Trump anaendelea kupinga na Mapenzi ya Jinsi Moja

Huyo nashaka sana hana dini, sababu angekuwa mkristo lazima akubaliane na mkataba wa kanisa, gay rights 😄
Mkristu hafungwi na mikataba ya makanisa kama haipachani na Biblia. Hapo upo?

Ukiona watu wameng'ang'ania mila na desturi zao kinyume na Neno, hapo tambua ni mapokeo kama mapokeo mengine.

Unawajua Mafarisayo na ufarisayo wao? Hiyo ndiyo dini potofu ya watu unaowazungumzia.
 
Tuwacheni utani makanisa mengi yanafungisha ndoa za jinsia moja, au nasema uwongo.
 
Hivi unatambua suala la imani na wokovu haliwezi kamwe kuingizwa kwenye kanuni ya ujumuishaji na hesabu za ujanimishaji wa umma (population mathematics of integration)?
Usishangae kwenye dunia hi kila kitu kinawezekana, we hujaona mtu kasomea udaktari akawa engineering, badala acheze na damu, ana cheza na oil.

Kwa hio usiwe unabisha sana, maaskofu wengi ndio washika bendera za utamaduni wa ile equally ✅️
 
A wise person will never burn the whole forest just because some insects within it are not their favorites.
 
Back
Top Bottom