Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 901
- 2,734
Akimpa Makombora kulenga Moscow itakuwa Ww3 sababu na yeye atashambuliwa.Ukraine ipewe mzigo wa kutosha wa makombora kupiga popote ndani ya Russia
Akimpa Makombora kulenga Moscow itakuwa Ww3 sababu na yeye atashambuliwa.Ukraine ipewe mzigo wa kutosha wa makombora kupiga popote ndani ya Russia
Maeneo anayo taka US ndo hayo yanazidi kubewa na Russia, na Russia alisema makubaliano ya Uk na US ye haya muhusu wala aachi eneo lolote 😹😹Mh! ni sawa lakini usiseme trump hatishiwi maana urais ni taasisi hakurupuki tu na akatoa maamuzi yake!, huwa zinapigwa hesabu kwanza maamuzi ndo yanachukuliwa haswa kwa haya mataifa makubwa!, na nyengine huwa ni kauli vibwagizo tu ili wachezeshe masoko ya fedha huko maana wanajua kauli zao zina athari!.
Mkuu dunia hii zama za leo ukiingia kwenye mtego wa mtu yoyote anaewaza faida jua utachapwa tu!.
wenzetu wanawaza juu yakuzifaidisha nchi zao na familia zao, marekani hapendi vita maana haina faida siku zote ukiona sehemu marekani kaufyata jua calculation za faida hazijatiki.
pili marekani hainaga mchezo wakucheza na mataifa makubwa huwa ni kauli za hapa na pale tu na vitisho ambavyo havina athari!, si walipandishiana misuli ya kodi na china nafikiri unajua iliishia wapi!.
Ukraine aliahidiwa kusaidiwa ikiwa ataachia marekani afanye yake kwenye nchi yake!, tena trump alisema waziwazi mi nahisi anaesubiliwa sasahivi ni Ukraine kufika kwenye point ya kupiga magoti ili anyofolewe vyema!. kila mtu na jicho lake lakini target ni faida tu.
Hyu ni hadija kopa kabisaMzee Yusuph Aliyechangamka...
Hakuna kombora ambalo Ukraine hajapewaUkraine ipewe mzigo wa kutosha wa makombora kupiga popote ndani ya Russia
vikwazo ni shida kwa watanganyika tu sio urusiVikwazo kwa nchi/kampuni zinazounga Urusi.
Kodi kubwa (tariff) kwa bidhaa za Urusi kama alivyowanyoosha wa China.
Kufungia misaada ya silaha kwa Ukraine hadi Putin akubali mazungumzo.
Shinikizo la kidiplomasia kwa nchi nyingine kumtenga Putin.
ngoja tuoneTrump ni hatari kwa sababu anaweza kuficha hesabu zake. Wakati mwingine anatoa kauli kama kichaa, kumbe nyuma yake kuna deal limepikwa.
Biden huavanachelewa kwa sababu anafuata hesabu ya taasisi nzima. Trump anaenda na hesabu za masoko, lakini pia anachungulia faida kimya kimya.
That's why hawezi kushindwa kuweka vikwazo (sanctions) kama nilivyokuorodheshea hapo awali kwasababu vikwazo na physical war zote ni tishio.
Siyo lazima aingage kama alivyofanya kwa Iran bali anaweza weka vikwazo kama alivyofanya kwa China ukizingatia Urusi inapitia Economic Crisis now bhasi ni muda wake kutake full advantage.
Iran atapendeza kama atatoa password za vita vya AIUkraine ipewe mzigo wa kutosha wa makombora kupiga popote ndani ya Russia
Na ikumbukwe Russia ni karibu na USA kwa.kupotia north AmericaAkimpa Makombora kulenga Moscow itakuwa Ww3 sababu na yeye atashambuliwa.
Urusi inapitia Economic Crisis now
anaweza weka vikwazo kama alivyofanya kwa China
Kumbe Trump anauwezo wa kuziwekea nchi vikwazo? Nilikuwa silijui hiloVikwazo kwa nchi/kampuni zinazounga Urusi.
Kodi kubwa (tariff) kwa bidhaa za Urusi kama alivyowanyoosha wa China.
Kufungia misaada ya silaha kwa Ukraine hadi Putin akubali mazungumzo.
Shinikizo la kidiplomasia kwa nchi nyingine kumtenga Putin.
Ndiyo.Kumbe Trump anauwezo wa kuziwekea nchi vikwazo? Nilikuwa silijui hilo
Uko sahihi.Ukweli ni kwamba China na Marekani zimewekeana vikwazo.
Hii trade war ya China na Marekani imekaa kibabe. Mchina hatikisiki kama EU na Japan.
Marekani inatapatapa kutaka kukutana na China wakae mezani
Kobazi bhanaTrump kuchanganyikiwa,
Iran TU alimvimbia na akaufyata,
Alimwambia asijibu shambulizi la fardow, Iran akajibu, Tena Mara mbili, na hakuna kitu alimfanya, zaid ya kumuombea suluhu shosti yake Israel.
Wana diplomasia wengi wamekua wakibishana kuhusu hili kwa muda mrefu.Nani alikwambia Urusi inapitia economic crisis? Mataifa mengi ya E.U na U.K ndiyo yanapitia economic recession
nnView attachment 3422954
Miezi 6 ya kwanza mwaka 2025 hii ndio hali ya uchumi wa Marekani
Hapana mkuu, vikwazo sio jambo dogo kama unavyofikiri ijapo Urusi pia wanauwezo wa kuwawekea vikwazo U.S lakini mara nyingi anayetesa ni yule anaye make First moves.vikwazo ni shida kwa watanganyika tu sio urusi