Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Trump: Achilieni mateka kabla sijaapishwa la sivyo mtabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ya Marekani!"

Kwani Israeli anashikiliaje mateka wa Palestina? .
View attachment 3167857
Hao israel inawashika sio mateka ni wafungwa waliofanya makosa sasa october 7 hamas walivamia israel wakawashika raia wasio na hatia hovyo hovyo tena wanawake na watoto, wakabaka, wakalawiti , wakaua kikatili embu tuambie dini yako ya uislamu mtume aliwaambia mshike mateka wanawake na watoto? Na mbake na kulawiti
 
He is so bold and always speaks with great authority
Japo huwa anaogea kwa kejeli na madharau ila deep inside anaongea ukweli na hapendi kabisa kona kona,
Nawakubali sana watu wasio na kona kona
 
Sijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta. Eti wanasema Mungu aliwapa hiyo ardhii. Ina maana Mungu hakujua kuwa hii nchi ni ya Wapalestina? Kama kweli Mungu aliumba dunia, inakuwaje asahau kuwa Palestina ni ya wapalestina na hivyo asinge'wapa' hawa majambazi?
empty headed
 
He is so bold and always speaks with great authority
Japo huwa anaogea kwa kejeli na madharau ila deep inside anaongea ukweli na hapendi kabisa kona kona,
Hana dharau trump fatilia ongea ya mama ake mzazi
 
Upuuzi mtupu. Huyo mwenzetu ana thamani kuliko wapalestina 43,000? Kwangu, ubinadamu ni ubinadamu hata kama wanaouawa wanaitwa magaidi, ni wabaguzi na wasiotujali sisi kama tunavyowajali. Kwangu hwa ni binadamu. Siyo waislamu 'wenzetu' au wapinzani wa yeyote. Watoto na akina mama wanaouawa bila makosa, kwa mtu mwenye akili timamu, wanafikirisha.
Kama una uchungu sana nenda kawasaidie
 
View attachment 3167723
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"

watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!

Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!

View attachment 3167720
View attachment 3167722

View attachment 3167721
Hakuna mateka wowote waliotekwa, ni usanii mtupu wa kujaribu kuhalalisha ajenda ya Mazayuni ya kuhalalisha uporaji wa ardhi ya Wapalestina wakishirikiana na wasanii WA HAMAS.
 
Kwa zaidi ya mwaka, hao watu elf 40 (wakiwemo maelf ya magaidi) ni wachache sana kulinganisha na watu 1,200 waliouliwa siku moja (wangefika laki 4+ kwa mwaka), vifo vya raia wa Palestina ni kwasabababu Hamas wanawatumia kama ngao, hutumia silaha maeneno yenye raia wakijua kabisa Israel itajilinda kwa kuzilipua silaha hizo na kusababisha maafa kwa raia lakini wao wanakimbilia kujificha kwenye mahandaki.

Israel inajitahidi sana kupunguza maafa, mara kadhaa wanatoa taarifa lisaa kabla ya kulipua majengo yenye silaha au kambi, ndio maana huwa unaona camera zimeshategwa na watu kibao wapo nje ya jengo wakisubiri kuona linavyopigwa.
wewe unajua zaidi kuliko ICC na taasisi za UN ambazo zimetoa report juu ya ukiukwaji wa sheria unaofanywa na Israel!
 
Yeye kwani Mungu? Kashundwa kuzuia kirisisasi cha shikio tu kaaanguka chali. Muislam hatishiki hivyo, wanaotishika hivyo wakiristo
Kwani Waislamu wote ninyi ni magaidi? ... au wanaoshikilia mateka ni waislamu au magaidi..lazima kuna mahali unashida mkuu
 
Mm nilidhani anasema ataenda Iran kwenye shina kuu na maswaibu anayopitia Israel marekani anamaguvu kwenda kuwapiga mikwara wachavu waliojela kuu Dunian ni kujiabisha Tramp asemezane na Iran sio Gaza USA imekuwa Butu kiasi chakutafuta mnyonge kama Gaza kwann wasiende Iran mzamini mkuu wa show. Tena IRAN ajifichi ktk alakati zake za kuwadhamin wausika kubwa zaid kaitwanga miboom Telaviv nani mwengine yupo hai Duniani aliwai itwanga Miboom Israel sasa hii isiwe Sababu ya kuona Iran inawakamoto. Adi waende Gaza Dunia kila mtemi n mtem wake. Gaza mtemo wake USA na west pamoja na Israel yenyewe.lkn awa mbwa wote awawezi ungana kwa kwa Iran.
 
Sijui kama unajua unachosema. Israel ni kiini macho kilichotengenezwa na wazungu ili kuwatisha waarabu baada ya kugundua mafuta. Eti wanasema Mungu aliwapa hiyo ardhii. Ina maana Mungu hakujua kuwa hii nchi ni ya Wapalestina? Kama kweli Mungu aliumba dunia, inakuwaje asahau kuwa Palestina ni ya wapalestina na hivyo asinge'wapa' hawa majambazi?
Hauko sahihi. Biblia na Quran kipi kilitangulia. Wafalme , mitume na maeneo yaliyoandikwa kwenye Biblia yalikuwa hewani ? Una habari hata makanisa Saba yaliyoandikwa ufunuo 3 yako uturuki geographically? Maana yake ni kwamba aliyeporwa maeneo anciently ni Israel baada ya dispersion
 
Foolish and stupid Trump. Arrest Netanyahu first if you are a man enough. Shame on you! You will come and go like the Bushes and others who tried and failed. Middle East solution is on the table but not by the barrel of gun.
Oh, Oh Oh! Please calm down gentle man. You have almost 48 days remaining for you to fumble around with the Hostages. Thereafter; we will witness Foolish and Stupid Trump in action.
 
View attachment 3167723
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"

watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni maneno tu, hakuna vitendo! Natoa onyo kupitia mtandao huu (Truth) kwamba, Mateka wasipoachiwa kabla ya Januari 20, 2025 siku ninayoingia Ikulu ya Marekani, kutakuwa na GHARIKA KUBWA Mashariki ya Kati na kwa wale waliotekeleza ukatili huu dhidi ya ubinadamu. Wanaohusika watabamizwa kwa kiwango hakijawahi kuonekana katika historia ndefu na iliyojaa matukio ya Marekani !. ACHILIENI MATEKA SASA!

Everybody is talking about the hostages who are being held so violently, inhumanely, and against the will of the entire World, in the Middle East - But it’s all talk, and no action! Please let this TRUTH serve to represent that if the hostages are not released prior to January 20, 2025, the date that | proudly assume Office as President of the United States, there will be ALL HELL TO PAY in the Middle East, and for those in charge who perpetrated these atrocities against Humanity. Those responsible will be hit harder than anybody has been hit in the long and storied History of the United States of America. RELEASE THE HOSTAGES NOW!

View attachment 3167720
View attachment 3167722

View attachment 3167721
Dah! Lakini kuna mahali imeandikwa "Ole wenu ninyi mnaocheka sasa.... ...."
Luk.6:25-33.
Hivi hao ndo wanaosema dini ya mnyazi mungu au ???
 
Back
Top Bottom