Watu wanadhani Russia ni Syria au Jordan.There you are,that is a million Dollar question, thank you very much.
Watu wanadhani Russia ni Syria au Jordan.There you are,that is a million Dollar question, thank you very much.
🤣🤣🤣🤣🤣 we jamaa unachekesha ivi unadhani ni jambo easy ilo wale ni superpower wenzake hakuna mtu wa kuwafanya chochote RUSSIA kama anabisha ajaribu alafu aoneAtaua Putin, ataua Medvedev, ataua all top Russia Military figures, najua ni ngumu kuamini, but USA inaweza fanya hivyo kwa haraka without direct head to head war with Russia..!! Yaani USA inaweza wamaliza viongozi wote wa Russia kwa haraka, it seems magical but this will happen
Atamchamba Putinunafikiri atafanya nini..?
Embu fafanua kidogo,watauliwa kwa sumu,ajali,vita au watakamatwa na kunyongwa hadi kufa?Ataua Putin, ataua Medvedev, ataua all top Russia Military figures, najua ni ngumu kuamini, but USA inaweza fanya hivyo kwa haraka without direct head to head war with Russia..!! Yaani USA inaweza wamaliza viongozi wote wa Russia kwa haraka, it seems magical but this will happen
Hapo ndipo huwa nawashangaa sana baadhi ya watu, hasa linapo kuja suala la jeshi na silaha baadhi yao bado wana imani kwamba Russia ni lelemama hafui dafu dhidi ya USA na NATO, si unajua tena propaganda potofu za media za magharibi, how I wish they knew!!Watu wanadhani Russia ni Syria au Jordan.
Mkuu, wengine wanajisemea tu bila ya kutafakari mambo kiundani!!Hhuyu anadharau iliyopindukia anadhani yeye ndio raisi pekee wenzake ni watoto wa shule. Huwa hajui mambo ya vita na anayemchokoza hajui ni mkubwa mwenzake na lolote laweza kutoka? Urusi atatuma makombora Moja Kwa Moja marekani halafu uone. Osama aliwwatest TU kidogo walitahariki sembuse mbabe wa kivita Putin aliyekulia vitani ndio wa kutishiwa na raia ambaye hata mgambo hajawahi kucheza Trump?
Tena makombora ya kuishambulia USA wala hayatapitia Alaska ambako USA imerundika Air Defense Systems chungu mzima eti kujilinda dhidi ya ICBM kutoka Urusi kumbe wenzao wamekwisha unda ICBMs za kupitia South Pole na kuhibukia MexicoAkimpa Makombora kulenga Moscow itakuwa Ww3 sababu na yeye atashambuliwa.
Zelensky akili matope kabisa,nilipo ona maelfu ya miili ya wanajeshi wa Ukraine walio uwawa vitani, halafu Zelensky mwanzoni aligoma kuichukuwa etc anaogopa kulipa fidia kwa familia ya wafiwa, hapo ndipo nilipo mshitukia Zelensky kwamba labda akili zake ziko fyatu kidogo.hakuna silaha ambayo ukraine hajapewa lakini maeneo yanazidi kuchukuliwa walitaka fighter jets walipewa zimebadilisha nn?zelensky akili hana amekubali nchi yake uwe uwanja wa vita kupgana usa+nato vs Russia
Wakati wa javelin uliimba sana ila kwa sasa umeshajua silaha za magharibi ni matoi kwa Urusi umekua mpole 😊Wachaambuzi tumepewa mada.
Hamna boss, sio kwamba tunakuwa serious na uchambuzi kuliko walivyo serious na vita?Wakati wa javelin uliimba sana ila kwa sasa umeshajua silaha za magharibi ni matoi kwa Urusi umekua mpole 😊
Nguvu ya Urusi ipo kwenye uzalishaji na mpangilio mzuri wa raia wao.Kinachoipa nguvu Urusi hailalamiki tofauti na EU na U.K. wanaolalamika kila wiki.
Wapo serious sana sema kila mmoja anajua nguvu ya mwenzake... Sisi huku tunashabikia kama mpira 😄Hamna boss, sio kwamba tunakuwa serious na uchambuzi kuliko walivyo serious na vita?
Hadi nimecheka 🤣🤣mkuu unaelewa unachokieleza hapa lakini?Hana la kufanya zaidi ya kuwawekea vikwazo Mataifa yanayonunua Mafuta na Gas. Au kuwawekea Tarrif mpaka 50%
Kabisa mkuu. Kuna ambao hadi wazazi wanatukanwa sababu ya kubishana.Wapo serious sana sema kila mmoja anajua nguvu ya mwenzake... Sisi huku tunashabikia kama mpira 😄
Upo sahihi lakini hilo haliendani na kiini cha mjadala.Nguvu ya Urusi ipo kwenye uzalishaji na mpangilio mzuri wa raia wao.
Hatari sana mkuu.Vikwazo alivyowekewa Iran lakini bado case fire wameomba sio mchezo
Mh! ni sawa lakini usiseme trump hatishiwi maana urais ni taasisi hakurupuki tu na akatoa maamuzi yake!, huwa zinapigwa hesabu kwanza maamuzi ndo yanachukuliwa haswa kwa haya mataifa makubwa!, na nyengine huwa ni kauli vibwagizo tu ili wachezeshe masoko ya fedha huko maana wanajua kauli zao zina athari!.
Mkuu dunia hii zama za leo ukiingia kwenye mtego wa mtu yoyote anaewaza faida jua utachapwa tu!.
wenzetu wanawaza juu yakuzifaidisha nchi zao na familia zao, marekani hapendi vita maana haina faida siku zote ukiona sehemu marekani kaufyata jua calculation za faida hazijatiki.
pili marekani hainaga mchezo wakucheza na mataifa makubwa huwa ni kauli za hapa na pale tu na vitisho ambavyo havina athari!, si walipandishiana misuli ya kodi na china nafikiri unajua iliishia wapi!.
Ukraine aliahidiwa kusaidiwa ikiwa ataachia marekani afanye yake kwenye nchi yake!, tena trump alisema waziwazi mi nahisi anaesubiliwa sasahivi ni Ukraine kufika kwenye point ya kupiga magoti ili anyofolewe vyema!. kila mtu na jicho lake lakini target ni faida tu.
Unadhani yote hayo hayajafanyika mpaka dakika hii ?Vikwazo kwa nchi/kampuni zinazounga Urusi.
Kodi kubwa (tariff) kwa bidhaa za Urusi kama alivyowanyoosha wa China.
Kufungia misaada ya silaha kwa Ukraine hadi Putin akubali mazungumzo.
Shinikizo la kidiplomasia kwa nchi nyingine kumtenga Putin.
Na Russia akianza kumpa Cuba mizigo ya kutosha ?!!! Refer Cuban Missile Crisis (Taifa lolote lenye mzigo wa Nuclear za kutosha ni vigumu kwenda nae direct war sababu casualities zitakuwa kubwa).... Unless wewe ni chizi kama Trump au unataka kufanya distractions za yanayoendelea (mfano labda files za Paedophile Epstein ambazo na wewe umo)Ukraine ipewe mzigo wa kutosha wa makombora kupiga popote ndani ya Russia