Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Ajabu kweli, afu Ye mwenyewe hawezi nionyesha Aya kwenye bibilia inasema Aleppo.Huyo unaemuuliza kwani ndio aloleta qur an kuna watu muna shida sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu kweli, afu Ye mwenyewe hawezi nionyesha Aya kwenye bibilia inasema Aleppo.Huyo unaemuuliza kwani ndio aloleta qur an kuna watu muna shida sana
Wazayuni wa jf wanashida sanaAjabu kweli, afu Ye mwenyewe hawezi nionyesha Aya kwenye bibilia inasema Aleppo.
The city of Aleppo is mentioned in the Bible in Ezekiel 27:18We nipe Aya kwenye bibilia ilio taja kabla hujarukia Qur'an. Bibilia yenyewe hakuna Aya inasema Aleppo nipe kama unayo.
Ana Ilmu kuliko Jihadi wote wa JF.Huyo unaemuuliza kwani ndio aloleta qur an kuna watu muna shida sana
Mkuu inaoneka 2025 huenda ukawa kweli ni mwaka hawa Maislamists watakapokiona cha moto. Na kama mambo yataenda kama petitions za general elections kule UK inavyonyesha the muslim puppet wa UK Keir Starmer na David Lammy na wao wataondoka. Kule Canada kaislamist Justine Trudeau na kenyewe kamekalia kuti kavu. Kule Saudia ndo usiseme MBS kashika kasi kubomoa misingi ya ujahidina; tutegemee Wahabbi kuchukua silaha kupigana na Serikali. Indonesia Rais ndiyo huyo aliyekuwa General wa Dictator Soharto, anamu admire ile mbaya Trump. Huko Syria ndo hivyo tena Mashia na Masunni yamegeukiana kuchinjana. Mungu atusaidie tuwe na uzima kuona hii dramer inavyo unfold.Kiama cha magaidi wa kidini kimewadia.
Yes Mr President, I am with you on this! It's time beat the hell out of those fucking islamic, Arabs! Once and for all!View attachment 3167723
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"
watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!
Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!
Wapi kuna neno Aleppo? we nilijua utaleta story zingine, nipe neno Aleppo?The city of Aleppo is mentioned in the Bible in Ezekiel 27:18
Helbon ndivyo Wahibru walivyokuwa wakiita.Wapi kuna neno Aleppo? we nilijua utaleta story zingine, nipe neno Aleppo?
Ezekiel 27:18 ►
Audio Crossref Comm Hebrew
Verse (Click for Chapter)
New International Version
“’Damascus did business with you because of your many products and great wealth of goods. They offered wine from Helbon, wool from Zahar
Wacheni story nyingi Aleppo jina lake toka zamani.linaitwa Halab, basi kwa story hata mimi nazo hadith zinathibitisha Halab ipo kwenye Qur'an.Helbon ndivyo Wahibru walivyokuwa wakiita.
Halab ni Kiarabu.linaitwa Halab
Kwani Syria wanaongea Kiyahudi au Kizungu au ki Roman.Halab ni Kiarabu.
Syria walikuwa wakiongea Kiaramaic kabla kutekwa na Waarabu.Kwani Syria wanaongea Kiyahudi au Kizungu au ki Roman.
Wacha longo longo wewe kulikuwa na lugha inaitwa Syriac, na hio lugha ya Syriac is a variety of Arabic, and Aramaic. Kwa hio kilicho baki ni lugha ya kiarabu tuSyria walikuwa wakiongea Kiaramaic kabla kutekwa na Waarabu.
Umefika ukawakosa. Au mnapeana hadithi za kivivu huko madrasa na kuziaminHawajaondoka wako wapi
Hapana tunapena hadithi za kivivu kama zile za Sunday skuliUmefika ukawakosa. Au mnapeana hadithi za kivivu huko madrasa na kuziamin
Ndio nakuuliza umefika America's ukawakosa red IndiansHapana tunapena hadithi za kivivu kama zile za Sunday skuli