Trump aanza mazungumzo ya siri na Iran

Mazu
Mazungumzo ya Siri lakini wewe unayajua....🤣🤣
 
Mazu

Mazungumzo ya Siri lakini wewe unayajua....🤣🤣
Elon musk alimuita balozi wa Iran chemba wayajenge,ni ufukunyuku wa media ndiyo yamejulikana ila ilikua kinyemela
 
Naomba nifahamishwe ni kwanini hili limewakera wamarekani wengi?
Wamarekani wa Mwendakulima na Ngwinde ndiyo wanaosononeka.
Wamarekani halisi hawahangaiki mazungumzo hayo.
 
Juhudi za rais mteule wa USA,bwana Donald trump zinapaswa kuugwa mkono na watu wenye akili timamu.
Haswaaa.
Dunia ni lazima pawe mahali salama.
Ugomvi usio na maana utaangamiza viumbe wasio na hatima kwa tamaa za binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…