Trump ampa Putin siku 12 Urusi kuonyesha muelekeo wa kumaliza vita Ukraine la sivyo aishughulikie

Hapo ndipo huwa nawashangaa sana baadhi ya watu, hasa linapo kuja suala la jeshi na silaha baadhi yao bado wana imani kwamba Russia ni lelemama hafui dafu dhidi ya USA na NATO, si unajua tena propaganda potofu za media za magharibi, how I wish they knew!!

Uzuri USA inajua vizuri sana Urusi kwamba ikihamua kuchachamaa si EU wanao jitia kimbele mbele wala USA patakalika, watachakazwa wote hao kwa silaha na jeshi la Urusi na washirika wao wa karibu itakapo bidi, Kanali Putin si mtu wa kuchezea kwa kuchukuliwa kijuu juu tu, kwamba labda yuko petrified na majambazi hao.
Wala hukutakiwa kuandika yote haya.
Kwani maelezo haya ni kama yanajirudia,tuliandika sana mwanzo wa vita hii.
Mwanzo wa vita hii pro west wote kwa pamoja na umoja wao Kila Kona ya Dunia baada ya matangazo ya vikwazo na vikao vya NATO walisema huu Sasa ndio mwisho wa Urusi,nasi tukawaambia muda utajibu.
Lakini Leo tumeshuhudia NATO wekitoa Kila aina ya misaada, na west wameweka Kila aina ya vikwazo, lakini Urusi Kila siku inateka ardhi yenye utajiri.
Kwa kifupi hiki ndio kilikua kipindi Cha NATO kuionesha Dunia uwezo wake dhidi ya Urusi kama walivyofanya mfano dhidi ya Yugoslavia,Libya na Iraq.
Lkn wapi.
Wanachokifanya NATO ni kurusha mawe juu ya bati(paa) la Urusi wakiwa mbali.
 
Hana la kufanya zaidi ya kuwawekea vikwazo Mataifa yanayonunua Mafuta na Gas. Au kuwawekea Tarrif mpaka 50%
Naona ataongeza tariff by 50%, halafu wakati mwingine alivyo wa ajabu, utamsikia ame-climb down kwenye gharama za tariffs, si mnakumbuka mtifuano uliyo kuwepo baina yake na China kuhusu unreasonable tariffs Nana ya mataifa hayo mawili - China ilipo reciprocated massively mbona Trump alinywea na ku-water down tarrif zinakalingana naza huko Uchina.

Dawa hapa ni Mataifa yajifunze kumkomalia Trump regardless ya vitisho vyake na wakati mwingine kutukana baadhi ya Viongozi Duniani bila aibu wanapo kataa kuburuzwa Kama gari bovu!!
 
Nani alikwambia Urusi inapitia economic crisis? Mataifa mengi ya E.U na U.K ndiyo yanapitia economic recession

View attachment 3422954
Miezi 3 ya kwanza mwaka 2025 hii ndio hali ya uchumi wa Marekani ​
Na wakijitia kununua mafuta na LPG kutoka Merikani kwa mwendo wa kuruka, ndipo Continental Europe pamoja na UK watakwisha kiuchumi ,viwanda vyao vitafungwa kwa wingi na raia wao watakosa kazi, hata sijui Viongpzi wao walikuwa wanafikiria nini kutaka kusitisha kununua mafuta na gesi kutoka Urusi ambako bei za mafuta na
Zgesi ni nafuu sana, halafu vile vile Urusi hipo karibu sana na Ulaya kuliko Merikani. Shida yote hii eti wanataka kumu-support Zelezensky kuishinda kijeshi Urusi hizo ni ndoto za mchana na wao wanalijua sana hilo lakini wanawatumia wanajeshi na raia wa Ukraine kupigana a proxy war on behalf of western NATIONS specifically NATO.
 
Na wakijitia kununua mafuta na LPG kutoka Merikani kwa mwendo wa kuruka, ndipo Continental Europe pamoja na UK watakwisha kiuchumi ,viwanda vitafungwa kwa wingi na raia wao watakosa kazi, hata sijui Viongpzi wao walikuwa wanafikiria nini kutaka kusitisha kununua mafuta na gesi kutoka Urusi ambako bei za mafuta na gesi niza nafuu sana, halafu vile vile Urusi hipo karibu sana na Ulaya kuliko Merikani. Shida yote hii eti wanataka kumu-support Zelezensky kuishinda kijeshi Urusi hizo ni ndoto za mchana na wao wanalijua sana hilo.
Wazungu sio watu wa mchezo mchezo, usiwachukulie poa, hao ni binadmu wa level nyingine kiakili, kama waliweza kuishi maelfu ya miaka na wakaitawala dunia bila gesi ya Russia hawawezi leo kushindwa kuishi kwa kukosa gesi ya Putin, kabla ya uvamizi 40% ya gesi ya Ulaya(EU) ilikuwa inatoka Urusi leo wameshusha mpaka 19% na bado wanaendelea kudunda.
 
Mimi huwa Sidhani maana kudhani ni kuhisi, Mimi huwa nafikiri mkuu.
Kwahiyo sifikiri kama tayari kimeumana huko.
Ndio nakwambia Russia ameshapigwa Sanctions za kufa mtu matajiri wake Oligarchs accounts zao zimekuwa freezed left right and centre kuendelea kusema tutawapiga tariffs ni kuongea tu ili kupata political mileage (muulize Roman Abramavich alivyobanwa hadi kutokupata pesa Chelsea ilivyouzwa) lakini yote hayo yame backfire kwa matajiri kuona kwamba sio safe tena investments zao kubwa kubwa zote kuwa concentrated mfano USA (Kutumia Dollar / Economy) kama Weapon...

Narudia tena sanctions zote unazoziongelea Russia ameshapigwa and then some....
 
You're right.

Lakini mimi nilitoa intelligent guess ya kile Trump angeweza kufanya baada ya zile siku 12 alizozitaja.

Wewe unaonaje?
What do you think he might do?
 
Trump ni Mad Man na does not care hata kama in the long run USA itapata athari (kwahio hujui atafanya nini na ndio maana anaweza kufanikiwa in short term) ni kama kichaa akiingia nyumbani kwako na Bomu unaweza kumpa pesa ili aondoke ukijua kwamba anaweza kufanya lolote (short term kichaa atashinda) ila long term utawaambia walinzi akitokea hata mbali piga risasi (hivyo hata yale makombo ambayo alikuwa akipata kila siku atakosa kwa siku zinazokuja)

Tukirudi kwenye Hoja, kuhusu hili anaweza kufanya lolote hata kama lina athari kwake na sasa hivi anafanya na kuongea chochote ili watu (hasa wa kwenye base yake) kuwatoa kwenye story za ku release Epstein Files (ambazo na yeye yumo).... ; Trump is bad for the world juzi tu hapa kafuta Sheria nyingi alizoweka Obama kuhusu uchafuzi wa Mazingira..., in short ni Egotistical Mad Man....
 
SUPER!! BRAVO - binadamu huyu ni janga la Dunia watu hawaja lishtukia hilo!!
 
Na wakijitia kununua mafuta na LPG kutoka Merikani kwa mwendo wa kuruka, ndipo Continental Europe pamoja na UK watakwisha kiuchumi ,viwanda vyao vitafungwa kwa wingi na raia wao watakosa kazi, hata sijui Viongpzi wao walikuwa wanafikiria nini kutaka kusitisha kununua mafuta na gesi kutoka Urusi ambako bei za mafuta na
Zgesi ni nafuu sana, halafu vile vile Urusi hipo karibu sana na Ulaya kuliko Merikani. Shida yote hii eti wanataka kumu-support Zelezensky kuishinda kijeshi Urusi hizo ni ndoto za mchana na wao wanalijua sana hilo lakini wanawatumia wanajeshi na raia wa Ukraine kupigana a proxy war on behalf of western NATIONS specifically NATO.
VIongozi wa mataifa ya Ulaya ni wajinga

Nchi za Ulaya ni U.S vassal states, hawana maamuzi yao binafsi

Inapohusu foreign policies wanategemea msimamo wa Marekani
​
 
Trump ni Mad Man na does not care hata kama in the long run USA itapata athari (kwahio hujui atafanya nini na ndio maana anaweza kufanikiwa in short term) ni kama kichaa akiingia nyumbani kwako na Bomu unaweza kumpa pesa ili aondoke ukijua kwamba anaweza kufanya lolote (short term kichaa atashinda) ila long term utawaambia walinzi akitokea hata mbali piga risasi (hivyo hata yale makombo ambayo alikuwa akipata kila siku atakosa kwa siku zinazokuja)

Tukirudi kwenye Hoja, kuhusu hili anaweza kufanya lolote hata kama lina athari kwake na sasa hivi anafanya na kuongea chochote ili watu (hasa wa kwenye base yake) kuwatoa kwenye story za ku release Epstein Files (ambazo na yeye yumo).... ; Trump is bad for the world juzi tu hapa kafuta Sheria nyingi alizoweka Obama kuhusu uchafuzi wa Mazingira..., in short ni Egotistical Mad Man....
Huyu jamaa ni mnoma sana.
Mi nataka nithibitishe utata wake kwenye hili.
 
Back
Top Bottom