zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ngoja tuone Mimi nasubiri kwa hamu sana hio 20 Januari Trump kua Rais sio bahati nasibu na figisu za Chama AHuyu kiazi nae au chizi kabisa🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone Mimi nasubiri kwa hamu sana hio 20 Januari Trump kua Rais sio bahati nasibu na figisu za Chama AHuyu kiazi nae au chizi kabisa🤣🤣
Hao israel inawashika sio mateka ni wafungwa waliofanya makosa sasa october 7 hamas walivamia israel wakawashika raia wasio na hatia hovyo hovyo tena wanawake na watoto, wakabaka, wakalawiti , wakaua kikatili embu tuambie dini yako ya uislamu mtume aliwaambia mshike mateka wanawake na watoto? Na mbake na kulawitiKwani Israeli anashikiliaje mateka wa Palestina? .
View attachment 3167857
Nawakubali sana watu wasio na kona konaHe is so bold and always speaks with great authority
Japo huwa anaogea kwa kejeli na madharau ila deep inside anaongea ukweli na hapendi kabisa kona kona,
empty headedSijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta. Eti wanasema Mungu aliwapa hiyo ardhii. Ina maana Mungu hakujua kuwa hii nchi ni ya Wapalestina? Kama kweli Mungu aliumba dunia, inakuwaje asahau kuwa Palestina ni ya wapalestina na hivyo asinge'wapa' hawa majambazi?
Hana dharau trump fatilia ongea ya mama ake mzaziHe is so bold and always speaks with great authority
Japo huwa anaogea kwa kejeli na madharau ila deep inside anaongea ukweli na hapendi kabisa kona kona,
Kama una uchungu sana nenda kawasaidieUpuuzi mtupu. Huyo mwenzetu ana thamani kuliko wapalestina 43,000? Kwangu, ubinadamu ni ubinadamu hata kama wanaouawa wanaitwa magaidi, ni wabaguzi na wasiotujali sisi kama tunavyowajali. Kwangu hwa ni binadamu. Siyo waislamu 'wenzetu' au wapinzani wa yeyote. Watoto na akina mama wanaouawa bila makosa, kwa mtu mwenye akili timamu, wanafikirisha.
Hakuna mateka wowote waliotekwa, ni usanii mtupu wa kujaribu kuhalalisha ajenda ya Mazayuni ya kuhalalisha uporaji wa ardhi ya Wapalestina wakishirikiana na wasanii WA HAMAS.View attachment 3167723
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"
watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!
Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!
View attachment 3167720
View attachment 3167722
View attachment 3167721
wewe unajua zaidi kuliko ICC na taasisi za UN ambazo zimetoa report juu ya ukiukwaji wa sheria unaofanywa na Israel!Kwa zaidi ya mwaka, hao watu elf 40 (wakiwemo maelf ya magaidi) ni wachache sana kulinganisha na watu 1,200 waliouliwa siku moja (wangefika laki 4+ kwa mwaka), vifo vya raia wa Palestina ni kwasabababu Hamas wanawatumia kama ngao, hutumia silaha maeneno yenye raia wakijua kabisa Israel itajilinda kwa kuzilipua silaha hizo na kusababisha maafa kwa raia lakini wao wanakimbilia kujificha kwenye mahandaki.
Israel inajitahidi sana kupunguza maafa, mara kadhaa wanatoa taarifa lisaa kabla ya kulipua majengo yenye silaha au kambi, ndio maana huwa unaona camera zimeshategwa na watu kibao wapo nje ya jengo wakisubiri kuona linavyopigwa.
Kwani Waislamu wote ninyi ni magaidi? ... au wanaoshikilia mateka ni waislamu au magaidi..lazima kuna mahali unashida mkuuYeye kwani Mungu? Kashundwa kuzuia kirisisasi cha shikio tu kaaanguka chali. Muislam hatishiki hivyo, wanaotishika hivyo wakiristo
KumekuchaYeye kwani Mungu? Kashundwa kuzuia kirisisasi cha shikio tu kaaanguka chali. Muislam hatishiki hivyo, wanaotishika hivyo wakiristo
Kwani si anaingia mara ya pili, unataka nisubiri nini?😁Subiri aingie madarakani ndo utajua anamaanisha nini kusema màtakwa ya dunia nzima.
Aliyesema sio Member wa JF, hayo mi maneno ya TrumpUnaposema kinyume cha matakwa ya Dunia nzima unamaanisha nini?
Kwa hiyo?Aliyesema sio Member wa JF, hayo mi maneno ya Trump
Hatari sanaKiama cha magaidi wa kidini kimewadia.
Hauko sahihi. Biblia na Quran kipi kilitangulia. Wafalme , mitume na maeneo yaliyoandikwa kwenye Biblia yalikuwa hewani ? Una habari hata makanisa Saba yaliyoandikwa ufunuo 3 yako uturuki geographically? Maana yake ni kwamba aliyeporwa maeneo anciently ni Israel baada ya dispersionSijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta. Eti wanasema Mungu aliwapa hiyo ardhii. Ina maana Mungu hakujua kuwa hii nchi ni ya Wapalestina? Kama kweli Mungu aliumba dunia, inakuwaje asahau kuwa Palestina ni ya wapalestina na hivyo asinge'wapa' hawa majambazi?
Oh, Oh Oh! Please calm down gentle man. You have almost 48 days remaining for you to fumble around with the Hostages. Thereafter; we will witness Foolish and Stupid Trump in action.Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Kamuulize Trump au wasaidizi wake.Kwa hiyo?
Dah! Lakini kuna mahali imeandikwa "Ole wenu ninyi mnaocheka sasa.... ...."View attachment 3167723