Ulimwengu una Mambo Sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa kweli Trump sio mnafiki, ameamua kutoa ya moyoni kwa jinsi alivyokoshwa mnoo na hatua ambazo zimechukuliwa na Putin ambazo zimetumia akili isiyo ya kawaida.
Kisha kuna wamarekani wachache wa huko 'Nanyamba' na 'Tandahimba' wanaona ati Putin ni wa kawaida kawaida ktk Ulimwengu huu
[emoji16][emoji16][emoji16]kejeli ndio hapo ana wapiga vijembe kina Biden kwamba wamezidiwa akili na Putin ,Trump kaongea kwa kejeli (bad hamjaelewa vzr statement yake?)
Nadhani ufahamu wa Kiingereza ndio tatizo kubwa zaidi kwenye hii mada. Pure irony.Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius...
Kuna wakati niliamini wewe ni mojawapo ya watu clever kumbe wapi! Rudia kusoma utamwelewa Trump.Trump msenge [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Eti wanaenda kutunza Amani, !!!
Eti ameona vifaru vingi ambavyo hajawahi kuviona hapo kabla, !! Hii anamaanisha kwamba ni kweli Russia Wana nguvu kubwa ya kijeshi , Sasa hapo Ina maana Trump anamtisha Biden au !?
Ila angeifanya Israel ikachukua Jérusalem. Trump na Putin wote sawa.Kama Trump angekuwa Rais wa Marekani Urusi wasingechukua haya majimbo. Trump ni genius sana. No wonder a genius has recognised a fellow genius.
Kabisa, na mataifa mengi yaliufyata kwa Trump Kama China na IranPamoja na kuwa Trump huwa anapenda fascistic fashist wenzake ila trump alikuwa kidogo anaonesha power kwa marekan na alikuwa anafanya mambo kwa akili ila hichi kibabu kibiden wamarekan wamepigwa mchana kweupe
Biden daa marekani waliingia Cha kike[emoji16][emoji16][emoji16]kejeli ndio hapo ana wapiga vijembe kina Biden kwamba wamezidiwa akili na Putin ,
Maraisi wa Republican wanaogopwaga Sana, example Trump, Bush Jr na Bush SeniorHivi huyu Biden anatokea chama gani na yule Obama alitkua chama gani? Mana wakati wa Obama Cremia ikaenda na maji, leo Biden majimbo mawili, Trump hakupoteza jimbo hata moja na alijua anadeal na mtu wa aina gani, kwenda kwake Moscow kuzungumza hakuwa mjinga, sasa wajanja wanawatia wenzao matatizoni kila siku.
Inawezekana siku akija mtu mwingine wa icho chama basi nae atasababisha majimbo mengine kumegwa tena kwa kujifanya wababe
Putin can not be Genius, otherwise tumuone akiweza kuhimili vikwazo alivyoekewa na wananchi wake wasijekufa njaaTrump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius).
Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la kutunza amani...tungeweza kulitumia jeshi hilo kwenye mpaka wetu (Marekani) wa kusini".
Trump akaendelea kuongea "Nimeona vifaru vingi (vya Russia) kwa idadi ambayo sijapata kuona kabla. Kwa kweli wanaenda kutunza amani kiukamilifu kabisa".
======
Trump Giddily Praises 'Genius' Putin as Russia Sends Troops Into Ukraine
Former President Donald Trump called Vladimir Putin a "genius" for ordering Russian troops into Ukraine on Monday.www.rollingstone.com
“I said, ‘This is genius,'” Trump said on a right-wing podcast. “Putin declared a big portion of … Ukraine … as independent. Oh, that’s wonderful. … I said, ‘How smart is that?’ And he’s going to go in and be a peacekeeper. That’s strongest peace force. … We could use that on our southern border. That’s the strongest peace force I’ve ever seen. There were more army tanks than I’ve ever seen. They’re going to keep the peace all right. Here’s a guy who’s very savvy … I know him very well. Very, very well.”
Kama China alikuwa mdogo Kama piritonKabisa, na mataifa mengi yaliufyata kwa Trump Kama China na Iran
Daaaa mkuu nakumbuka aisee Wachina hawatamsahau Trump aliwapiga sunctions wakawa wapole,, juzi eti nao wamempiga Pompeo sunctions,,,but 2024 Trump anaweza shinda tenaKama China alikuwa mdogo Kama piriton
atashinda mchana kweupe wamarekan wameshazinduka kuwa wamepigwa kwa kibabu Biden kaz kusinzia tu marekan wanahitaj kiongoz shupavu Kama akina Reagan Roosevelt akina BushDaaaa mkuu nakumbuka aisee Wachina hawatamsahau Trump aliwapiga sunctions wakawa wapole,, juzi eti nao wamempiga Pompeo sunctions,,,but 2024 Trump anaweza shinda tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pamoja na kuwa Trump huwa anapenda fascistic fashist wenzake ila trump alikuwa kidogo anaonesha power kwa marekan na alikuwa anafanya mambo kwa akili ila hichi kibabu kibiden wamarekan wamepigwa mchana kweupe
Biden hawez gombea Tena, Trump atamshinda kiuraisi,atashinda mchana kweupe wamarekan wameshazinduka kuwa wamepigwa kwa kibabu Biden kaz kusinzia tu marekan wanahitaj kiongoz shupavu Kama akina Reagan Roosevelt akina Bush
Putin ni jasusi, mwanasiasa halafu zaidi ya yote umpende umchukie jamaa kichwa sana tu anajuwa kila afanyalo na zaidi ana personality.Kwa kweli Trump sio mnafiki, ameamua kutoa ya moyoni kwa jinsi alivyokoshwa mnoo na hatua ambazo zimechukuliwa na Putin ambazo zimetumia akili isiyo ya kawaida.
Kisha kuna wamarekani wachache wa huko 'Nanyamba' na 'Tandahimba' wanaona ati Putin ni wa kawaida kawaida ktk Ulimwengu huu