babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Nenda kwenye account yake copy hiyo tweet kisha njoo upost hiyo link humu.Katika habari hii hakuna sehemu imeitaja cdm au chama chochote cha siasa, sasa wewe hizi habari za upinzani unazitoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye account yake copy hiyo tweet kisha njoo upost hiyo link humu.
Mwenye matatizo ya ubongo ni wewe unayepost fake tweet bila kushirikisha ubongo.Ukiona mtu anaongea pekee yake njiani kama wewe basi ujue kuna tatizo kwenye ubongo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezi niuma maana hainisadii chochote zaidi ya wewe mjinga unayepost fake tweet kuaibika.
Mwenye matatizo ya ubongo ni wewe unayepost fake tweet bila kushirikisha ubongo.
Haiwezi niuma maana hainisadii chochote zaidi ya wewe mjinga unayepost fake tweet kuaibika.
Nenda kwenye account yake copy hiyo tweet kisha njoo upost hiyo link humu.
Situmii cheap beer wala local beer,
Chukua au acha huo ndio ukweli
Kwa hiyo kumbe unatafuta comments humu πππUmejiaibisha wewe tu, uzi sasa hivi ushazidi post 100+ bado unauita kuwa ni fake? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Situmii cheap beer wala local beer,
Anayetumia hizo local beer ni wewe unayepost fake tweet humu ili kuaminisha ujinga.
Hakuna la maana hapo, ukaribu wa US na Kenya unaiweka kenya kwenye hatari ya kiusalama zaidi. Acha sisi tupambane mdogomdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kumbe unatafuta comments humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kwenye account yake itafute hiyo tweet ukiipata uje upost link ya hiyo tweet humu.
Niumie kisa fake tweet!Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Naona umeumia sana na kukubalika kwa wenzako
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea na fake tweet zako.
Sina njaa ndogo ndogo za kifake tweet namna hiyo.