Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hamas walikosea sana kwa walichokifanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakunaga watu wanaoitwa wapalestina wale ni waarabu wahamiaji waliokuja kupora ardhi ya watu na kujifanya yao.Sijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta. Eti wanasema Mungu aliwapa hiyo ardhii. Ina maana Mungu hakujua kuwa hii nchi ni ya Wapalestina? Kama kweli Mungu aliumba dunia, inakuwaje asahau kuwa Palestina ni ya wapalestina na hivyo asinge'wapa' hawa majambazi?
Upuuzi anawoza yeye huyo ni mpiga zumari kabla yeye hajatenda atakuwa tayari ashatendwa!Kiama cha magaidi wa kidini kimewadia.
ulishaambiwa ile ni nchi ya wayahudi tangu kale, hao wapalestina wanaotimuliwa watoke hapo ni wavamizi tu, acha udiniSijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta. Eti wanasema Mungu aliwapa hiyo ardhii. Ina maana Mungu hakujua kuwa hii nchi ni ya Wapalestina? Kama kweli Mungu aliumba dunia, inakuwaje asahau kuwa Palestina ni ya wapalestina na hivyo asinge'wapa' hawa majambazi?
Huna akili wewe, ngoja washikishwe AdabuUpuuzi mtupu. Huyo mwenzetu ana thamani kuliko wapalestina 43,000? Kwangu, ubinadamu ni ubinadamu hata kama wanaouawa wanaitwa magaidi, ni wabaguzi na wasiotujali sisi kama tunavyowajali. Kwangu hwa ni binadamu. Siyo waislamu 'wenzetu' au wapinzani wa yeyote. Watoto na akina mama wanaouawa bila makosa, kwa mtu mwenye akili timamu, wanafikirisha.
Kwanza wawaachie mateka ndipo tuangalie suala la netanyahu. Wale watu wasio na hatia wamewashikilia kwa sababu gani?Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Not his job not his problem to arrest pm of israel, wengi humu ndani walishangilia huyu bwana kushinda hoping atafanya changes, i told them america huwa habadilish misimamo, inabadilisha raisFoolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Ofcourse kuna silaha bado hazija tumika due to kwamba majanga ya raia kupotea ni makubwa zaid , kupigana na uwanja wa vita katikati wako raia ni risk situation, even us wana pressure israel nn cha kufanya nn si cha kufanyaTrump kelele nyingi tu kama shoga yake nyau watafanya nini zaidi ya walicho fanya. Kuna silaha US na Israel hawajaitumia Gaza
Trump tunaweza tusimuelewe lakini huyu ndio kiongozi anatakiwa kuweka mambo sawa, haya yote tunayoona yametokea ME na mabalaa haya ya ISS ni siasa mbovu sana Rais mshenzi na mjinga kuliko wote Obama, huyu mbwa Obama ndio chanzo ya mabalaa haya yote jitu moja la hovyo sana kupewa nchi ya USA. Trump anakuja kuweka mambo sawa ma ingetokea Democratic kushinda ingekuwa msiba duniani. Trump kama JPM hivi watu wa vitendo.Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Subiri aingie ofisini uone magaidi watakavyochezea kipigo! Kumbuka Trump aliamuru shambulio dhidi ya kamanda wa irgc Soleman.Upuuzi anawoza yeye huyo ni mpiga zumari kabla yeye hajatenda atakuwa tayari ashatendwa!
Kwa hiyo unasaooti vita na mauaji? Unafaidika nayo. Muda wa kula vichwa unakuja tuliaFoolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Trump sio mpya ikulu ya marekani hebu nieleze miaka minne yake iliyopita alipigana vita gani zaidi ya kuvimbiana na kiduku mwisho wa siku wakatumiana mialiko wakapanda treni vietnam huyo ni msanii hapigani zaidi ya maneno!Subiri aingie ofisini uone magaidi watakavyochezea kipigo! Kumbuka Trump aliamuru shambulio dhidi ya kamanda wa irgc Soleman
Punguza udini wewe kengeUpuuzi mtupu. Huyo mwenzetu ana thamani kuliko wapalestina 43,000? Kwangu, ubinadamu ni ubinadamu hata kama wanaouawa wanaitwa magaidi, ni wabaguzi na wasiotujali sisi kama tunavyowajali. Kwangu hwa ni binadamu. Siyo waislamu 'wenzetu' au wapinzani wa yeyote. Watoto na akina mama wanaouawa bila makosa, kwa mtu mwenye akili timamu, wanafikirisha.
Acha udini sasa mmekufa wangapi kule mido istiYeye kwani Mungu? Kashundwa kuzuia kirisisasi cha shikio tu kaaanguka chali. Muislam hatishiki hivyo, wanaotishika hivyo wakiristo