Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tuna uwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany

Mnajitekenya .
US wana akili sana, wanaona miaka 100 mbele.
Wewe ambao viongozi wako kikomo chao cha kuona ni miaka 5 (miaka ya uchaguzi) tu ndio umvimbie USA?
Acha kutetea hao nguruwe yule jamaa aliyechana yale masikio sijui alikosaje shabaha
 
Sasa kama raslimali mnazo mnalia nini, chukueni hatua kama mtatoboa hata nusu mhula
Mshamba mmoja huko anatupangia masharti kama anavyompangia mke wake
 
Japan na Germany ni chawa wa us
 
Hayo masharti ampelekee mke wake sisi ni wanaume asitupande vichwa kama anavyompanda mke wake
 
Sisi huku vijijini tunathirikaje na misaaada au mikopo kwa mfano wakati everything is free from nature kuni bure,maji bure,matunda bure porini ardhi yenye rutuba chochote unapanda atujui hata trump ni mdudu gani nadhani wataathirika zaidi na mikopo ni Hapo wezi wanairudisha hizo pesa bank za ulaya
 
Yaan akili ya uvc
Yaani akili za uvccm siko zote huwa zinaweza kinyumenyume. Kwanini husemi tuzitumie sisi wenyewe kwa kuzibadilisha kuwa bidhaa . Kwan alichokisema Trump ni cha uongo. Kwan wewe ni mlipa kodi wa USA. Wewe ni raia wa USA?
 
Hamna uwezo huo ndio, na trump si kuwaonea ila anawachana ukweli. Hao viongozi mnao wachagua ndio wanakujapande hizo na bakuli
 
Kama kuna laana flani vile
 
Hamna uwezo huo ndio, na trump si kuwaonea ila anawachana ukweli. Hao viongozi mnao wachagua ndio wanakujapande hizo na bakuli
Tuna vichaa wengi tu ambao wanaweza kumshuhilikia tuko kimya sio kwamba ni wajinga
 
Haya malalamiko yamekaa kama ya mchepuko aliyenyimwa pesa ya saluni sasa anatishia kukataa kutoa unyumba kwa mume mwenye wake wengi na vibinti kibao vinavyojipendekeza vingine vipo jirani na yeye kabisa.
 
trump anavuta SKANKA!!!
 
Mikopo tunaweza kuchukua hata Japan, China, Germany, France, Sweden na mataifa mengine yeye ni nani
 
Mfano mdogo tu hapa kwetu, ni nani anayemuhitaji mwingine, ni marekani au sisi?
 
Haya malalamiko yamekaa kama ya mchepuko aliyenyimwa pesa ya saluni sasa anatishia kukataa kutoa unyumba kwa mume mwenye wake wengi na vibinti kibao vinavyojipendekeza vingine vipo jirani na yeye kabisa.
Mshamba falan yule kwanza atapigwa chuma na hao hao Wamarekani wenzake hakuna mtu anayetaka kupandwa kichwa na kenge mmoja
 
Reactions: Tsh
Mfano mdogo tu hapa kwetu, ni nani anayemuhitaji mwingine, ni marekani au sisi?
Ninyi mnasema ni mikopo yake tunaweza kuchukua taifa lingine
Japan, China, Germany, Arabs, France na mengineyo kwani lazima yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…