TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Mali Ghafi gani ambayo mnayo na msipompa Marekani Mambo yake yanakwama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutetea hao nguruwe yule jamaa aliyechana yale masikio sijui alikosaje shabahaMnajitekenya .
US wana akili sana, wanaona miaka 100 mbele.
Wewe ambao viongozi wako kikomo chao cha kuona ni miaka 5 (miaka ya uchaguzi) tu ndio umvimbie USA?
Japan na Germany ni chawa wa usTrump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany
Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta tukaendelea kumpigia magoti
Sio kweli kwamba Waafrika ni dhaifu kiasi hiki au hatuwezi kumpangia masharti
Tunaweza sana kumpangia masharti na akashindwa kabisa kuyafuata kama anavyotufanyia
Tukikubali kuendeshwa namna hii kila siku ni sawa na kuolewa naye
Ifike mahali tuseme sisi ni Wanaume usitupangie masharti kama unavyompangia mke wako
Kwanza kabisa Marekani inazalisha bidhaa kupitia malighafi nyingi sana zinazotoka Afrika
Japan China na Germany ni mataifa yenye uwezo wa kuzalisha bidhaa zote anazozalisha Marekani
Afrika tunauwezo wa kisitisha mikataba yote kwa muda tuliyofanya na Marekani tukaipitia upya kama alivyofanya yeye na tukaamua kuacha kumpa Marekani Malighafi zetu tukampa Japan, China au Germany na maisha yakaendelea kama kawaida
Marekani asitutishie nyau na wala asituuzie woga sisi sio dhaifu kiasi hicho anachoamini yeye
Mtu yuko bara la Ulaya alafu anatuendesha kama wajinga flani hivi tunashindwa hata kurudisha mapigo
Mtu mmoja aendeshe watu 8B anavyotaka heye alafu tukae kimya kwani lazima tumtegemee??
Kuna Taifa la Germany, Japan, China hawa wote wanazalisha bidhaa yeye ni nani
Ifike mahali Afrika tumpe Marekani sharti la kuacha kutuingilia kana kwamba hatuna elimu au viongozi sisi sio wajinga tunauwezo wa kupata tunachotaka kutoka mataifa mengine sio lazima kwake mshamba flan hivi
Yaani anatupangia masharti kama anavyompangia mke wake sisi tunacheka naye au tumekubali kuolewa???
Yaan akili ya uvcTrump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany
Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta tukaendelea kumpigia magoti
Sio kweli kwamba Waafrika ni dhaifu kiasi hiki au hatuwezi kumpangia masharti
Tunaweza sana kumpangia masharti na akashindwa kabisa kuyafuata kama anavyotufanyia
Tukikubali kuendeshwa namna hii kila siku ni sawa na kuolewa naye
Ifike mahali tuseme sisi ni Wanaume usitupangie masharti kama unavyompangia mke wako
Kwanza kabisa Marekani inazalisha bidhaa kupitia malighafi nyingi sana zinazotoka Afrika
Japan China na Germany ni mataifa yenye uwezo wa kuzalisha bidhaa zote anazozalisha Marekani
Afrika tunauwezo wa kisitisha mikataba yote kwa muda tuliyofanya na Marekani tukaipitia upya kama alivyofanya yeye na tukaamua kuacha kumpa Marekani Malighafi zetu tukampa Japan, China au Germany na maisha yakaendelea kama kawaida
Marekani asitutishie nyau na wala asituuzie woga sisi sio dhaifu kiasi hicho anachoamini yeye
Mtu yuko bara la Ulaya alafu anatuendesha kama wajinga flani hivi tunashindwa hata kurudisha mapigo
Mtu mmoja aendeshe watu 8B anavyotaka heye alafu tukae kimya kwani lazima tumtegemee??
Kuna Taifa la Germany, Japan, China hawa wote wanazalisha bidhaa yeye ni nani
Ifike mahali Afrika tumpe Marekani sharti la kuacha kutuingilia kana kwamba hatuna elimu au viongozi sisi sio wajinga tunauwezo wa kupata tunachotaka kutoka mataifa mengine sio lazima kwake mshamba flan hivi
Yaani anatupangia masharti kama anavyompangia mke wake sisi tunacheka naye au tumekubali kuolewa???
Yaani akili za uvccm siko zote huwa zinaweza kinyumenyume. Kwanini husemi tuzitumie sisi wenyewe kwa kuzibadilisha kuwa bidhaa . Kwan alichokisema Trump ni cha uongo. Kwan wewe ni mlipa kodi wa USA. Wewe ni raia wa USA?Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany
Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta tukaendelea kumpigia magoti
Sio kweli kwamba Waafrika ni dhaifu kiasi hiki au hatuwezi kumpangia masharti
Tunaweza sana kumpangia masharti na akashindwa kabisa kuyafuata kama anavyotufanyia
Tukikubali kuendeshwa namna hii kila siku ni sawa na kuolewa naye
Ifike mahali tuseme sisi ni Wanaume usitupangie masharti kama unavyompangia mke wako
Kwanza kabisa Marekani inazalisha bidhaa kupitia malighafi nyingi sana zinazotoka Afrika
Japan China na Germany ni mataifa yenye uwezo wa kuzalisha bidhaa zote anazozalisha Marekani
Afrika tunauwezo wa kisitisha mikataba yote kwa muda tuliyofanya na Marekani tukaipitia upya kama alivyofanya yeye na tukaamua kuacha kumpa Marekani Malighafi zetu tukampa Japan, China au Germany na maisha yakaendelea kama kawaida
Marekani asitutishie nyau na wala asituuzie woga sisi sio dhaifu kiasi hicho anachoamini yeye
Mtu yuko huko bara la Ulaya alafu anatuendesha kama wajinga flani hivi tunashindwa hata kurudisha mapigo
Mtu mmoja aendeshe watu 8B anavyotaka yeye alafu tukae kimya kwani lazima tumtegemee??
Kuna Taifa la Germany, Japan, China hawa wote wanazalisha bidhaa yeye ni nani
Ifike mahali Afrika tumpe Marekani sharti la kuacha kutuingilia kana kwamba hatuna elimu au viongozi sisi sio wajinga tunauwezo wa kupata tunachotaka kutoka mataifa mengine sio lazima kwake mshamba flan hivi
Yaani anatupangia masharti kama anavyompangia mke wake sisi tunacheka naye au tumekubali kuolewa???
Hamna uwezo huo ndio, na trump si kuwaonea ila anawachana ukweli. Hao viongozi mnao wachagua ndio wanakujapande hizo na bakuliTrump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany
Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta tukaendelea kumpigia magoti
Sio kweli kwamba Waafrika ni dhaifu kiasi hiki au hatuwezi kumpangia masharti
Tunaweza sana kumpangia masharti na akashindwa kabisa kuyafuata kama anavyotufanyia
Tukikubali kuendeshwa namna hii kila siku ni sawa na kuolewa naye
Ifike mahali tuseme sisi ni Wanaume usitupangie masharti kama unavyompangia mke wako
Kwanza kabisa Marekani inazalisha bidhaa kupitia malighafi nyingi sana zinazotoka Afrika
Japan China na Germany ni mataifa yenye uwezo wa kuzalisha bidhaa zote anazozalisha Marekani
Afrika tunauwezo wa kisitisha mikataba yote kwa muda tuliyofanya na Marekani tukaipitia upya kama alivyofanya yeye na tukaamua kuacha kumpa Marekani Malighafi zetu tukampa Japan, China au Germany na maisha yakaendelea kama kawaida
Marekani asitutishie nyau na wala asituuzie woga sisi sio dhaifu kiasi hicho anachoamini yeye
Mtu yuko huko bara la Ulaya alafu anatuendesha kama wajinga flani hivi tunashindwa hata kurudisha mapigo
Mtu mmoja aendeshe watu 8B anavyotaka yeye alafu tukae kimya kwani lazima tumtegemee??
Kuna Taifa la Germany, Japan, China hawa wote wanazalisha bidhaa yeye ni nani
Ifike mahali Afrika tumpe Marekani sharti la kuacha kutuingilia kana kwamba hatuna elimu au viongozi sisi sio wajinga tunauwezo wa kupata tunachotaka kutoka mataifa mengine sio lazima kwake mshamba flan hivi
Yaani anatupangia masharti kama anavyompangia mke wake sisi tunacheka naye au tumekubali kuolewa???
Kama kuna laana flani vileWaafrika gani unaongelea? Hawa wasudan wanaopondana kila siku wenyewe kwa wenyewe au Rwanda na DRC? Au Nigeria na hao boko Haram? Wale Africa magharibi wanaopinduana kila siku?
Au nyie wátanganyika mnàolalama mama kujipitisha kugombea urais?
Huko Mozambique wanauana kugombea màtokeo ya uràis?
Waafrika gani unaongelea?
trump anavuta SKANKA!!!Trump amekuwa akituonea sana Waafrika akidhani hatuwezi kumpangia masharti, tunauwezo wa kumnyima malighafi tuamue kuwapa Japan, China au Germany
Trump amekuwa akituchukulia Waafrika kama wajinga flani hivi akidhani sisi ni dhaifu sana anaweza kutunyanyasa anavyotaka yeye na tusiweze kufurukuta tukaendelea kumpigia magoti
Sio kweli kwamba Waafrika ni dhaifu kiasi hiki au hatuwezi kumpangia masharti
Tunaweza sana kumpangia masharti na akashindwa kabisa kuyafuata kama anavyotufanyia
Tukikubali kuendeshwa namna hii kila siku ni sawa na kuolewa naye
Ifike mahali tuseme sisi ni Wanaume usitupangie masharti kama unavyompangia mke wako
Kwanza kabisa Marekani inazalisha bidhaa kupitia malighafi nyingi sana zinazotoka Afrika
Japan China na Germany ni mataifa yenye uwezo wa kuzalisha bidhaa zote anazozalisha Marekani
Afrika tunauwezo wa kisitisha mikataba yote kwa muda tuliyofanya na Marekani tukaipitia upya kama alivyofanya yeye na tukaamua kuacha kumpa Marekani Malighafi zetu tukampa Japan, China au Germany na maisha yakaendelea kama kawaida
Marekani asitutishie nyau na wala asituuzie woga sisi sio dhaifu kiasi hicho anachoamini yeye
Mtu yuko huko bara la Ulaya alafu anatuendesha kama wajinga flani hivi tunashindwa hata kurudisha mapigo
Mtu mmoja aendeshe watu 8B anavyotaka yeye alafu tukae kimya kwani lazima tumtegemee??
Kuna Taifa la Germany, Japan, China hawa wote wanazalisha bidhaa yeye ni nani
Ifike mahali Afrika tumpe Marekani sharti la kuacha kutuingilia kana kwamba hatuna elimu au viongozi sisi sio wajinga tunauwezo wa kupata tunachotaka kutoka mataifa mengine sio lazima kwake mshamba flan hivi
Yaani anatupangia masharti kama anavyompangia mke wake sisi tunacheka naye au tumekubali kuolewa???
Mikopo tunaweza kuchukua hata Japan, China, Germany, France, Sweden na mataifa mengine yeye ni naniSisi huku vijijini tunathirikaje na misaaada au mikopo kwa mfano wakati everything is free from nature kuni bure,maji bure,matunda bure porini ardhi yenye rutuba chochote unapanda atujui hata trump ni mdudu gani nadhani wataathirika zaidi na mikopo ni Hapo wezi wanairudisha hizo pesa bank za ulaya
Mshamba falan yule kwanza atapigwa chuma na hao hao Wamarekani wenzake hakuna mtu anayetaka kupandwa kichwa na kenge mmojaHaya malalamiko yamekaa kama ya mchepuko aliyenyimwa pesa ya saluni sasa anatishia kukataa kutoa unyumba kwa mume mwenye wake wengi na vibinti kibao vinavyojipendekeza vingine vipo jirani na yeye kabisa.
Hayo mataifa yote uliyoyataja, yanamtegemea MarekaniMikopo tunaweza kuchukua hata Japan, China, Germany, France, Sweden na mataifa mengine yeye ni nani