Trump ampa Putin siku 12 Urusi kuonyesha muelekeo wa kumaliza vita Ukraine la sivyo aishughulikie

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
20250728_230637.jpg
 
unafikiri atafanya nini..?
Vikwazo kwa nchi/kampuni zinazounga Urusi.

Kodi kubwa (tariff) kwa bidhaa za Urusi kama alivyowanyoosha wa China.

Kufungia misaada ya silaha kwa Ukraine hadi Putin akubali mazungumzo.

Shinikizo la kidiplomasia kwa nchi nyingine kumtenga Putin.
 
Ukraine ipewe mzigo wa kutosha wa makombora kupiga popote ndani ya Russia
Hehe! huyo malaika hayupo na ikitokea akawepo basi ni malaika mwenye ushetani ndani yake!, nikiwa na maana hii unakumbuka trump alimuahidi nini rais wa Ukraine ili amsaidie kutatua..?

kuna vitu Ukraine laizima aachie ili alipe hizo gharama hakuna chakupewa na hakuna cha bure ule mgogoro ukiuangalia unamkakati wa mali ndani yake!.
basi huyo ndo malaika mwenyewe
 
Hhuyu anadharau iliyopindukia anadhani yeye ndio raisi pekee wenzake ni watoto wa shule. Huwa hajui mambo ya vita na anayemchokoza hajui ni mkubwa mwenzake na lolote laweza kutoka? Urusi atatuma makombora Moja Kwa Moja marekani halafu uone. Osama aliwwatest TU kidogo walitahariki sembuse mbabe wa kivita Putin aliyekulia vitani ndio wa kutishiwa na raia ambaye hata mgambo hajawahi kucheza Trump?
 
Unafikiri marekani kwa hiyo miaka yote kwanini hajachukua hiyo hatua..?
Hiyo miaka unayoisema Marekani ilikua chini ya Biden ambaye anafahamika kwa kutetea Amani baina ya mataifa ya NATO.

Biden aliogopa mtego wa China na Urusi, lakini Trump hatishiwi na NATO wala dunia nzima kwa sababu yeye ni tishio lenyewe.

Kwahiyo hapa tunaangalia miezi 6 na siku8 za Trump na siyo miaka mi3 kasoro ya Biden.
 
Mh! ni sawa lakini usiseme trump hatishiwi maana urais ni taasisi hakurupuki tu na akatoa maamuzi yake!, huwa zinapigwa hesabu kwanza maamuzi ndo yanachukuliwa haswa kwa haya mataifa makubwa!, na nyengine huwa ni kauli vibwagizo tu ili wachezeshe masoko ya fedha huko maana wanajua kauli zao zina athari!.
Mkuu dunia hii zama za leo ukiingia kwenye mtego wa mtu yoyote anaewaza faida jua utachapwa tu!.
wenzetu wanawaza juu yakuzifaidisha nchi zao na familia zao, marekani hapendi vita maana haina faida siku zote ukiona sehemu marekani kaufyata jua calculation za faida hazijatiki.

pili marekani hainaga mchezo wakucheza na mataifa makubwa huwa ni kauli za hapa na pale tu na vitisho ambavyo havina athari!, si walipandishiana misuli ya kodi na china nafikiri unajua iliishia wapi!.
Ukraine aliahidiwa kusaidiwa ikiwa ataachia marekani afanye yake kwenye nchi yake!, tena trump alisema waziwazi mi nahisi anaesubiliwa sasahivi ni Ukraine kufika kwenye point ya kupiga magoti ili anyofolewe vyema!. kila mtu na jicho lake lakini target ni faida tu.
 
Trump ni hatari kwa sababu anaweza kuficha hesabu zake. Wakati mwingine anatoa kauli kama kichaa, kumbe nyuma yake kuna deal limepikwa.

Biden huavanachelewa kwa sababu anafuata hesabu ya taasisi nzima. Trump anaenda na hesabu za masoko, lakini pia anachungulia faida kimya kimya.

That's why hawezi kushindwa kuweka vikwazo (sanctions) kama nilivyokuorodheshea hapo awali kwasababu vikwazo na physical war zote ni tishio.

Siyo lazima aingage kama alivyofanya kwa Iran bali anaweza weka vikwazo kama alivyofanya kwa China ukizingatia Urusi inapitia Economic Crisis now bhasi ni muda wake kutake full advantage.
 
sijui unajua anaetafuta kunyonywa hapo ni Ukraine, sidhani kama unaelewa hilo..?
marekani hapo unaingiza mguu wakuvuna tu na anajua wapi pakuvuna na wapi hawezi kuvuna!.
 
Nafikiri itakua ngumu sana kuelewana untill after 11 days mbele.
 
Back
Top Bottom