Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

We nipe Aya kwenye bibilia ilio taja kabla hujarukia Qur'an. Bibilia yenyewe hakuna Aya inasema Aleppo nipe kama unayo.
The city of Aleppo is mentioned in the Bible in Ezekiel 27:18
 
Kiama cha magaidi wa kidini kimewadia.
Mkuu inaoneka 2025 huenda ukawa kweli ni mwaka hawa Maislamists watakapokiona cha moto. Na kama mambo yataenda kama petitions za general elections kule UK inavyonyesha the muslim puppet wa UK Keir Starmer na David Lammy na wao wataondoka. Kule Canada kaislamist Justine Trudeau na kenyewe kamekalia kuti kavu. Kule Saudia ndo usiseme MBS kashika kasi kubomoa misingi ya ujahidina; tutegemee Wahabbi kuchukua silaha kupigana na Serikali. Indonesia Rais ndiyo huyo aliyekuwa General wa Dictator Soharto, anamu admire ile mbaya Trump. Huko Syria ndo hivyo tena Mashia na Masunni yamegeukiana kuchinjana. Mungu atusaidie tuwe na uzima kuona hii dramer inavyo unfold.
 
Yes Mr President, I am with you on this! It's time beat the hell out of those fucking islamic, Arabs! Once and for all!
 
The city of Aleppo is mentioned in the Bible in Ezekiel 27:18
Wapi kuna neno Aleppo? we nilijua utaleta story zingine, nipe neno Aleppo?

Ezekiel 27:18 ►
Audio Crossref Comm Hebrew
Verse (Click for Chapter)
New International Version
“’Damascus did business with you because of your many products and great wealth of goods. They offered wine from Helbon, wool from Zahar
 
Helbon ndivyo Wahibru walivyokuwa wakiita.
 
Helbon ndivyo Wahibru walivyokuwa wakiita.
Wacheni story nyingi Aleppo jina lake toka zamani.linaitwa Halab, basi kwa story hata mimi nazo hadith zinathibitisha Halab ipo kwenye Qur'an.

Nilijua utaruka kujibu swali ulete hadithi., kama vile ya Israel kuwa nchi wakati ni binadamu 😄 🤣 Hizo bibilia zina new edition kesho msije sema Dodoma ipo kwenye bibilia ni mji mkuu wa Tanzania hahaha

Wewe ulisema Aleppo imetajwa kwenye bibilia nimekuomba Aya unaleta story. Hatwendi hivyo.
 
Trump huwaga anaongea tu. Mikwara mingi.

Lakini matendo yake huwa hayaendani na maneno yake.
 
Eneo la Palesitina ni kama nusu ya eneo la Mkoa wa Kilimanjaro ambao ndio Mkoa mdogo zaidi Tanzania,sasa USA,UK na huyo Israel wanashindwaje kuwapata mateka katika kaeneo kadogi kihivyo.Ilihali chochote kiingiacho na kutoka Palestina wana control wwnyewe,hizi hadaa watamaliza lini
 
Syria walikuwa wakiongea Kiaramaic kabla kutekwa na Waarabu.
Wacha longo longo wewe kulikuwa na lugha inaitwa Syriac, na hio lugha ya Syriac is a variety of Arabic, and Aramaic. Kwa hio kilicho baki ni lugha ya kiarabu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…