Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Sijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta. Eti wanasema Mungu aliwapa hiyo ardhii. Ina maana Mungu hakujua kuwa hii nchi ni ya Wapalestina? Kama kweli Mungu aliumba dunia, inakuwaje asahau kuwa Palestina ni ya wapalestina na hivyo asinge'wapa' hawa majambazi?
Hakunaga watu wanaoitwa wapalestina wale ni waarabu wahamiaji waliokuja kupora ardhi ya watu na kujifanya yao.
 
Sijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta. Eti wanasema Mungu aliwapa hiyo ardhii. Ina maana Mungu hakujua kuwa hii nchi ni ya Wapalestina? Kama kweli Mungu aliumba dunia, inakuwaje asahau kuwa Palestina ni ya wapalestina na hivyo asinge'wapa' hawa majambazi?
ulishaambiwa ile ni nchi ya wayahudi tangu kale, hao wapalestina wanaotimuliwa watoke hapo ni wavamizi tu, acha udini
 
Upuuzi mtupu. Huyo mwenzetu ana thamani kuliko wapalestina 43,000? Kwangu, ubinadamu ni ubinadamu hata kama wanaouawa wanaitwa magaidi, ni wabaguzi na wasiotujali sisi kama tunavyowajali. Kwangu hwa ni binadamu. Siyo waislamu 'wenzetu' au wapinzani wa yeyote. Watoto na akina mama wanaouawa bila makosa, kwa mtu mwenye akili timamu, wanafikirisha.
Huna akili wewe, ngoja washikishwe Adabu

Kwani kikuwa na ulazima gani magaidi ya Parestine wakawateka Wayahudi
 
Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Kwanza wawaachie mateka ndipo tuangalie suala la netanyahu. Wale watu wasio na hatia wamewashikilia kwa sababu gani?
 
Trump kamua baba kamua tumechelewa sanaaaa siku unaapa shusha vitu vizito tawanya midevu isambae ardhini, haiwezekani mijitu iue watu hovyo bila kujali watoto ,wazee wala wanawake ,mathalani wanaume kisha wao wakipigwa watetewe wabague aaah usipige hao oooh usiguse hawa dadeq fumua fumua tu
 
Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Not his job not his problem to arrest pm of israel, wengi humu ndani walishangilia huyu bwana kushinda hoping atafanya changes, i told them america huwa habadilish misimamo, inabadilisha rais
 
Trump kelele nyingi tu kama shoga yake nyau watafanya nini zaidi ya walicho fanya. Kuna silaha US na Israel hawajaitumia Gaza
Ofcourse kuna silaha bado hazija tumika due to kwamba majanga ya raia kupotea ni makubwa zaid , kupigana na uwanja wa vita katikati wako raia ni risk situation, even us wana pressure israel nn cha kufanya nn si cha kufanya
 
Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Trump tunaweza tusimuelewe lakini huyu ndio kiongozi anatakiwa kuweka mambo sawa, haya yote tunayoona yametokea ME na mabalaa haya ya ISS ni siasa mbovu sana Rais mshenzi na mjinga kuliko wote Obama, huyu mbwa Obama ndio chanzo ya mabalaa haya yote jitu moja la hovyo sana kupewa nchi ya USA. Trump anakuja kuweka mambo sawa ma ingetokea Democratic kushinda ingekuwa msiba duniani. Trump kama JPM hivi watu wa vitendo.
 
Upuuzi anawoza yeye huyo ni mpiga zumari kabla yeye hajatenda atakuwa tayari ashatendwa!
Subiri aingie ofisini uone magaidi watakavyochezea kipigo! Kumbuka Trump aliamuru shambulio dhidi ya kamanda wa irgc Soleman.
Kile kipigo kilikua kikali mpaka ayatollah akalia kama mtoto mdogo
 
Attachments

  • IMG_5371.jpeg
    IMG_5371.jpeg
    667.1 KB · Views: 5
Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Kwa hiyo unasaooti vita na mauaji? Unafaidika nayo. Muda wa kula vichwa unakuja tulia
 
Subiri aingie ofisini uone magaidi watakavyochezea kipigo! Kumbuka Trump aliamuru shambulio dhidi ya kamanda wa irgc Soleman
Trump sio mpya ikulu ya marekani hebu nieleze miaka minne yake iliyopita alipigana vita gani zaidi ya kuvimbiana na kiduku mwisho wa siku wakatumiana mialiko wakapanda treni vietnam huyo ni msanii hapigani zaidi ya maneno!
 
Upuuzi mtupu. Huyo mwenzetu ana thamani kuliko wapalestina 43,000? Kwangu, ubinadamu ni ubinadamu hata kama wanaouawa wanaitwa magaidi, ni wabaguzi na wasiotujali sisi kama tunavyowajali. Kwangu hwa ni binadamu. Siyo waislamu 'wenzetu' au wapinzani wa yeyote. Watoto na akina mama wanaouawa bila makosa, kwa mtu mwenye akili timamu, wanafikirisha.
Punguza udini wewe kenge
 
Back
Top Bottom