Trump ampa Putin siku 12 Urusi kuonyesha muelekeo wa kumaliza vita Ukraine la sivyo aishughulikie

Trump ampa Putin siku 12 Urusi kuonyesha muelekeo wa kumaliza vita Ukraine la sivyo aishughulikie

No trump uwezo WA kuwapiga anao ILA anahofia nayeye kupigwa. Wamarekani wamemwambia hawataki vita.

Kwishaaa
 
Mh! ni sawa lakini usiseme trump hatishiwi maana urais ni taasisi hakurupuki tu na akatoa maamuzi yake!, huwa zinapigwa hesabu kwanza maamuzi ndo yanachukuliwa haswa kwa haya mataifa makubwa!, na nyengine huwa ni kauli vibwagizo tu ili wachezeshe masoko ya fedha huko maana wanajua kauli zao zina athari!.
Mkuu dunia hii zama za leo ukiingia kwenye mtego wa mtu yoyote anaewaza faida jua utachapwa tu!.
wenzetu wanawaza juu yakuzifaidisha nchi zao na familia zao, marekani hapendi vita maana haina faida siku zote ukiona sehemu marekani kaufyata jua calculation za faida hazijatiki.

pili marekani hainaga mchezo wakucheza na mataifa makubwa huwa ni kauli za hapa na pale tu na vitisho ambavyo havina athari!, si walipandishiana misuli ya kodi na china nafikiri unajua iliishia wapi!.
Ukraine aliahidiwa kusaidiwa ikiwa ataachia marekani afanye yake kwenye nchi yake!, tena trump alisema waziwazi mi nahisi anaesubiliwa sasahivi ni Ukraine kufika kwenye point ya kupiga magoti ili anyofolewe vyema!. kila mtu na jicho lake lakini target ni faida tu.
Kwa trump nina uhakika 100% anakurupuka
 
Kelele nyingi tu huyo hata mhudumu wa FBi wa zamani alisema mwamba anaongea sana ila hajiamini,
Mtu kapona risasi na kesi kama miamoja hivi kazipiga chini mnasema Trump hajiamini.mnataka akae hewani,Kuna kiongozi anaweza kemea Zelensky kama mtoto na Lamaphosa kama toto dogo.Huwezi jua nyuma ya Trump Kuna nini ni mwekezaji mkubwa kwenye real estate.
 
Ila sio kwa Urusi.
Urusi wamebeba eneo la madini mkakati ambalo lilisainiwa kuwa chini ya USA.
Tuone atafanya nini huyo Trump.
 
Mtu kapona risasi na kesi kama miamoja hivi kazipiga chini mnasema Trump hajiamini.mnataka akae hewani,Kuna kiongozi anaweza kemea Zelensky kama mtoto na Lamaphosa kama toto dogo.Huwezi jua nyuma ya Trump Kuna nini ni mwekezaji mkubwa kwenye real estate.
Mtu mzima kumkea mtu mzima mwenzie ndio kujiamini ? Haiji au useme anatumia mamlaka uwekezaji kuona ni mkubwa , kelele nyingi huko twitter
 
Siku ya TATU (3).

Nitakuwa hapa kumsaidia raisi aliyelishwa USEMBE AKA Trump kuhesabu siku.
 
hakuna silaha ambayo ukraine hajapewa lakini maeneo yanazidi kuchukuliwa walitaka fighter jets walipewa zimebadilisha nn?zelensky akili hana amekubali nchi yake uwe uwanja wa vita kupgana usa+nato vs Russia
Historia inamhukumu,hakuna kichwa inazidi kuyumba kama ya Zelensky
 
Vikwazo kwa nchi/kampuni zinazounga Urusi.

Kodi kubwa (tariff) kwa bidhaa za Urusi kama alivyowanyoosha wa China.

Kufungia misaada ya silaha kwa Ukraine hadi Putin akubali mazungumzo.

Shinikizo la kidiplomasia kwa nchi nyingine kumtenga Putin.
Vikwazo alivyowekewa Iran lakini bado case fire wameomba sio mchezo
 
You don't even need to be a soothsayer to ZERO in to the source of the above mentioned unfortunate comments!!

These are obviously propaganda manufactured by Ukraine Intel
Agency in their vain effort of trying to propup Zelenky fast sinking political career -even the West have had enough of this clown, consequently are planning to remove him from power the soonest.
 
unafikiri atafanya nini..?

Ataua Putin, ataua Medvedev, ataua all top Russia Military figures, najua ni ngumu kuamini, but USA inaweza fanya hivyo kwa haraka without direct head to head war with Russia..!! Yaani USA inaweza wamaliza viongozi wote wa Russia kwa haraka, it seems magical but this will happen
 
Back
Top Bottom