Trump alivyolea wanawe ni changamoto kubwa kwa dunia inatakiwa tuige mfano wake

Kwenye masuala ya ndoa Trump anakwama; sio mfano bora sana wa kuigwa. Mke mmoja, mume mmoja hadi kifo kiwatenganishe ameshindwa kuiishi hiyo doctrine!
Kubadilisha wanawake ni msingi wa imani ya Kikristo kweli?
 
Kwenye masuala ya ndoa Trump anakwama; sio mfano bora sana wa kuigwa. Mke mmoja, mume mmoja hadi kifo kiwatenganishe ameshindwa kuiishi hiyo doctrine!
Kuna mda hii ya mke mmoja hadi kifo kiwatenganishe naona Ina ukakasi kwa maisha ya sasa.
Kuwa na mke mmoja ni sahh ila kung'ang'ania ndoa na mwanandoa (mke /mme) asiefaa ni upumbavu na ni sumu inayomaliza watu wengi kihisia na kiimani na kiakili mpaka kupelekea kushindwa kusimamia watoto wao.
Si shauri ndoa za wake wengi ila mkishindwana usiongeze bali ondoa utafte mpya anaeweza kutembea kwenye njia uitakayo
 
Kuna wimbo mmoja huwa nasikiaga dhehebu fulani wanaupenda sana; BWANA kama ungehesabu maovu yetu, nani angesimama?

Swali; utafukuza na kuoa wangapi? Kwa njia ya waovu yaweza kuonekana jambo jema ila kwa Mungu ni machukizo.
 
Kuna wimbo mmoja huwa nasikiaga dhehebu fulani wanaupenda sana; BWANA kama ungehesabu maovu yetu, nani angesimama?

Swali; utafukuza na kuoa wangapi? Kwa njia ya waovu yaweza kuonekana jambo jema ila kwa Mungu ni machukizo.
Usijifananishe na Mungu, yeye ana tusikilizia tu anajua Kuna hukumu yake inakuja ila mwanzo na yeye alikuwa anauwa na kuanza upya mfano sodoma na gomora, gharika la nuhu nk.
Sasa ww binadam uvumilie ujinga ambao unaona unaenda kiathiri na wengne kwa kigezo gani? Je una mda wa kuja ku-amend kama Mungu?

Tusipende kujifananisha na Mungu kwenye kila kitu ili hali approach zetu na zake ni tofauti
 
Trump hana maadili yoyote kama Elon musk tu wote n wahuni
Muhuni amepewa dhamana ya kuongoza taifa kubwa na tajiri sana duniani na maamuzi yake yoyote yanakuathiri hata ukiwa kijijini kwenu Kung'ombe, Bunda.

Tuanze na Trump. Amepewa urais na watu waliotengeneza chombo hichohicho unachotumia kumpondea humu mtu huyo waliyemchagua kuwa rais wao. Huyu ndiye mtu ambaye kwenye urais wake amekataa mshahara mnono wa dola 400,000 (Tshs. 2,4000,000/-) kwa mwaka na kuamua kupokea dola moja (1) sawa na shilingi 2,600 kwa mwaka kwa sababu tu ya kwamba alichokifuata ikulu ni zaidi ya mshahara.

Twende kwa Musk, ndiye mtu tajiri sana duniani na ambaye kwa "sekunde" moja tu hutengeneza dola za kimarekani 43,000 sawa na shilingi za kitanzania milioni 111,800,000 pesa ambazo ukipewa sasa hivi hapo ulipo wewe, unaweza hata ukamtukana baba yako mzazi kwa kibri tu.

Tuje kwako, wewe Kalumekenge aliyekataa kwenda shule, hakuna hata anayekufahamu hata ktk kijiji chako na hata kwenye kitongoji chako ikitokea msiba mama moja mtoto kafia tumboni na utaratibu wa maziko unafanywa, kwenye hicho kikao wewe hapo hata huwezi kuteuliwa kuwa hata mwenyekiti wa muda tu ili uendeshe kikao cha huo msiba.

Sasa mpaka hapo na kwa mujibu wa uchambuzi mwanana wa hapo juu, wana jukwaa wataamua wenyewe kati yenu watatu nani muhuni na nani sio muhuni.

Sidhani kama utanielewa ninachokimaanisha hapo juu na kama ikitokea ukanielewa sidhani kama utakuwa na hamu ya kuendelea kubaki kwenye hili jukwaa. Sidhani.
 
Kujifananisha na Mungu? Sijakuelewa.
 
Kujifananisha na Mungu? Sijakuelewa.
Kuna wimbo mmoja huwa nasikiaga dhehebu fulani wanaupenda sana; BWANA kama ungehesabu maovu yetu, nani angesimama?
Nilimaanisha hicho. Sio kwamba hahesabu bali anasamehe pale unapotubu na kuanza upya na atahukumu mwisho wa siku pale atakapo kukuta una madhambi yako
Swali; utafukuza na kuoa wangapi? Kwa njia ya waovu yaweza kuonekana jambo jema ila kwa Mungu ni machukizo.
Kuna mda uvumilivu wa baadhi ya tabia unaweza kusababisha ukajikuta unafanya machukizo zaidi kwa Mungu
 
Hi ipo kwenye kitabu gani? Basi sulemen,Daudi,ibrahimu baba wa imani alikuwa na wake 3,yacobo baba wa Israeli alioa mtu na dada take baadaye ya kuchunga miaka 14 na masulia 2...…Hiyo ya mke 1 Ni upuuzi tu wa kanisaaa
Mke moja inaua ufanisi na maboresho ya familia
 
Trump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…