakimbilia personal attack unapokosa hoja.
Nimeshakuzoea,umepewa facts na hujatukanwa ila kuitwa muongo unanuna!?

Am giving you a last advice,stop islamaphobia it really kills your way of thinking.
And if you don't have knowledge of something is better you shut the bowl rather than exposing your stupidity.
Such dunderhead,USIPENDE KUTUDANGANYA.
 
Trump airejeshe Marekani kwenye yale ya makubaliano ya nyuklia aliyojitoa kupata makubaliano mapya na yanayoendelea huko Gaza na Lebanon sio rahisi.
 
Naomba nifahamishwe ni kwanini hili limewakera wamarekani wengi?

Pia kwani taasisi nyingi zinataka kuiboycott Twitter ya Elon musk
Pro-Israel wamechukia
 
Watu wangekueshim ungejibu kwa Hoja lkn unapuyanga kama zwazwa yani TRAMP afunge Safari Iran uko Iraq kwenyewe atokanyaga adi anamaliza muda wake nchi pekee anataka kwenda ni Saudia tu uko ndio salama na bado wanataka kununua usalama kwa Iran aisee nimejibu ilo tu ila sijibu jitu zwazwa kama ww jiifunze kujibu Hoja ili mshindane kwenye Hoja wasomaji wengine wapate kuelimika,
 
Iran anayedai kuifuta Israel kwenye uso wa dunia sasa ndoto yake itatimiaje akikubali mazungumzo au hizo zilikuwa ni fix za kuwahadaa wasuni.

Iran mikwara kibau lakini hamna lolote.
 
Halijawakera wamarekani wengi, Bali limewakera democrats. Ambao wengine wameanza kukimbia nchi na kujitoa Twitter. Ushindi wa Trump umewazima kabisa.
Wameanza kukimbia wanaenda wapi au ubeligiji kama jamaa yetu Lissu
Ila mbona trump analeta mambo ya ajabu kuanza kuandama wapinzani
 
Sawa kabisa mkuu, umetoa "Professional Assessment" ya kile kinachotokea huko mashariki ya kati tofauti na magaidi wa humu wanaoleta hoja feki za kidini wakati ni wazi kwamba Iran tayari ameshaona maandiko ubaoni na kukubali yaishe.

Kama angekuwa na nguvu kihivyo asingekubali kukaa na Marekani na badala yake angeendelea na mkakati wake feki wa kuifuta Israel kwenye uso wa dunia lakini ataitimizaje hiyo ndoto huku watu wake wakiwa taabani na ndio maana hata ile ndoto yake ya kuishambulia Israel imeyeyuka kimyakimya.

Iran wapende wasipende lazima wabadilike na kurejea tena kundini kama wanataka watoke kwenye mkwamo huu unaowakabili na waachane na sera yao ya kufadhili magenge ya kigaidi ya kiislam.
 
I can't urgue with people who trails and embrace idiocy. Stay in your absurdity. Get back when you are in your full sense, when you are capable of responding logically.
Wewe ni mjinga sana na una mahaba yako ya kiimani na kiitikadi za kisiasa kiasi kwamba lolote asemalo wa upande unao uhusudu unalibeba juujuuu bila kutumia kichwa chako kufikiri.

Umejaa ujinga vingereza vingi ujinga mtupu
 
Iran, ataambiwa, si unataka vikwazo, visitishwe, fukuza Hamas, na Hezbollah, usiwape msaada,Israel, atachukua baadhi ya maeneo ya Lebanon, sylia.
Hata German imeanza maxungumzo na Russia!
Hapa Zelensky, kichwa lazima kiume
 
Wewe ni mjinga sana na una mahaba yako ya kiimani na kiitikadi za kisiasa kiasi kwamba lolote asemalo wa upande unao uhusudu unalibeba juujuuu bila kutumia kichwa chako kufikiri.

Umejaa ujinga vingereza vingi ujinga mtupu
Umeshindwa kujibu hoja akaona utukane tu wakati na wewe unafanya hivyo kwa misingi ya ileile ya kidini sasa unafanya nini basi..!!
 
Umeshindwa kujibu hoja akaona utukane tu wakati na wewe unafanya hivyo kwa misingi ya ileile ya kidini sasa unafanya nini basi..!!
Hii Id yako nyingine huna akili dogo punguza mahaba na chuki za kiimani za kiitikadi za kisiasa okoa kichwa chako kisiwe mzigo mzito kwa shingo.
 
That's real
 
Hii Id yako nyingine huna akili dogo punguza mahaba na chuki za kiimani za kiitikadi za kisiasa okoa kichwa chako kisiwe mzigo mzito kwa shingo.
Uyo ndio zake kubadili I D lkn kumjua kazi ndogo hoja zake za Dini yeye atabadili ID lkn namna anavyoandika ndio utamjua uyu nani awezi kujificha , ila sasa anapunguza fujo zake.
 
Hii Id yako nyingine huna akili dogo punguza mahaba na chuki za kiimani za kiitikadi za kisiasa okoa kichwa chako kisiwe mzigo mzito kwa shingo.
Form4 na lasaba baada ya kumaliza mitihani mmejazana humu na akili zenu visoda
 
Wewe ni mjinga sana na una mahaba yako ya kiimani na kiitikadi za kisiasa kiasi kwamba lolote asemalo wa upande unao uhusudu unalibeba juujuuu bila kutumia kichwa chako kufikiri.

Umejaa ujinga vingereza vingi ujinga mtupu
Nilidhani nimemuona peke yangu kumbe hata wewe mkuu!?
Akikosa hoja sasa anaanza personal attacks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…