Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo nashaka sana hana dini, sababu angekuwa mkristo lazima akubaliane na mkataba wa kanisa, gay rights 😄Trump ni muislam
Sahihi! Sio lile zee lingine tangu likiwa VP kazi kubwa kufungisha "ndoa" za kipuuzi!Trump is one of the most solid and rational statemen in our generation.
He ain't afraid no more to be politically incorrect.
Mkristu hafungwi na mikataba ya makanisa kama haipachani na Biblia. Hapo upo?Huyo nashaka sana hana dini, sababu angekuwa mkristo lazima akubaliane na mkataba wa kanisa, gay rights 😄
Wale kaka zenu wa Zenji ni wakristo??Huo ni utamaduni wa kanisani, na serekali yao lazima ushike bibilia kuapa ukiwa Raisi.
Huwezi badilisha system ya democracy za kikristo gay rights 😄
Tuwacheni utani makanisa mengi yanafungisha ndoa za jinsia moja, au nasema uwongo.Mkristu hafungwi na mikataba ya makanisa kama haipachani na Biblia. Hapo upo?
Ukiona watu wameng'ang'ania mila na desturi zao kinyume na Neno, hapo tambua ni mapokeo kama mapokeo mengine.
Unawajua Mafarisayo na ufarisayo wao? Hiyo ndiyo dini potofu ya watu unaowazungumzia.
Hivi unatambua suala la imani na wokovu haliwezi kamwe kuingizwa kwenye kanuni ya ujumuishaji na hesabu za ujanimishaji wa umma (population mathematics of integration)?Tuwacheni utani makanisa mengi yanafungisha ndoa za jinsia moja, au nasema uwongo.
Hao lazima walikuwa mbali na Uislam ndio wakapotea, inawezekana wana majina ya kislamu tu, we huoni hata kuna wafalme wa kiarabu wana support Israel na US, hao ni majina tu waislamuWale kaka zenu wa Zenji ni wakristo??
Usishangae kwenye dunia hi kila kitu kinawezekana, we hujaona mtu kasomea udaktari akawa engineering, badala acheze na damu, ana cheza na oil.Hivi unatambua suala la imani na wokovu haliwezi kamwe kuingizwa kwenye kanuni ya ujumuishaji na hesabu za ujanimishaji wa umma (population mathematics of integration)?
Alishinda miaka ya nyuma bila vote zao, wachache sana walimpa voteHatopata Kura ya cocastic Huyo
A wise person will never burn the whole forest just because some insects within it are not their favorites.Usishangae kwenye dunia hi kila kitu kinawezekana, we hujaona mtu kasomea udaktari akawa engineering, badala acheze na damu, ana cheza na oil.
Kwa hio usiwe unabisha sana, maaskofu wengi ndio washika bendera za utamaduni wa ile equally ✅️