babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Nenda kwenye account yake copy hiyo tweet kisha njoo upost hiyo link humu.Katika habari hii hakuna sehemu imeitaja cdm au chama chochote cha siasa, sasa wewe hizi habari za upinzani unazitoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app