Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Mkuu inaoneka 2025 huenda ukawa kweli ni mwaka hawa Maislamists watakapokiona cha moto. Na kama mambo yataenda kama petitions za general elections kule UK inavyonyesha the muslim puppet wa UK Keir Starmer na David Lammy na wao wataondoka. Kule Canada kaislamist Justine Trudeau na kenyewe kamekalia kuti kavu. Kule Saudia ndo usiseme MBS kashika kasi kubomoa misingi ya ujahidina; tutegemee Wahabbi kuchukua silaha kupigana na Serikali. Indonesia Rais ndiyo huyo aliyekuwa General wa Dictator Soharto, anamu admire ile mbaya Trump. Huko Syria ndo hivyo tena Mashia na Masunni yamegeukiana kuchinjana. Mungu atusaidie tuwe na uzima kuona hii dramer inavyo unfold.
Wazayuni wa jf uislam na waislam tupo tupo sana trumpet na shosti zake mkiwemo nyie wa hapa jf qur an ili waona zamani sana hivyo hamutakua na jipya dhidi ya waislam na uislam trumpet ataondoka kama alivyo ondoka awali na atatuacha waislam na kubwa zaidi ata uacha uislam kama alivyo ukuta trumpet hajafikia hata chembe ya firaun hata chembe ya abuu jeheli na abuu lahabi in facts uislam upo sana na waislam ndio kama hv na hamuna la kutufanya zaidi ya changamoto ndogo ndogo ambazo wanapitia waislam wenzetu kama Ghaza Syria Myanmar Lebanon nk
 
Kwani Waislamu wote ninyi ni magaidi? ... au wanaoshikilia mateka ni waislamu au magaidi..lazima kuna mahali unashida mkuu
Huyo ana Malaria 2,ndiyo maana anaongea matope.😂
 
Wacha longo longo wewe kulikuwa na lugha inaitwa Syriac, na hio lugha ya Syriac is a variety of Arabic, and Aramaic. Kwa hio kilicho baki ni lugha ya kiarabu tu
Arabic ni Lugha asili yake Pembe ya Afrika ndio maana inaitwa Afro Asiatic Language.
 
We huna jipya
Hebu fanya research japo kidogo kuliko kubisha.

Where did Afroasiatic languages originate?

images

northeastern Africa

However, most agree that the Afroasiatic homeland was located somewhere in northeastern Africa,
 
Research utumie Google sio, kwa tarifa yako kiarabu Adam ndio ilikuwa lugha yake orignal, afu anakuja Myahudi anawambia kiarabu kimeanza 1400 years ago hahaha. Hivi wewe hujui Ismail mtoto wa Ibrahim aliongea kiarabu na kawakuta Makabila ya Kiyemen walikuwa wakienda Hijazi ndio wakamfundisha kiarabu. Sa Prophet Ismail aliongea kiarabu miaka mingi sana kabla ya kuanza Hijra ndio mnahesabu kiarabu kilianza kwenye mwaka wa Hijrah, nyie vichaa kweli kweli. Ufananisha kiarabu na hizo lugha zilizo anza 3000 years ago 🤣
 
Kiarabu ni lugha, sio kila anaye ongea kiarabu ni mwarabu.
Kama Binadamu wa kwanza alikuwa anaongea Kiarabu hiyo Lugha atakuwa ameitoa wapi?! Kama jibu ni kwa Allah je Allah ni Mwarabu au ni Racist?!
 
Israel iko vitani na hamas,sasa wewe jiulize kwa kwa nini raia wanauwawa kwa wingi? Hemu nikuulize una hakika mwezi uliopita hakuna hamas hata mmoja aliyeuwawa miongoni mwa raia wa kipalestina? Je mwezi uliopita umesikia hata alzajeera imetangaza kuwa wameuwawa hamasi hata watano? Sasa tafakari hii ni December utaendelea kusikia wimbo wa genocide halafu korasi itakuwa wanawake na watoto ila hutasikia hamasi kauwawa/wameuwawa miongoni mwa raia. NA NI KOSA KISHERIA( WAR CRIMES) KUTUMIA RAIA KAMA KINGA. sasa hemu toa ushauri nini kifanyike upande wa hamasi na nn kifanyike upande wa Israel ilivita iendelee bila kuathiri raia wa kipalestina( wanawake na watoto)
VIta ipi unayoizungumzia wewe? Hamas na Wapalestina wote wanapigania kuwa huru kwenye nchi yao iliyoporwa na wakoloni weupe.Netanyahu ni Mpoland asilia,kama walivyo maelfu wa mazionist ambao wengi ni watu wa ulaya wasio na nasaba yeyote ya mashariki ya kati.Hamas kama walivyo wapigania uhuru wote duniani wanayo haki inayotambuliwa na UN ya kufanya army resistance dhidi ya ukoloni.Nashangaa sana kuona sisi ambao tumeona athari za ukoloni na ukandamizaji kushangilia wengine wanapokandamizwa na kufanywa kama wanyama.
Mapambano ya Palestine hayana uhusiano na dini hata kidogo.Kabla ya wazayuni hawajavamia mashariki ya kati wakitokea Ulaya,dini zote ziliishi kwa amani bila shida yeyote.Mpaka hivi leo wayahudi wengi wa asili hawaungi mkono kunyanyaswa na kuondolewa kwa wapalestina.Ukiongelea Wapalestine basi ujue kuna waislamu,wakristo,wasio na dini,na wanaofuata dini zao za kijadi.Bahati mbaya wengi humu mnatazama mgogoro wa palestine kama ni mgogoro baina ya Christian and Islam.,huku mkijifariji kuwa wazayuni ni wenzenu.Tafuteni ukweli.Wazayuni hawataki hata kusikia neno christianity,yaani wanauchukia ukristo with passion.Hata kwenye hii genocide inayoendelea kuna mamia ya wakristo wameuliwa na mazayuni bila hatia.
Mimi binafsi siamini kama kuna mwafrika ataunga mkono ukoloni au unyanyasaji kufanywa kwa watu wengine.Ninachokisoma na kukiona kwa wengi ni chuki yao kubwa waliyonayo dhidi ya uislamu inayowapelekea kuamini mwarabu yeyote akidhulumiwa au kuonewa ni sawa kwa sababu ana dhambi ya kuwa mwarabu hata kama yeye sio muislamu. Hawa wazayuni hawafati tourat wala mafundisho yeyote sahihi ya dini ,bali wao wako na Lucifer(Iblis).Uharibifu wote wa kumkufuru mungu unaofanywa duniani unaasisiwa na hawa jamaa. Huu ni wakati wa kuwa makini na kuwa wadadisi wakubwa wa mambo.Watu wanaomzungumzia mpinga kristo basi waambieni wawafuatilie wazayuni na waone ni kiasi gani they hate Jesus Christ.
 
Hivi Lebanon na Palestine walipopigwa na Israel watu walikemea? Kwanini akiguswa Israel watu wanapandisha povu, vipi Congo na Sudan watu wanakufa nasioni watu wakipiga kelele, Libya ilipigwa na waafrika wakaka kimya. Kila siku tunaiombea Israel vp unakumbula kuwaombea majirani zako achiliambali familia. Wamerekani na washirika wake wanafanya walitakalo wasishangae siku Moja wakipiga Tz sikio utasapoti pia? Mimi kwa maoni yangu bado yupo kwenye siasa na wameingiza madarakani kwakuwa Marekani imeshindwa vitu vingi tu wamewashindwa China, Korea kusini, vita vya Ukraine hivyo wamemteuwa huyu jamaa alete ushawishi na kauli kama hizi ndio walikua wanataka kuwa manipulate watu wenye uvivu wakufikiri. Kwangu ni usani tu anafanya maana alishasemaga kuivamia Libya it was a mistake na hawakucorrect hiyo mistake. Kimsingi Marekani imepoteza kauli labda huyu jamaa atawarudisha kwenye chat
 
VIta ipi unayoizungumzia wewe? Hamas na Wapalestina wote wanapigania kuwa huru kwenye nchi yao iliyoporwa na wakoloni weupe.Netanyahu ni Mpoland asilia,kama walivyo maelfu wa mazionist ambao wengi ni watu wa ulaya wasio na nasaba yeyote ya mashariki ya kati.Hamas kama walivyo wapigania uhuru wote duniani wanayo haki inayotambuliwa na UN ya kufanya army resistance dhidi ya ukoloni.Nashangaa sana kuona sisi ambao tumeona athari za ukoloni na ukandamizaji kushangilia wengine wanapokandamizwa na kufanywa kama wanyama.
Mapambano ya Palestine hayana uhusiano na dini hata kidogo.Kabla ya wazayuni hawajavamia mashariki ya kati wakitokea Ulaya,dini zote ziliishi kwa amani bila shida yeyote.Mpaka hivi leo wayahudi wengi wa asili hawaungi mkono kunyanyaswa na kuondolewa kwa wapalestina.Ukiongelea Wapalestine basi ujue kuna waislamu,wakristo,wasio na dini,na wanaofuata dini zao za kijadi.Bahati mbaya wengi humu mnatazama mgogoro wa palestine kama ni mgogoro baina ya Christian and Islam.,huku mkijifariji kuwa wazayuni ni wenzenu.Tafuteni ukweli.Wazayuni hawataki hata kusikia neno christianity,yaani wanauchukia ukristo with passion.Hata kwenye hii genocide inayoendelea kuna mamia ya wakristo wameuliwa na mazayuni bila hatia.
Mimi binafsi siamini kama kuna mwafrika ataunga mkono ukoloni au unyanyasaji kufanywa kwa watu wengine.Ninachokisoma na kukiona kwa wengi ni chuki yao kubwa waliyonayo dhidi ya uislamu inayowapelekea kuamini mwarabu yeyote akidhulumiwa au kuonewa ni sawa kwa sababu ana dhambi ya kuwa mwarabu hata kama yeye sio muislamu. Hawa wazayuni hawafati tourat wala mafundisho yeyote sahihi ya dini ,bali wao wako na Lucifer(Iblis).Uharibifu wote wa kumkufuru mungu unaofanywa duniani unaasisiwa na hawa jamaa. Huu ni wakati wa kuwa makini na kuwa wadadisi wakubwa wa mambo.Watu wanaomzungumzia mpinga kristo basi waambieni wawafuatilie wazayuni na waone ni kiasi gani they hate Jesus Christ.
Kweli, ndio maana Mimi nimeacha kusikiliza hayo maubiri maana wanaubiri wasichokitenda, upendo na huku mnsema magaidi mara kafiri na ni ndugu Yako awe muislamu au mkristo au asiye na dini. Uwepo wa dini umetugawanya sana waafrika, at least nchi haina dini ina mwenge hicho angalau kinatuunganisha pasina kuangalia tofauti za dini.
 
Kiama kwa Hamas Trump..akiingia madarakan kama hao mateka hawataachiliwa..bhas itakuwa mbaya hapo mashariki
 
Kama Binadamu wa kwanza alikuwa anaongea Kiarabu hiyo Lugha atakuwa ameitoa wapi?! Kama jibu ni kwa Allah je Allah ni Mwarabu au ni Racist?!
Mgejiuliza nyie mnao sema Mungu wa bibilia ana taifa, tena bada ya kuhongwa na Muingereza. Kwanini msiseme Mungu wa bibilia ni Racist.

Kuongea lugha inahusiana vipi na Racist.
 
Watanzania bado tuna maumivu mabichi ya vijana wetu wawili kuuawa na Magaidi wa Hamas alafu wewe unakuja kuandika nini hiki ?
Una maumivu mabichi ushawahi ata kuzitafuta familia zao ukawapa jambo basmati kilo 1?
 
Mgejiuliza nyie mnao sema Mungu wa bibilia ana taifa, tena bada ya kuhongwa na Muingereza. Kwanini msiseme Mungu wa bibilia ni Racist.

Kuongea lugha inahusiana vipi na Racist.
Liarabu tarajiwa jeusi tii na lisijdah lake kuubwaa pajini kama chapati linang'aa na kuonekana licha ya uweusi wake.
 
Back
Top Bottom